ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mkapa alikuwa na mafaili ya wengi wasio wasafi CCM na Serikalini, Mzee Mangula simama imara kwenye kuchuja wagombea

    Mkapa alitusaidia Kama nchi kupata Raisi Safi Magufuli sababu alikuwa na mafaili ya wezi, mafisadi na vibaka ndani ya CCM na serikali. Angekuwa hai angesaidia mno mchakato wa kuchuja watia Nia ubunge na udiwani sababu aliwajua wengi in and out Mkapa ndie alisaidia nchi kupata Raisi Magufuli...
  2. B

    CCM kuweni makini na mtumie intelijensia yaliyotokea Jimbo la Sengerema

    Kuna mtia nia mmoja ni Darasa la Saba ,ana tamaa sana ya madaraka na hatosheki. Alikuwa CHADEMA baadaye akawasaliti na kurudi CCM ili agombee tena ubunge. Anautafuta ubunge muda mrefu sana na hata hatujui ajenda yake hasa ni ipi. Amewekeza pesa nyingi sababu yeye ni tajiri kwa kutoa vizawadi...
  3. M

    GE2020 Funzo nililolipata baada ya kupata 0 kwenye kura za maoni za udiwani CCM

    Salamu zenu wakuu, Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu. Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili katika zoezi lile la kura za maoni zilizofanyika jana siku ya Jumamosi ya tarehe 25/07/2020. Kwanza...
  4. S

    UCHUNGUZI: Mbinu iliyotumika kuwapa rushwa wajumbe wa CCM

    Baada ya kusikia na kuona malalamiko mengi Sana ya watia nia ndani ya ccm kuwa walioshinda kura za maoni ni wenye fedha nyingi, Sexless unit iliingia majimboni kufanya utafiti. Tulitaka kujiridhisha juu ya maswali yafuatayo;- 1. Je, rushwa ilitumika ktk mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm...
  5. Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti wa CCM kule mkoani Kilimanjaro kumpendelea Ibrahim Shayo ili apitishwe kugombea Jimbo la Moshi Mjini

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kule Kilimanjaro, CCM imemuamini mwenyekiti wa CCM mkoa Jambo ambalo nitakigharimu chama kwa miaka mitano. Mwenyekiti wa CCM mkoa ni swahiba mkubwa wagombea aliyepitishwa kugombea Jimbo la Moshi Mjini. Mtandao huo umekwenda mbali kiasi kuwa kaka wa Ibra...
  6. Nape: Mkapa aliniambia nisithubutu kutoka CCM pamoja na kukata tamaa

    Nape Nnauye yuko msibani na anaongelea uhusiano wake na Mkapa, amesema alianzia U-DC wilaya ya Masasi, nyumbani kwa Mkapa na alimpika vizuri sana kisiasa na utendaji. Aliingia kamati kuu 2002 Mkapa akiwa mwenyekiti na kusema alikuwa na misimamo katika kuongoza vikao vya chama. Mwisho anasema...
  7. S

    Pesa ilikuwa ndiyo sifa ya kwanza kwenye kura za maoni CCM

    Mambo yamebadilika ndani ya CCM. Dosari kubwa ni jinsi mchakato wa kupata wagombea unavyoendeshwa ambapo hakuna tena muda wa mwanachama anayegombea kujieleza kwa undani na kumwaga sera na mipango yake ya maendeleo. HAKUNA mgombea yoyote katika jimbo lolote aliyepata kura tano na kuendelea...
  8. B

    Hivi CCM inaweza kuchukua mtu aliyekuwa wa mwisho kwenye kura za maoni apeperushe bendera?

