ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Ufisadi ndani ya CCM: Nani anahusika na ufisadi huu mpya?

    Baada ya miaka kadhaa, leo nimeingia na kuwemo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba kikazi. Katika kupitiatia nyaraka za haraka zisizo na baraka, nikanusa ufisadi ndani ya chama changu pendwa. Ni ufisadi uliofanyika kupitia uhamisho wa Maktibu wa Wilaya wa CCM. Kama kada mbobevu, mwerevu na mzalendo...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa Chama kipya cha Siasa cha Ukombozi hasa. CHADEMA na CCM hamna kitu

    Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania. CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM atoa maelekezo matatu mahususi kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali nchini

    TAARIFA KWA UMMA KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
  4. O

    JamiiForums Tanzania CCM kilitukomboa, kukisaliti ni laana

    Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi. CCM ni chama kilichotukomboa na tuliimba sana tutakilinda mpaka kufa. Kama bado upo hai, na unakilaani hiki...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Chongolo na Shaka wameonesha kushindwa kabla ya pambano, tunakusihi na kukuomba Mwenyekiti wa CCM uwaondoe

    Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu wa CCM Ndg Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi ndg. Shaka. Naamini CCM ni chama kikubwa sana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siku za Humphrey Polepole na wenzake ndani ya CCM zinahesabika

    Mwanachama machachali sana ndani ya CCM ndugu Humphrey Polepole a.k.a Comred Polepole pamoja na genge lake lipo hatiani kuondoka ndani ya Chama cha mapinduzi kutokana na kwenda sawa na mfumo wa awamu ya sita. Walifanikiwa kuwakonyeza Watanzania kuwa tupo fiti na tukitaka kupindua tunaweza...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kama issue ya gazeti la Uhuru siyo spinning, basi Mwenyekiti wa CCM Hana watu kabisa

    Kuna matatu watu wameyafikiria kutokana na issue ya gazeti la uhuru jana plus reaction yake: * Kuzima mjadala wa mahojiano ya SSH na Salim Kikeke amabayo kiukweli yalikuwa ni disaster sana sana yaliongeza sympathy kwa mbowe na kufanya Rais aonekane katili na aliyeongea vitu visivyokuwepo kwa...
  8. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania CCM kwa haya yanayoendelea ni kama wanajipaka kinyesi

    Wasalam: Kwa hali ilivyo, na jinsi nchi inavyoendeshwa kwa matamko na kuvunja Katiba, jumlisha kauli kinzani za wana CCM zinazowagawa watanganyika huko mbele itakuwa kazi ngumu kuwaunganisha, maana watu wamepoteza imani. Mambo yafuatayo yameligawa taifa: 1. Ugonjwa wa Corona ccm hawa hawa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tozo kupitia miamala ya simu ikiendelea itakuja kuigharimu Serikali ya CCM

    Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru, Ernest Sungura CCM mlifanya usaili?

    Gazeti la Uhuru lina Mkurugenzi Mtendaji wake Ernest Sungura. Kwa wale wasio mfahamu huyu mheshimiwa, alikuwa akiongoza vile vile TMF, Tanzania Media Fund. TMF ilikuwa ikitoa fedha za wafadhili katika vyombo vya habari kuendeleza uweledi wa The Free Press TMF chini ya Sungura ilikuwa kichaka...
  11. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na kuwasimamisha Watendaji Wakuu watatu

    DANIEL CHONGOLO AMBAE NI KATIBU MKUU CCM TAIFA AMELIFUNGIA SIKU SABA GAZETI LA UHURU KWA KUCHAPISHA HABARI ISEMAYO KUWA RAIS SAMIA HASSANI SULUHU HANA MPANGO WA KUGOMBEA 2025. GAZETI LA UHURU LIMEFUNGUWA SIKU SABA Uhuru wa vyombo vya habari saizi uko huru. Pia soma Gazeti la Uhuru: Rais...
  12. P

    JamiiForums Tanzania CCM: Wananchi hawajawahi kudai Katiba mpya bali hilo ni takwa la wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

    Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali. Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya. Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana. Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama. Mama shituka mapema you will thank me later. PIA, SOMA: - Gazeti la...
  14. Last emperor

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa mwisho wa CCM

    Kwa heshima nawasalimia wana jukwaa la Jamii forum! Wakati akifunga mkutano wa 8 wa CCM, tarehe 13/11/ 2012 Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, alisema" Nataka mfahamu ndugu zangu tukiishi kwa kutegemea jeshi la polisi kufanikisha mambo yetu, tutakwisha na tutakwisha kweli". Hiyo ilikuwa ni...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama mnasubiri CCM ikosee mbele wananchi mtasubiri sana

    Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano. Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani na mshikamano pamoja na maendeleo kisa tu kuna viongozi wenu wamewekwa ndani? Sasa mnakaa kuvizia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru PIA, SOMA: CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025 News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Namshangaa sana mtu anayeishabikia CCM

    Huwa najiuliza, hivi mtu kabisa na akili zako timamu unashabikia CCM? Binafsi nina amini wanaoshabikia CCM ni wale wenye maslahi binafsi otherwise uwe taahira. Chama kilichoisababishia nchi ufukara na matatizo lukuki unakishabikia kwa lipi? At least JPM alipoingia tulianza kuona matokeo kiduchu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja baada ya uchaguzi wa 2020, CCM Bado inakwamishwa au imekwama?

    CCM walituambia upinzani wa kupinga kila kitu umekwamisha maendeleo Kati ya 2015 Hadi 2020. Wakaamua kusiwe na uchaguzi kuwe na uchafuzi. Leo hii tunaelekea mwaka mmoja toka wakae wenyewe kwenye kila secta naikiwemo Bungeni. Kwa maoni yako ni kweli wapinzani walikuwa wanawakwamisha au...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Taratibu Polisi inachukua nafasi ya CCM kwenye siasa za Tanzania

    Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola. Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema. Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa...
Back
Top Bottom