Uchaguzi 2020 Orodha ya matusi mazito ya Tundu Lissu kwa CCM na Mgombea

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,080
103,312
Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
  1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
  2. Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano
  3. Kukosekana kwa uhuru wa kutoa maoni kulikopelekea kutungwa sheria kandamizi
  4. Kujali maendeleo ya vitu badala ya watu
  5. Kunyima vyama vya siasa uhuru wa kikatiba wa kufanya siasa
  6. Matumizi mabaya ya fedha za mifuko ya bima ya afya na hifadhi, matumizi kinyume na malengo. Zikikopwa hazirudishwi
  7. Ongezeko kuuuubwa la makato ya Bodi ya Mikopo toka 8% mpaka 15%
  8. Elimu duni isiyowajenga watoto wetu kujitegemea
  9. Kutokufanyika uchunguzi wa kina wa mauaji, utekaji na kupigwa kwake risasi
  10. Mbinyo kwa vyombo vya habari
  11. Ongeza na wewe matusi mengine, mi nimeweka machache tu
 
Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
  1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
  2. Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano..
???
 
Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
  1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
  2. Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano...
Asante sana kwa list njema ya matusi mazito.
 
Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
  1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
  2. Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano....
Leo watanzania tumefinguliwa macho kwa kweli. Kumbe uwanja wa ndege chato ni ufisadi kupindukia????

Ni wakati rasmi wa kumpumzisha magufuli mwaka huu. Yaaani ananyanyasa watu kwa makesi ya kutunga na kufilisi wafanyabiashara kumbe yeye na ndugu zake wanatuibia wananchi wa kawaida mchana mweupe!!
 
Back
Top Bottom