Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa afunga semina za Kamati za Utekelezaji za Jumuiya za Chama

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
670
1,000
Semina hiyo Muhimu ilifanyika katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi wa Jumuiya za Chama za UWT, UVCCM na Jumuiya ya Wazazi

Kamarada Bashiru Ally pia aliwakabidhi Wenyeviti Wa Kamati hizo Hotuba ya Rais Dkt John Magufuli aliyoitoa wakati akifungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na nakala ya ya Ilani ya CCM 2020 - 2025 kwa ajili ya Ufuatiliaji na Utekelezaji.

FB_IMG_16068245493477179.jpg
FB_IMG_16068245422941221.jpg
FB_IMG_16068245367820736.jpg
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
39,172
2,000
Kanda ya ziwa kuna tatizo kubwa sana maana hili nalo ni zuzu haswa halijui hata linafanya nini hapa duniani.
 

Ryaro wa Ryaro1233

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
353
1,000
Wasomi wetu si wajinga ila believe me ukifanya kazi za SiSiem lazima ujitoe ufahamu. Hakuna cha Professor unapochagua kuwa Mwanasisiem, lazima uchizike kwanza ndo kazi iende.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom