ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Vigogo wamewahi kukataa TISS kuwa taasisi huru inayoshughulikia usalama wa taifa Pekee?

    TUKUMBUSHANE KIDOGO: Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wanauliza hela ya ToneTone, mwaka jana Samia alichangisha B.86 Mlimani city watuambie ziko wapi

    Kama zilitumika watuambie zilitumikaje, vinginevyo wakae kimya. Ushahidi wa waliochanga na ndio wasaliti wa wananchi. 1. Dkt. Samia Suluhu Hassan - Milioni 100. 2. Wachimbaji wadogo wadogo - Bilioni 16.2; (pamoja na ahadi), bilioni 9 imeshawekwa kwenye akaunti ya CCM. 3. GSM - Bilioni 10...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira: Demokrasia Lazima Ianzie Ndani ya CCM, Wanachama Wawe na Uwezo wa Kuamua Yanayohusu Chama Chao

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mfano wa demokrasia nchini, kikisisitiza kuwa misingi hiyo inaanza ndani ya Chama chenyewe. CCM imesema imekuwa ikizingatia misingi ya demokrasia katika uendeshaji wa shughuli zake, ikiwemo katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wake. Hayo...
  4. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mapandikizi ya CCM na Mbowe ndani ya Chadema, yanatolewa mojaoja

    Kama mbowe alidumu ktk black agent, zaidi ya miaka 30, akiwadanganya watanzania" kuwa ni mpenzani wa kweli" je haja acha majunior wake? Vp kuhusu kampen manaja wake kwenye uchanguzi wa chadema? Amebaki KWA kz maluum? Vp kuhusu mtendaji mkuu wa chama na mratibu ? . In short John heche na...
  5. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Chadema inaongozwa na makada wa CCM now?

    Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm. Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale? Chadema tunawapenda Jitafakarini. Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu. Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali ya CCM

    Wakuu, Kuna suala limekuwa likichanganywa hapa hivi maridhiano ni kati ya serikali ya CCM na vyama vya upinzani? au ni kati ya Serikali ya CCM na wananchi, katika mambo ambayo yanatakafaklisha sana Nawasilisha
  7. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama maji usipoyaoga utayanywa

    Ukiangalia safari ya Tanzania kwa miaka yote hii, ni vigumu kuzungumzia historia ya taifa letu bila kuitaja CCM. Chama hiki kimekuwa sehemu muhimu ya uongozi na maendeleo ya nchi, na kimepitia vipindi mbalimbali pamoja na Watanzania. Kuna mambo mengi ya kujivunia katika safari hii—kuanzia...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mchome ni pandikizi la CCM, fukuza liende CCM lifanye kazi ya Uuaji .

    Kuwa na mali si hoja issue ni mali amezipataje? Kuwa na mahusiano na wafanyabisashara si hoja, issue ni wafanyabiashara wa namna gani. Hii ni critical moment tunapigania uhai na uhuru wa Lisu, lipandikizi linaleta mvurugano. Fukuza hili CCM au lifuasi la Mbowe. @)@$ heche hakuna makamu...
  9. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM Leo wamekaa kikao Melia hotel Vienna huku tukijitahidi kubana matumizi ya Serikali. Je hii ni sawa?

    Nilimsikia Waziri mkuu mwigulu nchemba akisema watumishi wa umma wajibane na kupunguza matumizi kwakua tunajiandaa kupokea zaidi ya wanafunzi milioni 3 mwakani kidato Cha kwanza. Sasa najiuliza hivi tuko sawa kwenye hili la kubana matumizi ikiwa hii leo makamu wa rais anakutana hotelini huko...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

    Hamjambo! CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao. CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili. Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wanalilia salamu za rambirambi kutoka CHADEMA.

    Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi amesema kamsikia mara mbili Tundu Lissu akisema Chadema wapeleke salamu za pole kwa Samia lakini hajamuona Heche kufika Kizimkazi. "Nimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Upinzani Mpya Dhidi ya CCM Imara ya Samia

    By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe. CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii, wapinzani watahitaji miaka 100 mingine kuiondoa madarakani. Siku moja mtatambua kwamba sisi chawa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania KERO CCM juu? Wananchi wa Morogoro mto Lukosi, tunaishi kama Makomandoo baada ya miaka 60 ya Uhuru

    Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha. Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha. MY TAKE Mshauri Mwenyekiti wa Kijiji asilalaimike popote kwani atatekwa. Abdul mla watu hataki wananchi...
  14. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Karibuni CCM, Tuijenge Tanzania Yetu Pamoja

    Kama unaipenda Tanzania, kama unaamini katika amani na maendeleo, na kama una moyo wa kuona nchi yetu ikiendelea kusonga mbele, karibu CCM. CCM ni chama chenye historia ndefu katika safari ya taifa letu. Ni chama kilichokuwepo katika hatua mbalimbali za ujenzi wa Tanzania na kinaendelea...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Moshi Manispaa BILA kuhamishwa, kuna kila dalili (CCM) kukutana na changamoto kubwa zaidi katika Uchaguzi Mkuu 2030

    Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwa nini CCM inapoteza nguvu yake ya ushawishi? Hakika CCM imefika mwisho wake.

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa mambo kulinganisha na miaka ya nyuma. Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazoelezwa na wataalamu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi CCM, tunzeni akiba ya maneno mnapokuwa mnazungumza

    Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia. Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana. Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa. Nawakumbusha, walikuwepo na...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Matatizo ambayo hata uwape ccm miaka elfu hawatayatatua kamwe!!

    Rushwa hasa rushwa kubwakubwa na rushwa za barabarani. Sababu zinawanufaisha wafadhili wa chama na zinafanya kazi kama malipo au fadhila kwa vyombo kuwatuliza ili waendelee kukibeba chama. Jambo lingine ni kuacha kutoa elimu mbovu inayozalisha manamba wachuuzi na kila aina ya watu wasio na...
  20. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwa siku kama Tatu hivi naona kuna ongezeko la nyuzi za kulalamika kua Lissu anaiua Chadema na kelele zinatolewa na makada wa CCM

    Kwenye hili jukwaa la siasa jukwaa langu pendwa la kupoteza stress na kugain mambo ndani ya kama siku 3 hivi na hasa leo nimeona nyuzi zina miminika zikiwa na content moja ya kuonyesha Lissu anaua chadema, mara hana busara mara jeuri.. Mara asamehewe..na hizi nyuzi zinaletwa na makada wa ccm...
Back
Top Bottom