Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, amekosoa vyama vya upinzani vinavyodai kuwa vinazungumza...
Kama kweli haya yaliyotokea 29Oktoba hayawahusu basi VAENI NGUO ZA KIJANI zile piteni tu kwa amani kabisa mitaani mkiwa mnatembea kifua mbele!
Kama mnaamini hamkuzika watoto au wajukuu kutokana na kupigwa risasi basi tembeeni kifua mbele! bahatu nzuri kesho ni siku ya Kazi so mji utakuwa nyomi...
TEC imekuwa ikipinga utekaji ambao umekuwa ukifanywa na CCM, ila CCM yenyewe imekuwa haitaki kupingwa na yeyote kuhusu mambo hayo haramu
TEC imekuwa ikiishauri CCM kuwa, si vizuri wapinzani wakawa ni watu wa kukamatwa na kuswekwa lumande kisa wanaikosoa CCM kwa sababu kufanya hivyo ni kuleta...
GT
Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho.
Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni mengi mno watakuwa wana edit kila mara. Kitima ndo kawamaliza kabisa.
================
Gen-Z...
Jana Chama cha mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa wagombea nafasi za Umeya, na wenyeviti katika Halmashauri za Wilaya, Miji, manispaa na majiji hapa nchini.
Katika Mkoa wa Simiyu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi CCM iliteua jina moja tu la Zebedayo Lazaro Kingi ambaye ni Diwani kata ya Sima...
Mtu wa kawaida:
Picha (hapo chini) ikionyesha watalii wakiondoka Tanzania kwa kile kinachotajwa kuhofia usalama wao kuelekea D9.
Ukiwa CCM na chawa kama CV no 2:
Picha hapo chini ni Mamia ya watalii wakimiminika Tanzania kwa ajili ya kufurahia likizo yao.
Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao.
Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na ndio maana wanatoa vitisho kwa njia yoyote.
Walikanusha mfumo wa NIDA na CCM na tume ya uchaguzi...
Nimeshangaa sana. Nimekutana na dada mmoja akaniambia kuwa ana ndugu zake wapo Dar wamefunga biashara sababu ya hofu ya D9.
Oktoba 29 viongozi wote wa CCM kuanzia ngazi ya taifa mpaka mabalozi wa nyumba kumi hawakutarajia kilichotokea.
Hii yote ni sababu ya dharau na mazoe kuwa watanzania...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃
Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
Baada ya kutoa hotuba ambayo ilionekana kumuudhi aliyekuwa Mfalme wa Belgium, aliyekuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Zaire (sasa DRC) Patrice Lumumba alikamatwa na wanajeshi wa kibelgiji wakishirikiana na waasi wa ndani.
Ili kupoteza ushahidi na ili kumbukumbu yake ipotee kiujumla, mwili wa...
Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM...
CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki
Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi tumejitambua
Samia achia nchi yetu hatukutaki, hatuwapendi, hatujawachagua tokeni msituletee machafuko kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.