Zanzibar 2020 Yasiyosemwa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Vs ACT-Wazalendo - Zanzibar

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,088
2,000
Hapo siku ya Jumamosi ya 12 Septemba, 2020, CCM ilifungua kampeni zake Zanzibar na siku ya pili yake yaani Jumapili ya tarehe 13 Septemba, 2020 ACT-Wazalendo nayo ilifunguwa kampeni Zanzibar.

Kuna baadhi ya mambo hayakusemwa au kupatiwa ufafanuzi.

Timu yetu ya kampeni ilipiga kambi huko imetuletea kilichoendelea na ambacho hakikusemwa kuelekea kwenye maandalizi ya ufunguzi hayo na kilichojiri. Mada hii haitajihusisha na Maudhui ya Kampeni isipokuwa Maandalizi yake tu.

UPANDE WA CCM
Maandalizi ya Mkutano wa CCM kama ilivyokawaida inakuwa ni mkutano wa kidola, viongozi wote walioko madarakani kuanzia Rais, viongozi wengine wa kitaifa wa serikali, makatibu wakuu, wakurugenzi, jaji mkuu na majaji wengine, vyombo vyote vya ulinzi, maofisa wa serikali na jumuiya za CCM mbali mbali walihudhuria.

Vyombo vya habari vyote vikiwemo vya umma na binafsi vilitoa nafasi kubwa ya kuutangaza ufunguzi huu kwa mbwembwe zote bila ajizi wiki nzima kabla ya tukio.

Pesa imetumika vya kutosha. Timu yetu ilishuhudia namna wamiliki wa magari walivyofaidi kwa kujaziwa mafuta, vijana wa boda boda nao walivyofaidi. Timu ilishuhdia misururu ya boda boda wakijaziwa mafuta kwenye sheli kadhaa. Pita pita za timu zilinasa taarifa kila boda boda kujaziwa mafuta lita 5, pesa ya Boss elfu 10 na pesa ya kula elfu 5.

Kuhusu magari ya abiria basi za daladala, walijaziwa mafuta, malipo ya kulaza ya siku laki 1 na pesa ya kula. Vyombo hivi vilitumika kubebea watu maalumu pamoja na sombasomba katika maeneo yote shamba na mjini ili kufika kwenye mkutano.

Timu ilishuhudia waratibu wa CCM wakipita kwenye baadhi ya vijiwe vya boda boda na vibanda vya Mama lishe wakiandika majina na kuwaarifu eti Mh atakuja kuzungumza nao.

Zipo taarifa za wafanyakazi wa vikosi vya SMZ( JKU, KMKM,KVZ na MAFUNZO) baadhi kulazimishwa kuhudhuria, hasa waliko kwenye kambi za mafunzo. Huwa wanapewa uniforms za CCM na kuonekana kama jumuiya fulani ya CCM.

Ukweli ni kwamba uwanja ulijaa na ulijazishwa kwa njia zote zikiwemo fedha, kazi ya vyombo vya Habari, kutumika kwa vyeo na madaraka ya viongozi wa CCM walioko serikalini.

Huko uwanjani kulijaa rika la watoto na vijana mbali mbali na wazee kwa wastani.

Kulikuwa na muziki mkubwa na burudani kedekede kutoka kwa wasanii wakubwa wakina Ali Kiba na Zuchu. Huko staha iliwekwa Pembeni kabisa.

Kulikuwa na Ulinzi wa Kutosha kila kona kutokana na unyeti wa Mkutano wenyewe au kwa mnufaiko wa Madaraka.

ACT- Wazalendo
Hawakupata coverage ya vyombo vya Habari vya Serikali na vichache tu vya binafsi na mitandao ndio vilitoa habari za mkutano huo.

Maandalizi yalikuwa machache sana, suala la mapingamizi ya wagombea wao ikiwemo nafasi ya Urais wa zanzibar, wabunge na wawakilishi yalififisha maandalizi. Ikumbukwe ilikuwa ni ujumaa jioni siku ya tarehe 11 ndio taarifa za kupitishwa Mgombea wao zilipatikana. Waandamizi wengi walikuwa wako kwenye kupigania mapingamizi.

