ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kwa masikitiko nauona mwisho wa chama changu CCM

    Jambo hili linaloumiza nililiona tangu kuanza kukataliwa kwa mikutano ya siasa na kuletwa kwa sheria mbalimbali kama za takwimu, habari n.k ambazo kiuhalisia lengo ilikuwa kudhibiti ukosoaji na Upinzani na kuongeza kuungwa mkono kwa chama na serikali kwa sababu watu watakuwa wanasikia mambo...
  2. S

    CCM wameanza kampeni Rasmi leo Uwanja wa Uhuru 15/08/2020

    Ni vizuri kuelewa CCM wameanza kampeni zao leo katika uwanja wa uhuru kwa style ya mbwamwitu kujivalisha ngozi ya kondoo. Baada ya kupata hisia kuwa uchaguzi wa mwaka huu wanapigwa na chini wameanza kukusanya wasanii ambao wameshawatisha na kuwaita kila kukicha kwa madai haya na yale,leo hii...
  3. KUMBUKUMBU: Ofisi za CCM Kengeja zilichomwa moto na Nyumba za wanaCCM kuwekwa X

    Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kitendo cha kuwekwa alama ya X nyumba kadhaa za wafuasi wake Kisiwani Pemba hivi karibuni. Aidha, kimesikitishwa na kulaani vikali kitendo cha kuchoma moto Tawi la CCM la Kengeja, kilichofanywa na watu wasiojulikana usiku wa kumkia leo. Hayo yamesema na...
  4. B

    Madhara ya Marufuku Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa

    14 August 2020 Hai, Kilimanjaro Tanzania Madhara ya Marufuku ya Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa na kutishia machafuko nchini Kufuatia kupigwa marufuku shughuli za kisiasa Tanzania sasa tunaona madhara yake katika maeneo fulani. Na athari zake zimekuwa kubwa kabisa...
  5. CCM nilikuunga mkono lakini kwa upuuzi huu sasa basi

    Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza...
  6. CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  7. GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  8. Polisi wanawahujumu CCM na Serikali yake?

    Habarini za Tarehe 14 hii ya leo wapendwa?. Kwa namna Jeshi la Polisi limetenda kumkamata Joseph Mbilinyi kule mbeya Katika mazingira ambayo wala hayakuhitajika kumkamata mgombea huyo wa ubunge aliyeenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge baada Ya kupitishwa na chama chake Mitazamo kadhaa...
  9. GE2020 CCM hatuupendi ukweli, tusione ajabu mgombea wetu akashindwa vibaya uchaguzi huu

    Mara nyingi nimekua nikisema kuwa sisi wana CCM tumekua waoga sana wa kuusema ukweli, ipo siku tutakua kwa aibu maana tukiendelea kutegemea Polisi kama alivyowahi kutuambia Rais mstaafu awamu ya 4 Dr JK. Hivi vyombo kuna wakati vitaamua kusimamia sheria ya nchi bila kuonea mtu, siku wakichoka...
  10. TCRA wanafanya kazi kwa upendeleo, wakati wakipiga mikwara wanaojiunga mubashara na vituo mbalimbali, wale wa CCM wanaachwa

    Wakuu Salaam, Nchi yetu Utawala wa Sheria wa Sheria Umeshrink Nchini Tanzania, Tunafuata Matanko ya Wanasiasa ndiyo yamegeuka kuwa Sheria. Hivi karibuni MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilivitaka vituo vya redio, televisheni na wanaotoa huduma za maudhui mtandaoni kuomba kibali/ ruhusa...
  11. Mtanzania kuichagua CCM ni kubariki maisha uliyonayo

    Ni mwaka mwingine wa uchaguzi na kwa desturi ya hapa kwetu Tanzania, uchaguzi hutoa fursa kwa Wananchi kuamua hatma ya maisha yao kwa kuchagua viongozi wa kuwaongoza kila baada ya miaka mitano, ikiisha kiongozi anayekuwa madarakani anaomba ridhaa nyingine ya miaka mitano kukamilisha ungwe ya...
  12. Q

    CCM ijiandae kisaikolojia, mwaka huu lolote linaweza kutokea

    Najua CCM imejiandaa kushinda kwa mbinu yeyote ile, Jecha style, NEC style, wizi n.k. ila wajue Wapinzani wao nao wamejiandaa kutoshindwa kirahisi kwa mbinu zozote zile, iwe hacking, kuingia barabarani, kuwatumia mabeberu n.k. Kitu cha msingi CCM wajue kuwa wapiga kura ni binadamu siyo...
  13. GE2020 Wito kwa makada wenzangu wa CCM: Wagombea wetu tuwaombe, tuwashawishi na tuwalazimishe washiriki kwenye Midahalo kuona na kupima walivyo 'deep'

    Natoa wito wenye mvuto. Kwa makada wenzangu wa CCM na wakereketwa wa chama na wananchi wote kwa ujumla wanaokiunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wito wa kuwaomba, kuwashawishi na 'kuwalazimisha' Wagombea wetu hasa wa Urais na Ubunge waitake na kushiriki kwenye Midahalo ili kupima uwezo wao. Uwezo...
  14. Z

    'Nikomoeni' ya CCM yaanza kuwatia adabu waliogombea ubunge

    Wooote waliogombea ubunge uwe na sifuri au miaka kadhaa; kwanza hakuna mshahara wa Julai na Agosti bila kujali umerudi kazini tayari, bila kujali ulikuwa masomoni, ulikuwa likizo yako, nk. Najua walimu wako madarasani wakionesha uzalendo wao wa miaka yote kuisaidia CCM. Sasa lazima waandike...
  15. CCM bora ya muda wote kwangu ni ile iliyoongoza mapambano Kusini mwa Afrika na ile iliyomchapa Nduli, hizi CCM nyingine sijawahi kuzielewa

    Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu. 1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini. 2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda. CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
  16. Watu wasiojulikana ndiyo msingi wa CCM kupoteza uchaguzi huu

    Habari wanajukwaa! Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu ni wenye ushindani mkubwa sana, kwa pande zote. Kwa upande wa chama tawala, turufu yao kuu ni ununuaji wa ndege, ujenzi wa miundombinu mbalimbali, pia kuleta mabadiliko ya kiuongozi ndani ya taasisi za serikali. Kwa mfano: Katika baadhi ya...
  17. M

    Pendekezo: TBC ikabidhiwe kwa CCM

    Amani na iwe kwenu. Salaam Natoa pendekezo kuwa "Shirika la Utangazaji la Taifa" TBC likabidhiwe kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ndo awe mmiliki wake kwa 100%. Madhumuni ya pendekezo hili ni kuliwezesha liweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi bila kuwa na mgongano wa kimaslahi. Hatua hii pia...
  18. J

    Victor Njau mtia nia ubunge Arusha Mjini (CCM) aokotwa akiwa hana fahamu na majeraha mwilini, alazwa hospitali ya Mt. Meru

    Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu. Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni. Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
  19. T

    GE2020 Kuna dalili CCM itawakata wengi walioongoza na hawataweza kwenda upinzani

    Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani. Kuna nijadala inaendelea kuwa hao watakaokosa na huku wameongoza upinzani wameshajiwekea mazingira mazuri ya kuhamia upinzani na...
  20. F

    Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

    Hatimaye siri imefichuka baada Katibu itikadi na uenezi CCM, kuwatisha wabunge washindi wa kura za maoni, sasa wabunge hao waibuka na janjajanja wasikatwe. Mbinu inayotumiwa na mafisadi wa CCM walionunua wajumbe, ni kuwatuma wafuasi wao katika misafara ya Tundu Lissu anayesaka wadhamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…