ccm

 1. Amosmgonja

  TAARIFA KUTOKA CCM

  TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine Kamati...
 2. Stephano Mgendanyi

  Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

  TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
 3. M

  CCM na CHADEMA katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi - nani zaidi kati yao?

  Nimetafakari sana kuwa ni nani zaidi kati ya CCM na Chadema katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi? Kwa mfano CCM walikuwa na msimamo kuhusu katiba mpya haki kuanzisha mchakati uliopelekea kukusanya maoni ya wananchi. Pia ilikuwa na msimamo kuwa Corona haipo Tanzania kwa...
 4. MAHANJU

  CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

  Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria. Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama...
 5. Stephano Mgendanyi

  Nukuu za Katibu wa Utikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 ikulu Jijini Dar Es Salaam.

  CCM: LAZIMA TUWAKINGE WATANZANIA DHIDI YA MARADHI YA MLIPUKO IKIWEMO UVIKO-19 Nukuu za Katibu wa Utikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 ikulu Jijini Dar Es Salaam. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM...
 6. J

  #COVID19 Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia kaonesha njia, wananchi wafanye uamuzi sahihi wa kupata chanjo

  Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM inampongeza Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu...
 7. CCM Music

  Manara njoo CCM, huku panakufaa na hutajutia

  Naam. Kwako Haji Manara. Nipo CCM kitambo sana. Naijua ndani nje hadi nakinai. CCM yetu ya sasa inawahitaji watu kama wewe. Njoo usaidie kupambana na wapinzani. Tena, ikiwezekana upewe kile cheo cha Shaka, mbona CCM patanoga maana sio kwa shombo hizo. Tahadhari: Chadema ina wafuasi wa ki...
 8. Haya_Land

  Kuifuta CHADEMA au CCM ni sawa na kutaka Yanga ishuke daraja ibaki Simba

  Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu. Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho. Just imagine hawako bungeni lakini bado ni threat kwa serikali ya CCM. Pendekezo amani ya nchi inabidi kupewa kipaumbele kwa kutoa Haki...
 9. Stephano Mgendanyi

  Nijue, ishi na mimi: Ahadi namba 5 ya Mwanachama wa CCM

  NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM. NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM "Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu." Ahadi namba 5 inasisitiza kuwa uongozi ni utumishi kwa wananchi na sio manufaa kwa mtu binafsi...
 10. Richard

  #COVID19 Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

  Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
 11. mshale21

  #COVID19 UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

  Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
 12. Shujaa Mwendazake

  TANZIA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja "Mzee Kichupa" afariki Dunia

  Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
 13. DIZZO MTAWALA

  Fikra mbadala hazipigwi nyundo

  Awamu ya sita na mwendelezo wa awamu ya tano ya mwendazake imefika “shingoni” mwa mwenyekiti FREEMAN AIKAELI MBOWE. Mashtaka ya kigaidi aliyopewa jana ni mwendelezo wa vitendo vya kikandamizaji dhidi ya viongozi na wanachama wa upinzani hususani CHADEMA leo Tanzania [emoji1241] mahabusu wengi...
 14. Ngosha Mashine

  Rais Samia, CCM inakupeleka pabaya

  Kitu pekee Mwl Nyerere alikosea na nadhani anajutia hata huko aliko ni kuipa nguvu sana CCM Chama kimekuwa na nguvu sana kuiongoza serikali, na ni Chama hiki hiki chenye wanachama wengi wafanyabiashara na wawekezaji wengine wa kawaida kuliko wasomi (wabebovu wa masuala fulani kielimu)...
 15. Shujaa Mwendazake

  CCM yaamua kuwafuatilia kwa makini makada wake wanaopotosha Umma mfano wa "Gwajima"

  "Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama"-Shaka H.Shaka Katibu Mwenezi CCM. - Naona Safari...
 16. GUSSIE

  #COVID19 Kigeugeu cha CCM: Leo wasema Chanjo ni bora kuliko Nyungu

  Wonders shall never end ndio ninachoweza kusema, Wana CCM waliuaminisha uma wa watanzania kuwa nyungu, malimao na tangawizi vinatibu Corona. Kheri Gwajima ameamua kusimamia msimamo ule waliokubaliana enzi za John Pombe Magufuli kuwa chanjo hazifai. Wanafiki na wachumia tumbo wanatumia kauli ya...
 17. Fundi Madirisha

  #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

  Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
 18. mwarobaini_

  Rais Samia vunja Serikali ya Magufuli, unda ya kwako kabla hujachelewa

  Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima. Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake ivunje serikali ya awamu ya Magufuli na uunde ya kwako. Kwani si umeshashika hatamu kwenye chama, au...
 19. S

  Hayati Magufuli ameondoka na Neema zake?

  Ukweli ndugu zangu, kila nikihangalia naona Mheshimiwa Al Marhemu Magufuli ni kama ameondoka na neema zake kwani hata radhi yalikuwa hayatusumbui. Je hii serikali iliyoingia na kurithi madaraka imeingia na nuksi au ina nuksi? Karibu Tanzania itakuwa nchi hatarishi kutokana na gonjwa la Korona...
 20. The Palm Tree

  Madai ya Katiba mpya ya wananchi Tanzania: Tuondoe dhana batili na potofu kuwa madai haya yanalenga kuiondoa CCM madarakani...!

  CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia... Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
Top Bottom