Hakukuwa na matumizi ya Pesa kutoka kwenye chama, hawana vyeo na ushawishi wa kimadaraka kwa sasa.

Watu walimiminika kutoka maeneo yote kwa gharama zao, wengine wakitembea kwa miguu bila ajizi.

uwanja ulifura wenyewe na kujaa wala haukujazishwa.

Timu ilibaini wengi wa wahudhuriaji ni watu wazima wenye akili zao, heshima zao na wanaojitambua.

Hakukuwa na vishawishi vya mziki wa watu wenye majina na ilikuwa kuna burudani za kawaida zizisokera.

Kupitia Taswira hiyo unaweza kupata Picha ya kampeni za Ufunguzi kwa vyama hivi viwili vikubwa visiwani Zanzibar kwa sasa.

Timu yetu bado imepiga kambi, tutakuletea yatakayojiri huko siku za mbele

Kwa niaba ya Timu.

Kishada.
 
KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,088
2,000
CCM inajinufaisha. Juzi Dr Hussein Mwinyi alikusanyiwa vijana waliomaliza form Six. wanaahidiwa kusomeshwa na kupewa mikopo.

Wengine wakifanya hivyo taasisi zinazotoa ushirikiano zinaandamwa. Taasisi za Umma zinalazimishwa kushiriki kampeni za Mgombea wa CCM kwa kujificha nyuma ya neno "KONGAMANO".

Kila kitu mbeleko.
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
11,077

Attachments

Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
922
1,000
CCM inajinufaisha. Juzi Dr Hussein Mwinyi alikusanyiwa vijana waliomaliza form Six. wanaahidiwa kusomeshwa na kupewa mikopo.

Wengine wakifanya hivyo taasisi zinazotoa ushirikiano zinaandamwa. Taasisi za Umma zinalazimishwa kushiriki kampeni za Mgombea wa CCM kwa kujificha nyuma ya neno "KONGAMANO".

Kila kitu mbeleko.
EhySo0pXsAAjYpa.jpeg
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
75,996
2,000
Hapo siku ya Jumamosi ya 12 Septemba, 2020, CCM ilifungua kampeni zake Zanzibar na siku ya pili yake yaani Jumapili ya tarehe 13 Septemba, 2020 ACT-Wazalendo nayo ilifunguwa kampeni Zanzibar.

Kuna baadhi ya mambo hayakusemwa au kupatiwa ufafanuzi.

Timu yetu ya kampeni ilipiga kambi huko imetuletea kilichoendelea na ambacho hakikusemwa kuelekea kwenye maandalizi ya ufunguzi hayo na kilichojiri. Mada hii haitajihusisha na Maudhui ya Kampeni isipokuwa Maandalizi yake tu.

UPANDE WA CCM
Maandalizi ya Mkutano wa CCM kama ilivyokawaida inakuwa ni mkutano wa kidola, viongozi wote walioko madarakani kuanzia Rais, viongozi wengine wa kitaifa wa serikali, makatibu wakuu, wakurugenzi, jaji mkuu na majaji wengine, vyombo vyote vya ulinzi, maofisa wa serikali na jumuiya za CCM mbali mbali walihudhuria.

Vyombo vya habari vyote vikiwemo vya umma na binafsi vilitoa nafasi kubwa ya kuutangaza ufunguzi huu kwa mbwembwe zote bila ajizi wiki nzima kabla ya tukio.

Pesa imetumika vya kutosha. Timu yetu ilishuhudia namna wamiliki wa magari walivyofaidi kwa kujaziwa mafuta, vijana wa boda boda nao walivyofaidi. Timu ilishuhdia misururu ya boda boda wakijaziwa mafuta kwenye sheli kadhaa. Pita pita za timu zilinasa taarifa kila boda boda kujaziwa mafuta lita 5, pesa ya Boss elfu 10 na pesa ya kula elfu 5.

Kuhusu magari ya abiria basi za daladala, walijaziwa mafuta, malipo ya kulaza ya siku laki 1 na pesa ya kula. Vyombo hivi vilitumika kubebea watu maalumu pamoja na sombasomba katika maeneo yote shamba na mjini ili kufika kwenye mkutano.

