ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    GE2020 Mimi ni mwana CCM ila safari hii, kura yangu tu naihamisha

    Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo. Nione...
  2. GE2020 Jimbo la Meatu litaenda CHADEMA iwapo CC ya CCM itafanya figisu kwenye uteuzi

    Wasalaam, Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki. Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu. Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo. Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa...
  3. GE2020 Inawezekanaje miundo mbinu iliyojengwa na pesa za watanzania wote, ionekane kuwa imejengwa na CCM pekee?

    Turufu kubwa inayotumiwa na wanaCCM, ili Rais Magufuli apewe tena miaka mingine 5 ya kutawala nchi hii, ni kuwa Rais huyo amejenga reli ya SGR, amejenga mafly overs, amejenga mabarabara ya lami, anajenga bwawa la umeme katika mto wa Rufiji Nimekuwa nikijiuliza ni kwanini juhudi zinazofanywa na...
  4. CCM na Magufuli mmejiandaa kisaikolojia kukabidhi nchi kwa mshindi au mtalazimisha mtolewe kwa "crane?"

    Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania.... Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote.... Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka...
  5. GE2020 Ujumbe kwa CCM: CHADEMA wanajua wanachokitaka na wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka

    Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha. Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura. Sasa basi. Imetosha.
  6. Ama kweli akutukanae huwa hakuchagulii Tusi, ila pongezi sana Kamati ya Roho Mbaya ya CCM huko Kigamboni

    "Asilimia 70 ya huu mkoa ni wambea, na wanapenda umbea kuliko chochote kile, msikubali wakawatenganisha wewe na RAS wako..wanapiga majungu sana hawa msiwaone hivi, wanamjua mtu kuliko anavyojijua yeye". Aliyekuwa RC Dar es Salaam-Paul Makonda ITV Tanzania. Kwa bahati mbaya siishi Tanzania je...
  7. K

    CCM wazalendo, mwambieni Rais Magufuli arekebishe haya mapungufu

    Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa. Kila kwenye mazuri na mapungufu hayakosi. Leo tena ninawaomba wale wazalendo wa kweli ndani yaCCM wafuate nyayo za hivi karibuni za Mstaafu JK. Jaribuni kutumia fursa kumwambia ukweli Rais JPM. Kwanza mtangulize nia njema na muwe...
  8. GE2020 Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa

    WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...
  9. GE2020 Mgombea Ubunge Mwenzetu alilipia ukumbi wa kura za Maoni akashinda

    Baadhi ya wagombea Ubunge wa Kura za Maoni CCM katika jimbo la Arusha mjini wamefichua mazito siri ya Ushindi wa mgombea mwenzao Mrisho Gambo aliyepata kura 333 na kufuatiwa na Philemon Mollel aliyepata kura 68 kuwa alilipia ukumbi wa uchaguzi na kulala katika hotel ya Mt.Meru karibu na ukumbi...
  10. Hali halisi: CCM ni sawa na wakoloni ila wao ni weusi

    Wasalaam, naongea ukweli umasikini wetu watanzania umetengenezwa na CCM kwa maslahi ya kakikundi ndani ya jamhuri ya muungano kamajiita CCM. Nasema haya maana tangu Uhuru tumetawaliwa na CCM kwa maslahi ya CCM. Kwanini nasema tunatawaliwa na CCM? Ni kwa sababu mpaka Leo watanzania hatuna Uhuru...
  11. GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  12. GE2020 Lissu vs Nyalandu ni sawa na CHADEMA vs CCM masikioni mwangu

    HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili. 1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM. 2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider...
  13. GE2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

    Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm! Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
  14. T

    GE2020 Mwaka huu kama umegombea CCM, ukikatwa jina lako huna mbadala, majina yote kutolewa siku ya mwisho na NEC

    Mwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee. Kama mnavyosikia, alisema Polepole na jana pia amesema Waziri Mkuu kuwa kura za maoni hazikua na maana...
  15. GE2020 Watanzania milioni 29,188,347 kuwahukumu akina Magufuli (CCM), Lissu (CHADEMA) na Membe (ACT-Wazalendo) Oktoba 28, 2020

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347. Nipashe. Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
  16. GE2020 Kwa namna gani chama imara kama CCM, kikubwa na chenye historia ndefu kinawezaje kusumbuliwa na vyama vidogo?

    Wakuu habarini za kitambo kidogo na poleni sana kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais Mstaafu Mzee Benjamini Mkapa (R.I.P), Kwa muda mrefu huko nyuma nilikuwa najiuliza inawezekanaje na ni kwanini CCM hujikuta wanatumia nguvu kubwa sana kuvuka na hatimaye kupata ushindi wa chaguzi...
  17. Hawa ndio Kamati Kuu ya CCM ambao maweshika roho za watia nia, TAKUKURU watawezana?

    Huu ndo wakati wa Kamati Kuu kuchanua,wagombea na watia nia wanahaha kuweka mambo vizuri kwa wajumbe. Kuna watu wametoshana kwenye kura, kuna watu wana tuhuma za rushwa hawana uhakika wa jina kurudi. Itoshe tu kusema kwamba wajumbe ndio wakati wao huu wa kunyenyekewa na kula vya bure. Anayesema...
  18. CCM mnalea rushwa,au mnabisha?

    Yaani chaguzi zenu zote kuanzia udiwani hadi ubunge majimbo na viti maalum washindi kila mahali inasemekana zimetawaliwa na rushwa na haya yanathibitishwa na wajumbe wenyewe waliopokea milungula hiyo. TAKUKURU ni kama hawajaona hivi, ni kama wanaogopa hivi. Waombeni TIS wawasaidie Kama...
  19. Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia

    Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka 1.Ajira kwa vijana 2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6% 3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo...
  20. Same : CCM yapukutishwa

    Hii ni baada ya mamia ya wananchi kurudisha kadi za chama hicho na kjiunga na Chadema. Taarifa zinadokeza kwamba huu ni mwanzo tu , kipigo zaidi kinakuja .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…