Bado kuwaachia mashehe wa Kiislamu tu, sasa tunaona CCM wanajitahidi kuweka na kuziba au kutia viraka sehemu zao,mara walimu, mara pembejeo, mara afya, mara 'ishuwarensi'. Yaani wanahangaika na kurusha madaluga vibaya sana. Walikuwa wapi tokea tupate Uhuru, walikuwa wapi miaka mitano iliyopita...