ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
  2. JamiiForums Tanzania Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu. Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi. Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa...
  3. JamiiForums Tanzania CCM nao wameshindwa uchaguzi 2020, mshindi Dkt. Magufuli tu

    CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu Abu Kauthar Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo kilikuwa ni kikubwa mno. Kishindi cha bomu lililoteketeza sio tu vyama vya upinzani, bali hata mmea...
  4. JamiiForums Tanzania CCM, Mfumo wa Chama kimoja na Kisa cha malaika wa Zawadi

    Kisa chenyewe! "Malaika mmoja alimtokea Mtu mmoja nyumbani kwake, akamwambia maombi yake kuhusu hali ngumu yamesikilizwa na hivyo anaweza kumwambia cochote akamsaidia. Ila kabla hajachagua kuna sharti moja tu, cochote atachokiomba JIRANI atapata Mara Mbili yake! Yule mtu baada ya kusikia...
  5. JamiiForums Tanzania CCM na Magufuli mmejifunza nini?

    Salaam.... Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu... Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzanians and Diplomatic Community Tools in Legitimization of CCM Selections

    President John Magufuli was inaugurated on Thursday, November 5th as president of the United Republic of Tanzania for a second and final term just days after a chaotic election known in the history of the East African nation. Magufuli won a second term in an election that was marred by violence...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ni chama makini. Kinapofanya makosa hujitathimini na kujirekebisha na hii ndio sababu ya kupata ushindi mnono

    Iwe ni mtu au taasisi makini lazima inapofanya makosa ijitathimini na kujua ilikosea wapi ili iweze kujirekebisha na kutofanya makosa tena. Ccm kama chama makini kilifanya tathimini na kutambua kuwa kura za maoni huwa ni chanzo cha kushindwa na wapinzani ndio maana safari hii walikuwa makini...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan afariki dunia

    Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan amefariki dunia juzi na kufanya idadi ya madiwani waliofariki dunia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 kufikia wanne. Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Catherine Peter Nao amesema diwani...
  9. JamiiForums Tanzania Kauli za Sisi 'Wanasiasa' ndiyo muda mwingine zinatufanya 'Wananchi' wasituamini na waendelee kumpa 'Kura' Rais Magufuli na CCM yake tu

    Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita.... "Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake...
  10. JamiiForums Tanzania Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

    Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji". Msemo huo una maana kubwa sana, pia historia ina utamaduni wa kujirudia. Siku za karibuni tumeona viongozi wa upinzani...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  12. JamiiForums Tanzania Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

    Wabunge wa Viti Maalum 1. Maida Hamadi Abdallah 2. Munde Tambwe Abdallah 3. Rose Vicent Busiga 4. Mwantum Dau Haji 5. Agnes Elias Hokororo 6. Dkt. Christine Gabriel Ishengoma 7. Zainabu Athumani Katimba 8. Fakhari Shomari...
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na ushindi mzito wa CCM: Sisi kama Watanzania tunapaswa kutafakari kwa kina juu ya hili

    Tanzania ni moja ya Nchi ambayo baada tu ya Uhuru ilifanikiwa kujenga msingi Imara wa kiutawala kupitia TANU na baadae CCM. Msingi ambao unaifanya Tanzania kuwa moja ya Nchi chache Barani Afrika zenye uimara wa hali ya juu kiutawala. Sasa ni miaka 20 tangu mfumo wa vyama vingi uanze, na hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania CCM na Yanga SC: Si mmevuna mlichotaka iweje mnateseka? Tuacheni tupumzike kidogo

    Humu JF saivi kuna trend za thread za WanaCCM na wana Yanga ambazo lengo sio kushangilia ushindi waliopata Bali ni kujaribu kuwasihi wale waliowaonea wakubaliane na matokeo Mfano wa hizo thread ni Mzee shomari--------- Mzeee mgaya anasema---- Hanspope sio ----------- Marefa wa Bongo ----...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ndio wanalia CHADEMA wapeleke Wabunge wa Viti Maalum na si CHADEMA wenyewe?

    Habari Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa CHADEMA. Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani...
  16. JamiiForums Tanzania Sabubu za CHADEMA kushindwa Uchaguzi Mkuu na Sababu za CCM kushinda Uchaguzi Mkuu 2020

    KWANINI CCM WAMESHINDA, NA WAPI WAPINZANI WAMEJIKWAA. TATHIMINI INALETWA NA DON NALIMISON. 1. KWANINI CCM WAMESHINDA? Tuangalie pande mbili Chanya na Hasi. Tuanze na MATOKEO Chanya: CCM ndio Chama kinachoshika Dola na hata Uchaguzi umefanyika TUME ya Uchaguzi ikiwa chini ya Dola ya CCM...
  17. JamiiForums Tanzania Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

    Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania. Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini mlioisapoti CCM naona sasa akili na mioyo yenu imetulia baada ya sauti kuu za mawazo tofauti na CCM kuondolewa bungeni

    Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia. Naona baada ya kuhakikisha kuwa upinzani makini umekufa mioyo yenu imetulia sasa mnajiandaa kula matunda ya...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia

    Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar mnapaswa kudai utaratibu ndani ya CCM wa angalau Naibu Spika atoke Zanzibar ikiwa Spika ni wa kutoka bara

    Kuna mambo yanaweza yakawa hayako kwenye Katiba, lakini yakawekwa kuwa uratatibu unaokubalika. Kwa mfano, ni utaratibu wa CCM kumwachia Rais kutoka CCM kugombea awamu ya pili ya Urais bila kumpinga. Hilo haliko kwenye Katiba ya CCM lakini limekubalika kwa watu wa CCM. Kwa msingi huo basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…