Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Sitaki kuchangia sana.
Ukijiuliza maswali ni kama kuna kitu nyuma ya pazia, maana kama sisi wananchi wa kawaida tulishanga kwani hatukuwai msikia mama akisema, ila tulimsikia tu akizuia watu kuanza kutengeneza makundi ya kutafuta Urais 2025, iweje jamaa watesti kutingisha kiberiti mapema?
Hata...
Hizo organs nilizozitaja hapo juu;
Majeshi
Vyombo vya usalama
Deep state
Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo.
Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie...
"Sisi NCCR-Mageuzi tunatoa pole kwa polisi waliouawa juzi, tunatoa pole za dhati kwasababu ni binadamu, wametoa uhai wao. Tunatoa pole kwa familia ya Hamza pia kwasababu huyu ni binadamu, wasiendelee kujenga chuki, tunatoa pole kwa wote, roho za binadamu zilizoondolewa.
Tunatoa pole kwa chama...
Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
Kitu kinachoendelea sasa ni jitihada ya Polisi na serikali kujaribu kutoa picha kwa Watanzania kwamba Hamza hakuwa mtu mzuri na Polisi ni watu wanaofanya kazi yao vizuri. Polisi na serikali hata wamekuwa wakijitahidi kuonyesha Hamza alikuwa mtu hatari angeweza kuua raia wengi kama Polisi...
Hiki chama ..kinatakiwa kufutwa haraka sana .
Watu wengi wenye nia ovu na Taifa letu wamejifichà katika kivuli cha hiki chama.
Wananchi wengi wanahitaji Amani ya kweli.
:pPendekezo msajiri ebu futa hiki chama Mara moja . tunaitaji Tz imara isiyokuwa na vyama vyenye kulea watu waovu.
Kuna kila dalili ndani ya chama mfumo dume umetamalaki na una mizizi mirefu sana. Kuna kundi kubwa huko haliamini katika uwezo wa mwanamke kushika nafasi kuu kwenye utawala/uongozi wa nchi. Wengine ni kutokana na tamaduni mila na desturi zao. Na wengine ni kutokana na unyanyapaa tu na silika za...
Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye ndege kwenda Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais halali aliyetoka na Upinzani, ninyi...
Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani?
Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo Hakainde Hichilema , miaka yote tumezoa Rais...
Ule mshiko wa kukazania kuwa sababu ya Mbowe kutiwa jambajamba kila wakati na sasa kukamatwa katika aina ya kesi zinazochukua muda mrefu hadi kufikia hukumu ya mkosa au si mkosa ni sababu CCM wanamuogopa Mbowe, sio kweli bali kwa hali ilipofikia inaonyesha wazi CCM wamejitoa hofu na hawamuogopi...
Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, CCM hawajaalikwa, lkn cha kushangaza kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wake kuliko waalikwa wenyewe.
Ni aibu kwa...
NA MWANDISHI WETU. Dar es Saalam
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema serikali ya awamu ya sita imeendelea kutekeleza miradi na programu mbalimbali za maendeleo kwa kuzingatia kundi la watu wenye ulemavu kwa kulijumuisha, kulishirikisha...
Habarini wapendwa wadau wa jf.
Kiukweli kabasa chama Cha ccm kwa Sasa nchini mwetu kimegeuka kero na kinatia hasira Sana kwa maneno na matendo yao, chama hiki hakijali Tena haki za watanzania walioupande wa upinzani unafikiri Hawa si watanzania, hasa linapokuja swala la madaraka wanaona wao...
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda
Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
Habari za Muda huu wana Jfs.
Ni muda sasa wa takribani mwezi kumekuwa na introduction ya kile kinachoitwa tozo ambapo kwa mujibu wa Mh Rais Samia kupitia Waziri Wake Dr Mwigulu nchemba na wabunge wake wanadai ni kwa ajili ya solidarity funds ili kusaidia miradi mbali mbali ya kijamii kama...
Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno.
Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo.
Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
Nataka niliseme hili na ninaomba tuweke kumbukumbu hii kwa rejea ya kesho muda ukifika.
Chama changu tulitaka kuungana pamoja na watanzania kuhusu suala la Tozo za kwenye simu baadaye tukaungana na serikali tikakaa kimya, mafuta yakapanda bei tupo kimya,vifaa vya ujenzi vipo juu tupo kimya, bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.