Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Vijana wenzangu, Nchimbi siyo mwanasiasa mdogo, msijimalize kwa kuwa mnasaka ugali kwa sasa.
Mnataka kuwafurahisha walio juu sasa hivi, kesho hawatokuwepo. Kumbukeni nyinyi bado ni machalii wadogo, kuna kesho wakuu. Zibeni ndimi zenu, usiku mwema.
Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali...
Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni ...
Mnakumbuka MH Polepole ?.
Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli alikua anauzungumza MH Polepole, ndio Ukweli ulowafanya Watanganyika Wadai NCHI yao Oktoba 29 2025...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema CCM inatamani kuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akiwa nje ili aendelee kushiriki katika ujenzi wa taifa na kufanya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia.
Soma Pia: Kihongosi...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja
Soma pia...
Odemba: Kuna wimbo ambao Chama Cha Mapinduzi imekuwa ikiimba kwa muda mrefu sana yapata miongo sita sasa. Na wimbo huu ni wimbo wa amani. Kwa nini Chama Cha Mapinduzi kinahimba wimbo wa amani kuliko wimbo wa haki, Kihongosi?"
Kihongosi: Ndugu Odemba, huwezi kutenganisha haki na amani. Hivi vitu...
Wakuu wa mikoa tutawalaumu bure.
Asilimia 80% ya uchafu mitaani unatokana na uholela kwenye kujenga na kufanya biashara.
Kuna mitaa ambayo gari la taka haliwezi kuingia na kuzoa taka. Nyumba zinajengwe kwenye njia za maji.
Biashara holela mitaani, masokoni na kando ya barabara mijini ndizo...
Wanabodi
Hii ni Safu yangu mpya ya Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi, kulaletea wana JF, makala zangu kwenye gazeti la Mwananchi, ili kikitokea kile nilichokishauri, niwe nakumbushia tuu, niliwahi kuandika nini.
Hii ni makala yayangu ya siku nyingi nyuma, TAAMULI HURU: Kilichofanyika mkutano...
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?
Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
Maslahi ya CCM kwetu ni muhimu sana kuliko maslahi ya wananchi, kwa kauli hii ni wazi CCM haiko tayari kuona Tanzania tunakuwa na katiba mpya ya wananchi, hii ndiyo CCM ya matajiri wafanyabiashara dhidi ya wananchi.
Ipyana malelela yupo wapi Leo. Huyu ipyana aligombea iliwahi gombea na nchimbi UVCCM na Nchimbi yupo wapi Leo
Kihongosi na happy kuweni Makini
Jamaa ni mtu hatari sana huyu
Vita ya kunguru ni neema ya panzi. Ukiona adui yako anakosea msifie na si kumkosoa. Huu ndiyo uoni wangu juu ya ufukuzwa na kupotezwa kwa Emmanuel Nchimbi toka umakamu wa rais.
Kwangu ni furaha na raha kuona maadui wa taifa wakitafunana. Ningependa watafunane hata kuuana. Ukiondoa wapinzani...
Katika siasa kuna kitu kinaitwa strategic ambiguity; mfano wake mkubwa ukiwa ni sera ya Marekani kuhusu Taiwan. Kwenye maandishi rasmi USA wanatambua One China policy, ila kila siku wanaendelea kuiuzia Taiwan silaha na kufadhili harakati zote za Taiwan kujitenga na China.
Hapa kwetu ni kama...
Unaambiwa lile genge la watekaji,wafiraji,mafisadi na marcatel ya mafuta yamekuwa yakituma makuwadi yao huko gerezani kwa lengo la kuomba msamaha kwa lissu ili atakapotoka asiwe na msimamo mkali badala yake awe kama kina mbowe na kwamba wamemuahidi mabillion ya pesa. Lakini cha kushangaza lissu...
Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana.
Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini.
Nchimbi aachiwe afanye...
Huu ni ukweli mchungu, kwa mazingira tulio nayo na siasa za chadema kwa sasa Itafika 2030 tupo hivi hivi,..
Ukawa walifanya kosa kubwa sana mwaka 2012/13 kususia bunge la katiba kwa kigezo kikuu Cha serikali tatu, huu ni uroho wa madaraka unawagharimu Leo
Kama ukawa wangekubali kipindi kile...
Nimeweka Kakura Kadogo Hapo Kaende Pamoja na Swali Letu
Je kwa Upande wa Nchi yetu na Changamoto zetu,Je CCM Ndio Tatizo au Wana CCM Ndio Tatizo?
Kama CCM Ndio tatizo Kikibadilishwa Jana Utakuwa sawa tuendelee kutawaliwa kama tulivyo?
Kama Wana CCM Ndio tatizo Je Tukiwaondo wote na kisha...
Jina Ramadhan Igwondu (au wakati mwingine likiandikwa kama Ramadhan Ighondo) linajulikana nchini Tanzania likihusishwa zaidi na matukio mawili makuu:
Kashfa ya Kutekwa kwa Dr. Steven Ulimboka (2012): Jina hili liligonga vichwa vya habari na kujadiliwa sana kwenye majukwaa ya kijamii kama...
Mie si mpenzi wa Vyama ni mpenzi wa wachapa Kazi Kwa ajili ya wananchi
AWESO nakupa Big up sana unapiga Kasi nzuri sana Mungu akubariki
wanaokuangusha ni wajinga wajinga wa mamlaka za maji
DAWASA
Hawa pumbafu hawa wanapoteza maji mengi sana Dar Kwa kuwa na connection ambazo zinavuja Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.