    Kwa utaratibu uliowekwa na CCM kwa wagombea kutofanya Kampeni kwenye kura za maoni,ni wazi sasa wote waliopata kura moja au sifuri ndio ambao hawajatoa rushwa au kukutana na wajumbe. Swali ni je CCM ambayo huchukua mshindi wa kwanza hadi wa nne,inaweza kuvunja utaratibu mwaka huu na kuchukua...
  9. Umaarufu wa "Wajumbe" wa ngazi mbalimbali za maamuzi za CCM waongezeka

    Katika mchakato wa uchaguzi wa awali ndani ya CCM unaoendelea maeneo mbalimbali pameibuka msemo maarufu kuhusu wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika ngazi mbalimbali za kimaamuzi ndani ya CCM. Je, wajumbe ni kina nani haswa? Je,roho zao ndivyo zilivyo kama wanavyosemea? Weka neno moja tu...
  10. M

    GE2020 Mwenyekiti CCM MARA: Wasaliti na Watoa Rushwa Hawana nafasi ndani ya CCM

    Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM...
  11. J

    Kikwete: Pamoja na kushindana sana na Mkapa 95 hakunigongagonga nipotee, alisimama nami

    Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge. Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa...
  12. Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini

    Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratias Nsokolo ni kirusi kinachowauwa waandishi wa habari katika mapambano ya kudai haki na ukuaji wa tasnia hiyo kwa ujumla. Rais wa UTPC...
  13. Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

    Nimeanza kuona watu wakitetea tatizo hili la rushwa kwa kusema lete ushahidi. Ukweli ni kwamba nafasi ya wajumbe wa CCM kuamua nani awe mgombea, inatumika vibaya sana! Hawa ni watu ambao hawalipwi mshahara. Wakati wa uchaguzi hutegemea kipato toka kwa wgombea huu ni mtindo ambao umejionesha...
  14. J

    Kama David Silinde aliitumikia CCM kwa siri kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni inawezekana sasa anaitumikia CHADEMA akiwa CCM

    Maneno huumba. David Silinde kwa kutamka hadharani kwamba yeye ni "Chawa" kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni alikuwa akiitumikia CCM kwa siri amefungua mlango kwa maadui wa CCM kuweza kumtumia kwa sababu anaweza "kutumika" Binafsi sikutegemea kauli kama hii itoke kwa mwanasiasa kijana, hata hivyo...
  15. K

    Mchakato wa kura za maoni CCM uligubikwa na rushwa ya kutisha

    Katika jambo lilowashangaza wafuatiliaji wa mchakato mzima wa kura za maoni (Ubunge) CCM, ni jinsi Wabunge au watia nia waliokuwa wanatetea nafasi zao za majimbo jinsi walivyoweza kujipanga mapema katika kuhakikisha wanatetea nafasi zao "by hook or by crook". Mkakati mkuu walioutumia mara hii...
  16. U

    CCM ni pagumu mno Profesa J wala Sugu wasingepewa nafasi CCM, FA nenda Kigamboni ACT unatoboa

    Jamani utaratibu wa kupata nafasi ya kugombea CCM Ni mgumu mno kwa mtu wa kawaida na asiyemfanyabiashara mkubwa, pale ni kweli Kuna wenyewe, na fitina , kujuana, family history, rushwa vina husika sana. Mimi naamini huyu Sugu au professor asingepata nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM miaka...
  17. J

    Mzee Sumaye aliona mbali, siyo rahisi kufuta rushwa CCM ni heri ibatizwe kuwa Takrima!

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye baada ya kuona siyo rahisi kuondoa rushwa kwenye uchaguzi ndani ya CCM aliipa jina jipya na zuri la Takrima. Watu wakapiga sana kelele lakini ndio hivyo hadi leo huwezi kushinda uchaguzi CCM bila kutoa takrima. Mgombea...
  18. K

    Hayo malalamiko ya Rushwa kila kona kwenye uchaguzi ndio uhalisia wa CCM

    Mada inahusika sambamba na kinachoendelea kwenye kura ya maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Ndugu Mwenyekiti nadhani umepata picha halisi. Hayo malalamiko ya RUSHWA kila kona kwenye uchaguzi ndio uhalisia. Zile jitihada zako bado hazijafua dafu. Nadhani unazo taarifa za wateule hatua hii ya...
  19. Video: Mgombea wa CCM akiwatoka PCCB wakati akigawa rushwa

    Tangu kura sijui za maoni sijui za nini huko zitangazwe, matukio ya rushwa yalishamiri mno, mchakato huu ulifanywa na Chadema pia ila hatukusikia haya mambo. Video hii ni mtu anayesikika akitajwa kwa jina la Ngeleja akiwakimbia PCCB wakati wakijaribu kumkamata. Wabunge wa style hii kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…