ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Nitaitoa CCM peke yangu tu, kwa njia mbadala

    Nimeamua kuachana kabisa na harakati za kisiasa kwa nia ya kuitoa CCM. Nimeamua kuachana na njia za kisiasa kama kupiga kura, maandamano ya amani na mikutano ya kisiasa kwa sababu CCM haiheshimu maamuzi ya wananchi wengi kwa njia ya kura,au sauti za walio wengi. CCM wameamua kutumia nguvu za...
  2. Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanashikiliwa Mkoani Singida wameachiwa huru

    Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki...
  3. Wana CCM wanakwama wapi kwenye kujenga hoja!

    Polisi mali yao,Nchi mali yao,kila kitu mali yao,lakini mbona wamekwama kwenye kujenga hoja??? mbona mambo muhimu yakijadiliwa wanakuwa na jazba??? hawa watu wanakwama wapi? hawa
  4. S

    Kosa tulilolifanya CCM lisitokee tena, ni fedheha

    Wadau hasa wale wa Chama chetu cha CCM, tukubali na tuseme ukweli Uchaguzi umeisha,kuna kitu kimoja kimetuharibia Uchaguzi huu na kuwaweka viongozi wakuu katika wakati mgumu, japo tunajikaza kisabuni. Tukubaliane kuwa uchaguzi wa mwaka huu tumevuruga, kiukweli tumejipanga kimkakati kushinda...
  5. Je, Prof. Kabudi amewajibu Wazungu kwa niaba ya Watanzania ama CCM?

    Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamataifa, Prof. Kabudi aliongea na vyombo vya habari kuhusu Tanzania kujadiliwa na Kamati ya Bunge la Ulaya kuhusu kuminywa kwa demokrasia na matumizi ya pesa kutoka Jumuiya ya Ulaya kwa ajili ya virus vya korona. Prof. Kabudi alitamba...
  6. GE2020 Slogan ya Hapa kazi tu ni bora kuliko za vyama vingine ni rahisi kuielewa na ilisaidia CCM kushinda

    Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au wafanyakazi? Ukiingalia ililenga wafanyakazi wa serikali tu ambao idadi yao ni laki nne tu sio jamii...
  7. Nawashangaa Viongozi wa CCM kila linapotajwa kosa au tuhuma na nchi washirika wa maendeleo mnakimbilia kusema vita ya kiuchumi. Jibuni hoja kwa hoja

    Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli. Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika. Je, ni...
  8. Akijua fika Mimi ni mwana CCM na Yeye ni mwana CHADEMA nimemtembelea 'Ofisini' Kwake kila mara ananiwekea tu hizi Nyimbo

    Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo... 1. Tutatoana Roho Yarabi 2. Ujanja wa bure tu 3. Mwaka huu unalo 4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake 5. Za Mwizi 40 6. Mwosha huoshwa 7. Malipo ni hapa hapa duniani Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM...
  9. Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

    Leo kutoka ofisi za chama cha mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi, Humphrey Polepole anaongea kuhusu mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu kilichoketi jana mjini Dodoma, kuwa nami.. ======= Polepole: Sisi kama chama mapinduzi tunawaahidi...
  10. S

    Kauli ya Magufuli kuwa Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais haikuwa ya ghafla, ilipangwa siku nyingi na ndio mwanzo wa mgogoro ndani ya CCM

    Siku Magufuli alipotamka hadharani kwamba Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais kwa sababu ya umri wao mkubwa, wengine walicheka wakiichukulia kama ni kauli ya ghafla. La hasha, hii ilikuwa ni kauli ya kimkakati ambayo Magufuli alikuwa ameitafakari na kupanga kuisema kabla hata ya kuingia Uchaguzi...
  11. U

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

    Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam Tafadhali usikose Tafadhali mjulishe Mwenzako Tuna Jambo Letu
  12. M

    Kama CHADEMA ni Saccos basi CCM ni kioski

    Kwa muda mrefu katika ukumbi huu CHADEMA imekuwa ikiitwa (reffered to) kama saccos. Wanaoiita CHADEMA saccos nadhami wana maana kwamba chama kinaendeshwa kwa matakwa ya watu wachache tofauti na matakwa ya Wanachama kwa ujumla. Kwa mtazamao wangu kama ni hivyo basi CCM ni kioski. Kwa nini nasema...
  13. S

    Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

    Ahead of tomorrow's election in #Tanzania, we're seeing some blocking and throttling of Twitter. #TanzaniaDecides2020 Internet shutdowns are hugely harmful, and violate basic human rights and the principles of the #OpenInternet #KeepItOn
  14. J

    Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

    Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa. Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025. Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je...
  15. M

    Tanzania ni “kichwa cha mwendawazimu”, kila mwenyekiti wa CCM Taifa hujifunzia hapo!

    Nikimkumbuka Lijuakali
  16. Hivi "Social distance" ni kwa Rais pekee?

    Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake) Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama...
  17. Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  18. Hebu nijulisheni uwiano gani umetumika kwa Chadema iliyoambulia mbunge mmoja iweze kupata viti maalum 19 na CCM iliyojizolea viti 262 kupata viti 94?

    Hesabu hii imenipiga chenga kujua NEC imetumia uwiano gani katika utoaji wa wabunge wa viti maalum kwa Chadema kupewa "offer" ya kupeleka wabunge Wa viti maalum 19 wakati CCM iliyojizolea viti 262, karibia ya viti vyote vya ubunge nchini, iweze kupata viti maalum 94? Kuuliza siyo ujinga...
  19. Niko tayari kuwa shujaa wa keyboard kuiondoa CCM; nitaonekana shujaa kwa kizazi changu kuliko kuiona CCM ikitawala bila kupingwa

    Wanaoishabikia CCM leo ili itawale milele waacheni wafanye hivyo ila bila wao kujua wanatengeneza maslahi yao ya leo kwa shingo zao fupi zisizoona kesho. Mfumo huu huu wanaousimika leo unconstitutionally utakuja kuwala watoto wao kesho waacheni wachimbe kaburi lao leo hii wakijua wanamkomoa...
  20. U

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…