Timu ilishuhudia waratibu wa CCM wakipita kwenye baadhi ya vijiwe vya boda boda na vibanda vya Mama lishe wakiandika majina na kuwaarifu eti Mh atakuja kuzungumza nao.

Zipo taarifa za wafanyakazi wa vikosi vya SMZ( JKU, KMKM,KVZ na MAFUNZO) baadhi kulazimishwa kuhudhuria, hasa waliko kwenye kambi za mafunzo. Huwa wanapewa uniforms za CCM na kuonekana kama jumuiya fulani ya CCM.

Ukweli ni kwamba uwanja ulijaa na ulijazishwa kwa njia zote zikiwemo fedha, kazi ya vyombo vya Habari, kutumika kwa vyeo na madaraka ya viongozi wa CCM walioko serikalini.

Huko uwanjani kulijaa rika la watoto na vijana mbali mbali na wazee kwa wastani.

Kulikuwa na muziki mkubwa na burudani kedekede kutoka kwa wasanii wakubwa wakina Ali Kiba na Zuchu. Huko staha iliwekwa Pembeni kabisa.

Kulikuwa na Ulinzi wa Kutosha kila kona kutokana na unyeti wa Mkutano wenyewe au kwa mnufaiko wa Madaraka.

ACT- Wazalendo
Hawakupata coverage ya vyombo vya Habari vya Serikali na vichache tu vya binafsi na mitandao ndio vilitoa habari za mkutano huo.

Maandalizi yalikuwa machache sana, suala la mapingamizi ya wagombea wao ikiwemo nafasi ya Urais wa zanzibar, wabunge na wawakilishi yalififisha maandalizi. Ikumbukwe ilikuwa ni ujumaa jioni siku ya tarehe 11 ndio taarifa za kupitishwa Mgombea wao zilipatikana. Waandamizi wengi walikuwa wako kwenye kupigania mapingamizi.

Hakukuwa na matumizi ya Pesa kutoka kwenye chama, hawana vyeo na ushawishi wa kimadaraka kwa sasa.

Watu walimiminika kutoka maeneo yote kwa gharama zao, wengine wakitembea kwa miguu bila ajizi.

uwanja ulifura wenyewe na kujaa wala haukujazishwa.

Timu ilibaini wengi wa wahudhuriaji ni watu wazima wenye akili zao, heshima zao na wanaojitambua.

Hakukuwa na vishawishi vya mziki wa watu wenye majina na ilikuwa kuna burudani za kawaida zizisokera.

Kupitia Taswira hiyo unaweza kupata Picha ya kampeni za Ufunguzi kwa vyama hivi viwili vikubwa visiwani Zanzibar kwa sasa.

Timu yetu bado imepiga kambi, tutakuletea yatakayojiri huko siku za mbele

Kwa niaba ya Timu.

Kishada.
Asante
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,443
2,000
Upande mmoja unatumia rasilimali nyingi, muda, nguvu na vitisho mbali mbali kwa wafanyakazi wa serikali, upande mweengine unafaidi kuungwa mkono na Umma bila kutumia nguvu nyingi.
Huo ndio ukweli.
Mkuu hata mimi ningepata nafasi huko ccm ningeshiriki kubeba watu, maana ndiyo msimu wa kufanya mabadiliko kifamilia, mfano ujenzi, kununua mali, kuhifadhi pesa na familia kufaidi matunda yangu ya siasa.
 
KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,088
2,000
Mkuu hata mimi ningepata nafasi huko ccm ningeshiriki kubeba watu, maana ndiyo msimu wa kufanya mabadiliko kifamilia, mfano ujenzi, kununua mali, kuhifadhi pesa na familia kufaidi matunda yangu ya siasa.
Huu unaitwa msimu wa kula. Watu wanakula riziki zao then kura wanajuwa wenyewe wazipeleke wapi.
 
KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,088
2,000
Hii ni kampeni ya serikali yote na washirika wake na vyombo vyake pamoja na CCM dhidi ya ACT wazalendo.

Ni kundi lile lile linalonufaika linajibadilisha kila mahali ili lionekane Ni watu wengine. Wananchi wametulia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom