ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Napenda Kumjibu Mzee Warioba Ya Kuwa CCM Itaongoza Taifa hili Hadi Mwisho wa Dunia Na Ataicha ikiwa Madarakani. Aache Chuki Binafsi Kwa Rais wetu

    Ndugu Zangu Watanzania, Ni Ukweli ulio wazi Kuwa Mzee Warioba amelitumikia Taifa hili kwa Muda mrefu ,ni kweli kabisa Kuwa Mzee Walioba Anahitaji Kuheshimiwa siyo kwa Umri wake bali kwa mchango wake Kwa Taifa hili . Lakini Inakuwa inasikitisha sana kuona anajadili vitu kwa hisia tu bila...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania CCM HII SCRIPT ITAWACOST

  3. T

    JamiiForums Tanzania Yaani CCM wakiwa na jambo lao hata kama ni la kutumbukiza nchi shimoni watashikamana na kulipigia debe hutajua yupi professor doctor au la saba

    Hiki chama kina matatizo sana yaani wao cha kwanza kwao ni maslahi ya chama kwanza. Na sababu kuu ni kwamba wameaminishwa kwamba hakuna maisha nje ya chama hivyo mtu yuko tayari kusaliti dhamiri yake kusaliti elimu yake na kusaliti utu wake ilimradi tu asiende kinyume na chama. Yaani kwa kifupi...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Dk Nchimbi amefukuzwa CCM kama mbwa, we kidampa usie na mbele wala nyuma unahangaika nini kusifia uovu wa CCM

    Nchimbi ni mmoja wa Watanganyika walioipambania CCM tangu akiwa kijana mpaka leo hii anakuja kufukuzwa kwa kuktaa uchawa na kupinga maovu We kidampa ambae kumiliki tu smart phone unajiona CCM mali ya baba yako na kutetea uchawa na uovu una nini cha maana?
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

    Wakuu, Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM. Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
  6. idiomer

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Tanganyika African National Union Je zinafuatwa na CCM? Ni zile mbili za mwisho 9 na 10

    Je umewahi kusoma ahadi hizi? Ahadi za Tanganyika African National Union (TANU) 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonja na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa...
  7. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Nchii yetu hakuna Chama cha siasa chenye wanafiki kama CCM

    Real wala sina salamu CCM na watu wake ni wanaa kichizi Sijapata kuona wanafiki kama wanaccm. Wao wenyewe wametuleea Nchimbi Wakampamba weee oo ndio chaguo letu oo anakijua chama o sijui amekulia ndani ya CHAMA SASA BAADA TUU KUJIUZULUU . WAMEJIFUNGIA SIJUI HATA WAMEJIKUSANYA SAA NGAPI...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda: UWT Tunaipongeza Halmashauri Kuu ya CCM kwa Kumfukuza Balozi Nchimbi

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Mary Pius Chatanda, ameipongeza Halmashauri Kuu ya CCM kwa uamuzi wa kumfukuza Balozi Emmanuel Nchimbi kutoka katika Chama hicho. Naupongeza nawapongeza wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM ya taifa chini ya mwenyekiti wa chama...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: CHADEMA wana viongozi bora kuliko CCM

    Nimeangalia mahojiano ya Tundu Lissu na John Mnyika kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu, nikajiuliza vipi hao wanaohojiana ndiyo wangekuwa ni viongozi waandamizi wa CCM? Hii kesi inaonesha ni kwa kiasi gani CHADEMA ina viongozi bora na weledi kuliko viongozi waliopo CCM.
  10. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini suala hili dogo sana viongozi wa CCM wanashindwa kuling'amua na kufanya wapendwe na wananchi na warudishe Uhai wa Bunge

    Yaani ukiangalia kiu ya wananchi ni kuona kuanzia mwenyekiti,Diwani,mbunge akimpigania haki yake ya kiuchumi na kijamii kwa uwazi kabsaa hata ikitokea kiongozi huyo atashindwa fanikiwa suala hilo,mwananchi anayepiganiwa ataendelea kumpenda kiongozi huyo maana juhudi na jitihada zake ameziona...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    Mzee Warioba ameweka wazi👇
  12. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Wanaotoa hoja za kumfukuza Mbowe uanachama bila shaka ni chawa wa CCM

    Wanatafuta justification ya walichomfanyia Nchimbi kukichafua Chama. Chadema haipaswi kufananishwa na ccm , iwe mfano wa kuigwa wa demokrasia ndani na nje ya chama.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko nchi ( msukuma cjakuelewa / kupigana short umemanisha nini

    Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi Ni pesa au Nini kilichojificha .. Msukuma unasema kupigana short Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short Kwa hyo...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  16. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

    Famahamuni haya fika. Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku moja. Hivyo kinga ambayo anaipata Raisi ndiyo hiyo-hiyo anaipata Makamu wake. Kitaalamu hii tunaiita...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CCM kumfuta Dkt. Nchimbi uanachama: Je, anakoma moja kwa moja kuwa Makamu wa Rais?

    Jibu ni HAPANA. Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Wanabodi, Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
  19. Mmawia

    JamiiForums Tanzania CCM Kuweni makini na kauli za viongozi kama hawa, wanalipasua taifa

    Kauli kama hizi zinalipasua Taifa kuanzia kwenye chama chenyewe yaani ndani ya ccm. Hata kama VP amewachiwa ngazi lkn haileti afya kumuita kuwa yeye ni nyoka Haya maneno yanatamkwa na kiongozi mkubwa wa chama yaani CCM. Hii ni aibu sana kwa chama tawala kuwa na viongozi kama huyu.
  20. M

    JamiiForums Tanzania CCM ya sasa sio mali ya wananchi. Dk Nchimbi pamoja na kulazimishwa kujiuzulu anaonekana shujaa kwa taifa lake

    Kwamba CCM ni zaidi ya mtu mmoja kama ilivyokuwa zamani wakati wa chama kimoja. Kipindi hicho watu walilazimishwa kuzikubali fikra za mwenyekiti hata kama hazifai. Leo hii kila Mtanganyika anajua wazi Nchimbi amefanya uamuzi wa kulazimishwa kutokuwa pamoja na kundi la majambazi wa kisiasa ambao...
Back
Top Bottom