ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. L

    JamiiForums Tanzania CCM Yawaondoa Makatibu Wooote Wa Mikoa 32 Nchini Kwa Mkupuo Na Kuweka Makaimu Wapya Watakaopigwa Msasa Wa Semina Kwa Siku 2. Haijaacha Hata Mmoja

    Ndugu zangu Watanzania, CCM Imefanya Mabadiliko Ya Ghafla kwa Kuondoa Makatibu wake Wa Mikoa yooote 32 Nchini yaani Bara na Visiwani na kuweka Makaimu Wapya Watakaopigwa Msasa Wa Semina Kwa Siku 2.
  2. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania SASA TUKISEMA CCM NDIYO ILIUWA WANANCHI OCTOBER 29, TUNAKOSEA WAPI?

    Siku zinavyozidi kwenda wauwaji wa 29 Oktoba 2025 wanazidi kujilikana
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa

    https://www.jamiiforums.com/threads/inadaiwa-katibu-ccm-kilimanjaro-akwapua-mamilioni-ya-fedha-za-kina-mama-moshi.2065675/
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga CCM kujivunia kumiliki dola

    Katika miaka 65 ya utawal wake sifa na majivuno ya CCM haikupaswa kuwa kumiliki dola na majeshi yake na kuwapakiza wanachama wake masikini kwenye mabasi kuhudhuria mikutano ya chama chao. Katika miaka 65 ya kuwepo madarakani wastani wa kipato cha Watanzania ni duni sana kwa wastani wa $1,300...
  6. passioner255

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema CCM Tarehe 29 Oktoba 2025 ndiyo iliyoua watu?

    baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29. hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Barabara mbovu si mali ya CCM

    .
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni akiwa RC niliamini yuko smart ila baada ya kupandishwa cheo na kuanza kufunga wanawake waliomtongoza na sasa hili boko ! 🤯🤯

    Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru. Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Chacha amevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kusema vinamilikiwa na CCM, watoke hadharani kukanusha na kumpa onyo

    Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma, Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama. Sio sawa kusema ni Mali ya CCM Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi. Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania HONGERENI CCM kwa kucheza karata zenu vizuri

    Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA Dudubaya mnamtumia nyie Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ilishindwa kutoka madarakani mwaka 2015 , basi msitegee ikatoka madarakani tena

    Kama CCM ilishindwa kutoka madarakani mwaka 2015 , basi msitegemee ikatoka madarakani tena
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Aina ya Maridhiano wanayotaka CCM ya kuendelea kubalia Madarakani, Kama CHADEMA tunasema hatutakaa kufanya MARIDHIANO Uchwara na CCM

    Kwa miaka yote tangu Mfumo wa Vyama vingi, CCM wamekua wanaunda Upinzani Uchwara Kila uchao ili kuonekana wanatimiza Matakwa ya Dunia. Hivi mnajua Ushindi wa TUNDU LISSU Ile January 21-22 2025 ulikata Ngebe zote za CCM na kuua Kila Matumaini yao walikua wakiyatumia enzi na enzi?. Ndio maana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Puuzeni Machawa wa CCM na usalama hasa Tlaatlaah

    Puuzeni hawa machawa wanaolipwa pesa za walipa kodi kuja hapa kuwasafisha Wanzanzibari na wazalendo
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chacha: Nani asiyejua kuwa Viongozi wote na Dola ni Mali ya CCM?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, ametangaza hadharani kuwa vyombo vyote vya dola na viongozi wa serikali ni mali halali ya CCM kwa kuwa chama hicho ndicho kilichowaweka madarakani. Akizungumza leo, Jumamosi, Septemba 26...
  15. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Hai amsweka ndani Mwenyekiti wa CCM Tawi la Bomang’ombe, Mbunge Mafuwe amtoa kwa dhamana

    Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Hassan Bomboka ameripotiwa kuagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Tawi la Bomang'ombe Bi,Agnes Kimaro huku kukiwa na wingu zito kuhusu sababu hasa za kiongozi huyo kutoa amri hiyo . Mwenyekiti huyo alikamatwa na kuswekwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KATIBU wa CCM Iringa afutwa kazi kwa tuhuma za ulevi

    KATIBU wa CCM Mkoa wa Iringa, Said Goha, amefutwa kazi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kwa tuhuma za ulevi uliokithiri unaodaiwa kuchafua taswira ya chama hicho tawala. Chacha ametoa uamuzi huo wakati akizungumza katika mkutano maalumu wa CCM...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wa kuivusha ccm 2030 ameshaandaliwa, na nyinyi mmejaa, CCM wajanja sana

    Guys, the game is planned, baada ya kipindi kifupi atarudishwa kundini, muda si mrefu ataibuka hadharani. Mtashangilia sana kuonekana kwake, ni kweli kule kisiwani hawamtaki ila mabwenyenye wa huku wanamuamini kuwa yeye ndio sahihi kwao. Hata wapinzani wanampenda. Ccm wajanja sana.
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Bado Niko Kanda ya ziwa huku! Aiseeh! Hii CCM kuiondoa madarakani ni kazi kwelikweli. CCM haipo tuu midomoni. CCM ilipandwa kwenye akili za watu. Yaani asilimia 90% ya Watanzania wanaakili za kiccm CCM. Wengi unaowaona wanapinga CCM wengi wao ni Njaa tuu. Wala hawapingani na uccm ambao...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kwa kiasi kikubwa CCM ndio iliratibu Vurugu za Oktoba 29

    Mwanasiasa mkongwe nchini, James Mbatia, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinabeba laana na uwajibikaji mkubwa kutokana na kuratibu matukio ya vurugu na maafa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba. Akizungumza katika mahojiano cha Chief Odemba, Mbatia ametumia mfano wa maandiko ya kidini kueleza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ahadi za mwana TANU ( CCM): Kati ya hizi ni zipi CCM na viongozi wao wanazitekeleza?

    Ahadi za mwana TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
Back
Top Bottom