ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

    Taarifa Mbunge wa CCM amejiuzulu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mfumo Dola wa CCM, Tanzania inapotea njia

    CCM ilishachokwa kitambo, Mfumo wa chama kimoja uliathiri vipawa na mawazo mbadala, Mwalimu na wenzake waliunga mkono vyama vingi miaka ya 1992 ili kuruhusu mbadala na kuifungua Tanzania. Miaka 29 baadae tunarudi tena nyuma. Haya ndio madhara ya kukosa mwelekeo. Kutoka vyama vingi vya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

    Anaandika Askofu Bagonza Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia. Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize: 1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali...
  4. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania CHADEMA vs CCM - Katiba mpya

    Wana bodi, Katika kipindi hiki ambacho wana CHADEMA wanakamatwa kwasababu ya nia yao ya kutetea katiba mpya ni vyema kuji uliza kama katiba tuliyo nayo sasa hivi ina mapungufu na kama utumiaji wa nguvu na vyombo vya usalama ni sahihi. Vile vile katika kupinga au kutaka katiba mpya ni vyema kwa...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumeshindwa kujisimamia, hatuwezi kuikosoa CCM

    Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini. Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama. Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama. Hii dalili tosha kuwa chama...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM imekuwa ikiliea wanasiasa magaidi! Hii ni aibu

    Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa na ukaribu na Ccm. Hata shughuli za kitaifa kama sherehe za uhuru na masuala mengi viongozi wetu wamekuwa wakialikwa. Leo hii nimeshangaa kusikia kiongozi wa chama chetu ni gaidi na anafadhili ugaidi. My take; Ccm nao walaumiwe kwa kukumbatia magaidi kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa CCM, Mutungi, Polisi and allies: Chadema genome has already been incorporated into Tanzanians' DNA

    Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema. Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania. Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wito: Chadema, CCM na Wote Maslahi ya Taifa Yazingatiwe

    Itakuwa kutojitendea haki kutokutambua kuwa taifa hili linapita katika hali iliyo tete sana. Hali kadhalika itakuwa ni kukosa uzalendo kwa kiwango cha juu kuyaona haya na kuyafumbia macho. Pamoja na yote ni muhimu sana maslahi ya taifa yakawekwa mbele. Ieleweke kuwa maslahi ya taifa (kama...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Press ya Mnyika yawavuruga CCM

    Baada ya John Mnyika kuweka wazi namna Jeshi la Polisi na serikali walivyotumika kubambikia kesi Mbowe huku wakipeleka charge isiyo na sifa CCM kupitia Shaka wameparaganyika na kuanza kuitetea polisi, Mahakama na serikali. Hatua hii inafuatia Mnyika kueleza utekaji aliofanyiwa Mbowe, ubovu wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima azipatanisha CCM na Chadema, zote zinapinga msimamo wake kuhusu Chanjo!

    Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona. Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika Umoja. Mungu ni mwema wakati wote!
  11. Keynez

    JamiiForums Tanzania CCM siku zote wanataka kumiliki pande zote mbili za mijadala mizito!

    Embu niwadokezee jambo moja ambalo ningependa mchukue muda wenu mlitafakari. Kwa sisi wakongwe na wafuatiliaji wa mambo ya nchi hii, tumeshuhudia mambo mbalimbali yakitokea na kufanyika nchi hii. Kuna masuala ya muungano, kuna masuala ya mfumo wa vyama vingi, kuna masuala ya mabadiliko ya...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake

    Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake. Hivi ndivyo inavyotakiwa. Lakini ukikuta mtu anashindwa kutumia akili zake ipasavyo ni kwasababu ya njaa. Maombi yanaendelea kanisani kesho. Nampoteza fulani kwenye ulimwengu wa siasa katika jina la Yesu.😂😂😂😂😂😂😂 Mtu...
  13. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Kiama cha CCM ni halisi kitaondoka na watu

    Ni siku na wakati mwingine tena, poleni na majukumu ya kulijenga taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waswahili walisema ni "Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaaa ulimi" Kuna viongozi wa kiserikali na viongozi wa CCM ambao wamepewa dhamana hawakukosea kutembea ila walitamka maneno...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

    Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake. Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua Vijana Jogging Club

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua VIJANA JOGGING CLUB. VIJANA JOGGING CLUB. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi unapenda kuwaalika Vijana wote wa Tanzania katika Uzinduzi wa “Vijana Jogging Club” utakaofanyika tarehe 31 Julai 2021 kuanzia Nyerere...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM na CHADEMA katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi - nani zaidi kati yao?

    Nimetafakari sana kuwa ni nani zaidi kati ya CCM na Chadema katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi? Kwa mfano CCM walikuwa na msimamo kuhusu katiba mpya haki kuanzisha mchakati uliopelekea kukusanya maoni ya wananchi. Pia ilikuwa na msimamo kuwa Corona haipo Tanzania kwa...
  18. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

    Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria. Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia kaonesha njia, wananchi wafanye uamuzi sahihi wa kupata chanjo

    Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM inampongeza Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu...
  20. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Manara njoo CCM, huku panakufaa na hutajutia

    Naam. Kwako Haji Manara. Nipo CCM kitambo sana. Naijua ndani nje hadi nakinai. CCM yetu ya sasa inawahitaji watu kama wewe. Njoo usaidie kupambana na wapinzani. Tena, ikiwezekana upewe kile cheo cha Shaka, mbona CCM patanoga maana sio kwa shombo hizo. Tahadhari: Chadema ina wafuasi wa ki...
Back
Top Bottom