Uchaguzi 2020 Tulimjaribu Magufuli na CCM yake miaka mitano - Tumeangukia pua sasa tunaijaribu CHADEMA - CCM tulieni

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,942
3,819
Tume waacheni CCM waangalie hali yao na sio mnawabeba,mnajua wananchi kwa kigezo cha uchaguzi walimchagua Magufuli fundi wa barabara mjenzi mahiri miaka mitano ya Uraisi kuwaongoza wa Tanzania inamalizika mwezi ujao,kwa kweli hakuna maendeleo na hela mfukoni imekimbia au imezidi kukimbia.

Kama ni majaribio kuijaribu CCM, tumefeli na tumeangukia pua,WaTanzania bado tunatumia kura zetu kutafuta chema kizuri kitakachofuta mabaya na makovu yote ya CCM ,mwaka huu dalili zote zinaonyesha waTanzania wataichagua CHADEMA na Lissu kuwaongoza waTanzania, miaka mitano sio mingi.

Ipo siku majaribio yetu yatatufikisha tunapotarajia kwa yale tunayojengewa matumaini,ambayo CCM imeshindwa kuyatekeleza zaidi ya kushuhudia mambo yasipata kutokea katika nchi yetu.

Tume kwa weledi wenu msiivuruge nchi kwani viashiria vyenu ni vya hatari sana,mnakandamiza wapinzani tu.
 
Naunga mkono hoja! Kiukweli huyu jamaa aliyeko sasa anazingua na hajielewi. Haiwezekani aiendeshe nchi kama mali yake.

Yaani anachoamua yeye hata kama hakina maana au tija kwa Taifa, kinafanyika! Huwezi kuiendesha nchi kama taasisi yako binafsi.

INATOSHA!!
 
Nchi itauzwa
 
Hata taasisi binafsi huwa zinakuwa na bodi ya wakurugenzi ambao wanahusishwa kwenye maamuzi!
 
Tume waacheni CCM waangalie hali yao na sio mnawabeba,mnajua wananchi kwa kigezo cha uchaguzi walimchagua Magufuli fundi wa barabara mjenzi mahiri miaka mitano ya Uraisi kuwaongoza wa Tanzania inamalizika mwezi ujao,kwa kweli hakuna maendeleo na hela mfukoni imekimbia au imezidi kukimbia.

Kama ni majaribio kuijaribu CCM, tumefeli na tumeangukia pua,WaTanzania bado tunatumia kura zetu kutafuta chema kizuri kitakachofuta mabaya na makovu yote ya CCM ,mwaka huu dalili zote zinaonyesha waTanzania wataichagua CHADEMA na Lissu kuwaongoza waTanzania, miaka mitano sio mingi.

Ipo siku majaribio yetu yatatufikisha tunapotarajia kwa yale tunayojengewa matumaini,ambayo CCM imeshindwa kuyatekeleza zaidi ya kushuhudia mambo yasipata kutokea katika nchi yetu.

Tume kwa weledi wenu msiivuruge nchi kwani viashiria vyenu ni vya hatari sana,mnakandamiza wapinzani tu.
UONGOZI HAUJARIBIWI.
 
Rais anazungumzia wanawake majukwaani kwa matamanio ya kudako ! Kuna Rais hapo? Ametuambia mgombea mwenza amemteua kwa kuwa mweupe ili amuondolee stress. Tumpe miaka mingine 5 ili iweje? Tuna JAMBO LETU tarehe 28 Oktoba 2020.
 
Jpm mitano tena ,kelele za juu ya jpm kwa wauza madawa na kulevya na wala rushwa hazita tufanya 28 tugeuke na kukosa kumpigia kura
 
Rais anazungumzia wanawake majukwaani kwa matamanio ya kudako ! Kuna Rais hapo? Ametuambia mgombea mwenza amemteua kwa kuwa mweupe ili amuondolee stress. Tumpe miaka mingine 5 ili iweje? Tuna JAMBO LETU tarehe 28 Oktoba 2020.
Duu hapo kamdhalilisha mkewe Janet
 
Back
Top Bottom