ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na wapinzani wengine, mkiendelea kucheza ngoma ya CCM na Polisi msahau kutawala

    Kinachoshangaza ni ninyi mnaoitwa vyama vya upinzani nchini kikiwamo chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, mmeshidwa kabisa kuwa na non-stop mission ambayo ingeweza kusaidia kuwapa nguvu kuwaambia watanzania yanayoendelea juu ya Katiba Mpya nchini ni uonevu na ni kuzuia haki ya msingi ya kila...
  2. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima -- Butiama. Waziri wa...
  3. dump

    JamiiForums Tanzania Watanzania tushikamane kuleta mabadiliko

    Watanzania tushikamane tukemee haya mambo,hivi inawezekenaje watu wazima wana kaa wanakubaliana kujenga barabara ya kilometer 1 kwa ghalama ya billion 5. Hivi kweli tutafika kwa hali hii,madawa yatapatikana hospital, na huduma zingine zitawezekana gharama za maisha zimepanda,petrol, mafuta ya...
  4. Mashimba Son

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 ya Rais Samia Suluhu: Ni upi mustakabali wa 'wanasiasa pendwa' wa Hayati Magufuli?

    Kila serikali mpya inapoingia madarakani inakuwa na mtaji wake. Huo ni msemo maarufu wa wataalamu wa sayansi ya siasa na utawala bora kote duniani. Kwamba utawala mpya unapoingia madarakani unapenda kufanya kazi na aina ya viongozi unaowataka iwe kwa kuibua wapya au kuchagua miongoni mwa...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uundwaji wa Baraza la Vijana Tanzania ni mkakati wa Serikali ya CCM ili kuwarubuni kwa uchaguzi 2025?

    Nimejiuliza juu ya baraza lijalo la vijana, nini kusudi la baraza hilo? Kuna UVCCM Kina BAVICHA Vyuoni kuna jumuia mbalimbali Taasisi za dini kuna mabaraza ya vijana Bunge ni chombo cha kuwasemea Watanzania wote wakiwemo vijana. Au ni janjajanja ya CCM kuwarubuni vijana ili kufanikisha...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sasa CCM inaendeshwa Kidemokrasia, si rahisi kumfuta mtu uanachama bila kufuata Katiba

    Unajua nyakati zile hata mzee Membe alifukuzwa kibabe zaidi na siyo kwa mujibu wa katiba. Kwa sasa siyo rahisi kumvua mtu uanachama wake kwa sababu demokrasia imetamalaki ndani ya CCM. Mtu atavuliwa uanachama kwa mujibu wa vikao "halali" vya chama ndio maana unaona akina komredi Kipepe...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa upinzani Zambia uwe somo kwa polisi ya Tanzania na CCM

    Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Nepotism: Jeshi la Polisi na upendeleo kwa wana CCM huku likinyanyasa wapinzani. Hivi Sirro hamuoni Gwajima?

    Hii inchi ina mambo ya kipumbavu sana na ndio maana haisongi mbele maana hata taratibu tulizojiwekea wenyewe zinatekelezwa kibaguzi. Pata picha ingekuwa wapinzani ndio wanaopinga kifanywacho na serikali kuhusu chanjo na kutoa kashfa kejeli kwa serikali kama afanyavyo Gwajima. Wangekuwa Rumande...
  10. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamekatazwa kukusanyika lakini mikusanyiko ya viongozi wa CCM inaendelea

    Kwani Serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wanapokutana katika mambo yao ya katiba mpya na CHADEMA digital lakini wao hata baada ya kuweka katazo la kuwa na mikusanyiko lakin bado wao wanakusanyika Je na CHADEMA waendeleze mikusanyiko yao ya kutoa elimu ya katiba mpya na CHADEMA digital...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania CCM imegawanyika; CHADEMA wajifunze kutoka Zambia. Mbowe ampishe Tundu Lissu Uenyekiti

    Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu. Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo. Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuishukuru CCM kwa kusambaza umeme vijini

    Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati. Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini. Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA Tuwapongeze...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM yashiriki kusambaza tabasamu kwa watoto wenye saratani nchini

    CCM YASHIRIKI KUSAMBAZA TABASAM KWA WATOTO WENYE SARATANI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Godfrey Chongolo leo tarehe 15 Agosti, 2021 ameshiriki matembezi ya Km 5 yalioandaliwa na Benki ya CRDB yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu kwa watoto...
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CCM kuendelea kujimilikisha nchi kiharamu mwisho umefika. Hatutakubali tena

    Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mbinu 10 zinazotumiwa na CCM kulinda madaraka

    1. Kesi za kubumba kama vile ugaidi, uhaini, kukamatwa na madawa ya kulevya, uhujumu uchumi n.k. 2. Kufunga watu bila kesi zenye mashiko (detention without trial - kumbuka mashehe wa Zanzibar); 3. Makosa ya mtandaoni na faini kubwa kubwa. TCRA ni agent wao mkubwa wa ukandamizaji. 4. Kutangaza...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Safu ya uongozi ya CCM imechoka, walikosa viongozi?

    Katibu mkuu wa CCM pamoja na Mwenezi ni baadhi ya viongozi wa juu wa CCM ambao tuseme tu ukweli walipaswa kuwa viongozi wa Jimbo au Wilaya lakini siyo viongozi wa Kitaifa. Tukumbuke Mwenyekiti naye hana ushawishi kwenye jamii so viongozi wote wa juu ni vigumu kufanya siasa za majukwaani kwa...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

    Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao! Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha. Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani
  18. I

    JamiiForums Tanzania Hivi sabaya akisema kwamba "Hata mbowe alishinda ila nilitumwa nihakikishe anatangazwa wa ccm"! Itakuwaje.

    Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
  19. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tufute vyama vyote vya siasa tuanze upya.

    Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo. Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo akemea watendaji wa Serikali wanaochelewesha kuidhinisha fedha za miradi ya maendeleo nchini

    DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
Back
Top Bottom