ICC kesi ipo palepale - CCM vichwa anzeni kuweka maji

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,930
3,803
Huu ukisio wa ACT kujiunga hauhusiani na majanga yaliyofanywa na CCM katika uchaguzi uliovurugika na kufunikwa na mauaji na mateso ya kila namna, tena wala msifikirie kuwa damu zilizopotea zinayeyuka kwenye upeo, huko ni kujidanganya na kujipa moyo.

Kasi ya kuhakikisha haki inapatikana ipo palepale na mashitaka ya kuwafikisha wahujumu uchaguzi na waliotenda jinai ndio kwanza zinaanza kushika reli, ACT wamejiunga kutokana na mikakati yao na kama walivyojiunga kwa hiari wanaweza kuachia kamba kwa hiari yao na kujiondoa, jambo ambalo litazua mtafaruku kimataifa, hilo nalo mlijuwe.

Ngoja uchnguzi wa kimahakama wa ICC umalizike hapo mtasikia akiitwa mmoja mmoja kwa jina lake.
 
Hata taratibu za mahakama ya ICC huzijui unakuja kuropoka tu humu. Siku mtakapoona hakuna kinachoendelea mtadai CCM imeionga ICC.
 
Amka ukafanye kazi acha ndoto za mchana.

ICC ina mambo mengi ya kufuatilia sio kugombana na serikali zilizoko madarakani KIHALALI.
 
Ngoja uchnguzi wa kimahakama wa ICC umalizike hapo mtasikia akiitwa mmoja mmoja kwa jina lake.
Kumbe hata uchunguzi bado unafuatisha tu matamanio ya moyo wako

Hujui ICC inavyofanya kazi,katafute Cha kufanya dogo
 
Msiniambie mtuhumiwa akiwa uraiani anakuwa huru au anakuwa na wasiwasi hajui kesho itaamkaje,MiCCM jipeni moyo kadiri mtakavyoweza na kawaida jidanganyeni kama mlivyodanganya uchaguzi kuwa mmeshinda,nyinyi na upofu wenu wa kujidanganyia endeleeni ,ila palapanda itakapolia msije kuanza kushikana mashati,mimi sie ni yule,aafu ICC aijui nani raisi unaitwa tu ,wewe kuja ,ila msiogope sana watu wanahitaji majibu tu,ilikuwaje yule Kizee wa watu Ameir mkamteka mkampa sumu ya kipigo akajifia polepole,hili nalo kubwa na limegusa watu wengi sana,mtalijibu tu,sasa kama Husein analijua na amekaa kimya kama amekufa sisimizi ,na hakuna sababu ya kufuatia mambo haya kimya kimya.
 
Uitwe ICC ujidai wewe ni sijui ni mzalendo, aloo mnamjuwa Omaru Al bashiru wa Sudan alikuwa sio Raisi tu ni mwanajeshi tena sio mwanajeshi wa JKT ni dizaini za wale JWTZ ,mbali ya kuwa jeshi zima lilikuwa mikononi kwake,sasa hawa ccm hata mgambo hawakupita kweli wataweza kupinga mwito wa ICC,waratibu wa mipango miovu kina Chakubanga na Abushiri.

Hii drama itakuwa safi ,waTz hupenda drama ila hii itakuwa na mvuto wake maana haya mambo hapa kwetu mageni na tunazani hayawezi kufika,nani kayafikisha.
 
ACT inaenda kufa soon. Tayari mumekosa shabaha kwa kusaliti wanachama wenu, yaani mnaangalia maslahi ya matumbo yenu tu? Inasikitisha sana.
We hujui siasa, kajifunze kwanza kabla hujacomment.
Askari wa Marekani wanakwenda kupambana Afghani stani,iraq nakwengineko na wengi wao hufa kwa jina na amri ya Raisi na Nchi yao.si kwa maslahi yao binafsi.
Hivyo hivyo wanachama wa ACT waliokufa kwa ajili ya Amri ya Viongozi wao, wamefia chama chao ili wengine waishi na wakubwa wapate utawala si vyengine.
 
Back
Top Bottom