ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote imetajwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025

    Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuweka taarifa ikionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 hadi 2020 imeweka bayana kipengele cha Bima ya Afya kwa wote. Ilani hiyo chini ya Jemedari wetu mbeba maono Dr. John Pombe Magufuli inasomeka kama ifuatavyo:- 1. HUDUMA ZA JAMII Zimeanzia kutajwa kwenye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wazungu wajichimbia Tanzania -Hongera CCM tumeanza kuipita Ulaya

    Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa sera za Tanzania kwa kuzingatia maudhui ya Ilani ya CCM ya 2020-2025: Je serikali itaweza kutimiza ahadi hizi zote kwa wakati?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Pombe Joseph Magufuli I. UTANGULIZI Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020 umekwisha, ukiwa unasindikizwa na ukosoaji mkali kutoka kwa vyama vikuu vya upinzani vya Chadema, ACT Wazalendo na CUF. CCM imepata wabunge 261...
  4. JamiiForums Tanzania Kuwabana Wakurugenzi kuhusu V8 ni usaliti wa CCM na Serikali yake kwao. Bila wao hali ingekuwaje?

    Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, Miji na Miji Midogo ndiyo waliopanga na kupangika kwa mipango iliyoiwezesha CCM kushinda kwa kishindo. Wao ndiyo walioratibu taratibu bila tabu mbinu zote za ushindi wa CCM kwa mwamvuli wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Wakurugenzi ndiyo walipokea maagizo ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Swali la sikukuu: Ununuzi wa magari ya kifahari kwenye halmashauri kosa ni la Wakurugenzi au Madiwani wa CCM?

    Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri. Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM. Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza. Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Najuta kuilinda na kuisaidia CCM ishinde, sasa navuna majuto

    Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

    Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka. Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea. 2020 hakuna mchagga atakula Krismas...
  8. J

    JamiiForums Tanzania John Komba: CCM ni kokoro

    Kila nikikumbuka kauli hii ya aliyekuwa mbunge wa Nyassa John Komba RIP aliyoitoa bungeni kwamba CCM ni kama Kokoro huwa inanitafakarisha sana. Sasa kama CCM ni kokoro chama kikuu cha upinzani CHADEMA tutakiitaje? Maana Chadema hupokea mtu yoyote na hawadumu baada ya kitambo kidogo huondoka...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Salaam Wakuu, Nmeanza kuelewa kwanini Matajiri wengi wa Tanzania wanaficha fedha zao nje ya Nchi. Siwalaumu tena. Na kama hii hali ikiendelea, Benki nyingi zitatikisika kiuchumi kwani watu watasusa kupeleka hela. Zamani Watanzania wengi walikuwa hawapeleki fedha zao benki. Walikuwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ACT-Wazalendo ni Chama Tawala pamoja na CCM

    Ukiisoma vizuri katiba ya Zanzibar utagundua kuwa chama kinachotoa makamu wa kwanza wa Rais nacho kinakuwa ni chama tawala na kinatoa Mawaziri wawili muhimu. Hii maana yake ni kuwa ACT-Wazalendo ni chama tawala pia na hata makamu wa kwanza wa Rais maalimu Seif akija Tanganyika itifaki...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mtaji mkubwa kisiasa kuliko CCM na ACT wazalendo, ruzuku na madaraka visiwaondoe kwenye reli

    Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi. Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana. Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

    Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba. Kuna siku jpm...
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

    Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa hata kwa tindo na kotapini. Napiga picha jinsi mbunge wa Geita mjini ambavyo alikuwa hakubaliki...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM v/s CHADEMA against ACT Wazalendo

    Kinachoonekana sasa ni kwa CCM kuitumia nafasi ya ACT Wazalendo kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko nchini Zanzibar ,CCM kwa kutumia sura mbalimbali inazojivalisha inaonekana inatumia wanachama wake na wa ndani wa vyama husika kutaka kujenga hoja na kuleta fitina ndani ya vyama vya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu kutoka kwa Rais Magufuli au wasaidizi wake au wanaCCM wenzangu ili ukweli uwe wazi

    %KUBWA NILIAMINI KUWA MH: RAIS NI MSEMA KWELI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU, ILA HILI LA LEO LA MH: RAIS KUTAKA REGULATION ZIBADILISHWE ILI, ILI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WAKARA WA MADINI (TMAA) WAPUNGUZIWE MISHAHARA , IMENIFANYA NILETE UZI HUU HAPA ILI TUTAFSIRI KWA PAMOJA UKWELI WA MH RAIS...
  16. K

    JamiiForums Tanzania John Heche kujiunga CCM?

    Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya Wananchi. Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM...
  17. E

    JamiiForums Tanzania CCM, tafuteni namna ya kumshauri Rais Magufuli maana muda mwingine anaumiza sana

    Nimesikiliza hotuba ya mh. JPM baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa madini Prof. S. E.Manya. Moja ya sababu zilizosababisha kuleta huu uzi ili wana CCM wenzangu ambao wanaweza kutafakari uzi huu na ikibidi kumshauri mh. Rais. KIMEJIRI KITU GANI KWA MAONO YANGU? Mh. Rais alizungumzia mambo ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni za kuing'oa CCM hata 2025 zipo pale pale, ipo siku watang'oka tu!

    Mifano ni mingi sana kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wangapi walivuma na kujiona ndio wao tu, mbona wameondoka tena wengine kwa aibu. Mimi sio mtu wa siasa wala sina kadi ya chama chochote ni mpenda mpira na kuangalia mechi katika medani ya siasa. Nipo huru kifikra kwa hio naweza...
  19. JamiiForums Tanzania Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania ICC kesi ipo palepale - CCM vichwa anzeni kuweka maji

    Huu ukisio wa ACT kujiunga hauhusiani na majanga yaliyofanywa na CCM katika uchaguzi uliovurugika na kufunikwa na mauaji na mateso ya kila namna, tena wala msifikirie kuwa damu zilizopotea zinayeyuka kwenye upeo, huko ni kujidanganya na kujipa moyo. Kasi ya kuhakikisha haki inapatikana ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…