ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania CCM wameichafua nchi yetu

    Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu. Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia. Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa UVCCM. Utalii umedorora. Raia wameanza kutoa fedha zao benk kwa hofu. Kunyooshewa vidole vya kukusolewa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani mteule wa CCM Kata ya Shiwinga, amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri

    Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Uanzishwe mfuko wa kuchangia waathirika wa maandamano na wa vitendo vya kikatili vya dola la CCM na mfuko huo usimamiwe na UN

    Nafikiri ni wakati sahihi wa kuunda mfuko maalumu wa kuchangia waathirika wa maandamano ya Oktoba 29 na. wale wote waliiothirika na matukio yote ya kikatili yaliyofuata baada ya hapo. Lengo likiwa ni kuwashika mikono ndugu, jamaa na wanafamilia wa walipoteza wapendwa wao. Ukweli ni kwamba...
  5. A

    JamiiForums Tanzania CCM bado wanafikiri dunia ya leo ni ile ya zamani

    Tatizo kubwa ambalo linatajwa na wachambuzi wengi ni kwamba baadhi ya viongozi wa CCM bado wanafikiria kuwa siasa ya leo ni sawa na siasa ya miaka ya zamani—wakati taarifa ilikuwa haba, mitandao haikuwepo, na vijana hawakuwa wengi kwenye maamuzi. Leo dunia imebadilika: Vijana wana uelewa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM tafadhali tujaribu kutuliza vichwa, Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo

    Katika hali ya sasa, ni muhimu kwa viongozi wote wa CCM, kuanzia ngazi ya chini hadi juu, kuelewa muktadha wa hali ya sasa haujawai kutokea tangu uhuru. katika kipindi hiki Influence ya chama imeporomoka sana, hali ya kisiasa inahitaji uangalifu wa kipekee. Viongozi wanapaswa kuwa na busara...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kama kuna wana CCM wenye akili huu ni wakati wa kukimbia meli inayozama

    Sijui kama ndani ya CCCM kuna wanao jitambua na wanao weza soma alama za nyakati. Huu ni wakati wa kukimbia meli inayo zama. Hakuna namna tena CCM inaweza nyanyuka, hakuna namna, nazania wana uoga sana ila ukweli ni kwwmba CCM haiwezi nyanyuka kamwe.
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ukweli hata uchukiwe, muumie, na kuudhi utabiki kuwa ukweli CCM mkubali mliua watu wetu

    Ukiwasikiliza uzuri genge la CCM utagundua kuwa wamechanganyikiwa kiasi cha kujichanganya na kuchanganyana wakidhani watatuchanganya. Eti wanaoionya CNN kwa kufanya kazi yake uzuri. Wamechanganyikiwa na kusahau kuwa CNN sIyo shirika la kitapeli kama mengi tuilyo nayo nchini yakifanya kazi ya...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

    Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu. Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi. CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania CCM inaogopa mno kuibuka kwa 'Gorbachev'

    Ukifanya tathmini ya kina kuhusu CCM utagundua hakuna jambo wanaloliogopa kama ajitokeze mtu mwenye nguvu ndani ya chama, aseme "mabadiliko ya mfumo wa kuendesha nchi hayakwepeki tena na ni lazima yafanyike". Miaka ya mwanzo wa 1990s, Rais wa Urusi Mikhail Gorbachev, baada ya kuona mzigo wa...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wana CCM na Viongozi wa Serikali na Wastaafu na Machawa ambao Kamwe Hawatasamehewa Leo au Kesho Kwa namna yoyote Ile !!

    Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi. Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE. Jakaya Kikwete na Familia yake. Rostam Aziz...
  12. H

    JamiiForums Tanzania CCM ina machaguo mawili tu, Kujitenga na wauaji kiendelee kuwa miongoni mwa Vyama Vya Siasa

    Utekaji na mauaji ya wanaomkosoa Rais, Utengenezaji wa mifumo bandia ya Uchaguzi, tume huru bandia ya uchaguzi, utangazaji wa Rais na wabunge ambao hawakuchaguliwa na wananchi, na kisha mauaji ya kiharamia ya Maelfu ya Watanganyika, vyote vimefanyika chini ya Serikali ya CCM. Ushetani huu wote...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hivi jeshi ni la CCM au la wananchi ?

    Kuna video fulani nimeona uko instagram limenipa maswali kweli Mwanajeshi ana simama kuimba nyimbo ya kumsifia rais na kumfurahisha kweli 🤣🤣🤣 hizi ni dharau hata jeshi la Burundi haliwezi kufanya upumbavu wa namna hii Katika nchi hii tunahitaji revolution kwa aina yeyote ile kuondoa hawa...
  14. Common Folk

    JamiiForums Tanzania CCM mkiendelea kukaza shingo, hawatang'oka viongozi tu, bali mpaka chama kitakufa, hakuna atakayetaka kukisikia milele.

    Kwa sasa ikipigwa kura ya vyama vinavyopendwa Tanzania, CCM itashika mkia. Huku mitaani chini kabisa mashinani hata wale waliokuwa CCM vindakindaki hawataki kukisikia kabisa. Kosa la karne mlilolifanya mwaka huu ni kukubali kuzidiwa akili na CHADEMA. Ni rahisi sana kupambana na chama pinzani...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM wamemwachia Samia jumba bovu limwangukie?

    Baada ya ushindi wa kishindo tofauti na chaguzi zilizopita, siwaoni wana CCM wakisherehekea ushindi wala simuoni Mkiti wao akizunguka mikoani kuwashukuru wana CCM na wapigakura. Ni yeye tu na msemaji wa serikali ndio wanasikika sioni wengine wakihangaika kumtetea. Simuoni Makamu Mwenyekiti...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GSM (zamani Home Shopping Center) ni moja ya Kampuni hatari sana kwa Watanzania

    Hawa wanahusika na mipango mingi miovu ya kubagaza nchi hii na kubananga. Wanahusika pakubwa na uporaji na ununuzi wa maeneo ya Umma ambayo miaka ya nyuma walikataliwa kuuziwa. Hawa mnajua wamenunua eneo kubwa la Kurasini mpaka shule na ofisi za Uhamiaji Kurasini? Mnajua kuwa kuna maeneo...
  17. Sitakuumiza Kamwe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

    Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi. Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
  18. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Historia huwa inajirudia CCM

    CCM wataachia nchi kama Nyerere kwa kushindwa kupata Mikopo, misaada na utalii kujifia. Na viongozi watakimbilia uhamishoni kuomba hifadhi History tends to repeat itself Maandamano ni VITA ya watu wajinga in this era. Wao wanaogopa nchi kukwama kiuchumi na kukosa misaada hilo tu. The rest...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM sasa ni mufilisi kisiasa, haijalaani mauaji

    CCM kwa sasa ni sehemu ya serikali kandamizi. CCM hainaushawishi kwa sasa na haiwakilishi wananchi wa kawaida kabisa. Imepita takriban wiki tatu baada ya mauaji ya wananchi wa kawaida hasa vijana. Mauaji, kuteka watu sasa katika utawala wa CCM kwa sasa ni mambo ya kawaida na CCM IMEYARUHUSU...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Polepole alikua Mbele ya mda Sana CCM kwa sasa tunaongea Lugha moja Chama Kimekufa kwa Wananchi maskini kimebaki kwa Mabwanyenye

    Polepole alipambania chama kurudi kwenye misingi ya Huanzishwaji wake chama cha wafanyakazi na wakulima kiwatumikie wananchi lakini mkaona mkikabizi chama wakini Seth IPTL na na mabwanyenye wengine...
Back
Top Bottom