ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tukinyimwa misaada na mikopo na kutengwa kimataifa CCM mtandao watanyooka

    Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi. Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia? Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki? Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa imara, Kidumu Chama cha Mapinduzi (Jipangeni tena for 25 years)

    Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele. Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa. Wao wanapanga CCM inapanga. CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito. Imepenya majaribio mengi. Walitumia maafisa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ya CCM itakuwa kama INEC na tume ya uchunguzi

    Kinchoitwa katiba mpya au mabadiliko ya katiba yaliyosemwa na CCM itakuwa kama tume ya uchaguzi ya Mwamengele na Kailima waliyoiongezea neno huru tu wakaanza kuiita INEC badala ya NEC kisha wakasema hiyo hiyo ni tume huru. Itakuwa pia kama tume iliyoundwa leo ya wao wanachoita uchunguzi wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania A mockery of Justice: Kwenye tume wote aliowateua ni wanachama wa CCM

    Kazi mbaya si mchezo mwema. Matusi matupu...Tax alikuwa Waziri wa ulinzi, si ajabu ali sanction mauaji, leo yuko kwenye tume! Mungu naomba basi hilo lisifike mwisho wa safari. Tunataka tume ya Kimataifa, siyo utani huu.
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya TEC ilimaliza kila kitu tume ya CCM ikija na report tofauti ni uongo

    GT Ukisoma ile tafakari ya TEC Mstari kwa Mstari walimaliza kila kitu. Sasa tume ya bitozo ikija na report tofauti na hiyo ni uongo. CCM Kunahaja kubwa ya kuwashikisha adabu siyo wawajibikaji na wanajeuri sana hawana lengo la kuponya nchi. Sisi tutakuja kulinganisha hizi report mbili na mda...
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu wa kufikirika anayeitwa Habil and kabil huenda ni project ya CCM

    Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo. Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza. Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo tutaelewana tu, Mizizi yake ni mirefu mno) Bila CCM hakuna Tanzania

    Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi: Nina imani na bunge la CCM

    " Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa nchini, naamini anaelewa hasa matukio yanayoendelea lakini bado anashobokea uwepo wa nguvu ya chama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM idhibiti makada wake hasa kutoka UVCCM wanaofanya press conference zinazokiharibia zaidi chama kwa wakati huu

    Anachokiongea huyu Muhsin Ussi ni upumbavu mtupu kwa wakati huu tuliopo. Hii haimsaidii Rais Samia zaidi ya kuongeza hasira kwa wananchi. Yeye Muhsin anavyosema atashughulika na watakaomkwamisha Rais ni kwa kutumia mamlaka yapi aliyo nayo? Yeye ni chombo cha dola? Muhsin ajue hata wanaCCM wengi...
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tumesubiria mpaka tumechoka. Zifanyike sherehe za ushindi wa CCM

    Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha, Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa. Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyerere na CCM walisahau kupambana na ubaguzi wa kisiasa na sasa ubaguzi huo unaitafuna nchi

    Tangu tunapata uhuru mpaka sasa utawala wa CCM ulijikita sana kupambana na ubaguzi wa ukabila, rangi, dini na ukanda. Walichojisahau au kwa makusudi hawakuwahi kuwekeza jitihada zozote kupambana na ubaguzi wa kisiasa, kuwaona wapinzani wa CCM ni raia sawa na wenye haki kamili sawa na wana CCM...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vita italetwa na CCM

    Watanzania wote tumejionea na tumekiri vita italetwa na ccm. Hizi propaganda zao za kuwauzia uoga wananchi kuwa upinzani utaleta vita ni vichekesho. Mmeona Samuya alivyobaka uchaguzi na kujishindisha kwa 98% lakini akiogopa kusherehekea ushindi wake na hao watu milioni 31 waliomchagua. Uchaguzi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni bora CCM wakae kimya kuliko kutafuta njia ya kujisafisha

    Kwenye mitandao ya kijamii nakutana na video kadhaa za machawa na pia za viongozi mbali mbali wa CCM wakijaribu kujisafisha na kutafuta nani wakumtupia mzigo wa haya yaliotokea nchini. Ushauri wangu kwao, ni bora wakae zao kimya huenda miezi au miaka kadhaa huko mbeleni wananchi wanaweza...
  15. Criss

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watu wamejiandaa kuyaona machozi ya CCM

    Maisha ya wateule yapo hatarini sana . ROHO YA KISASI imestawi mno. Maandamano ya tar 29 yametengeneza kitu kipya sana . Waliyokuwa wakijihusisha na maandamano yale wengi wao walikuwa vijana na hasa wale waliyokuwa na chembechembe nyingi za usiasa za mageuzi ndani yao huku % ndogo sana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi - Rasmi jeshi la polisi ni jumuiya chini ya mwamvuli wa CCM

    14 November 2025 Rais wa chama cha mawakili Tanganyika msomi Boniface A.K Mwabukusi pia asema bora jeshi la Polisi likapewa usajili na msajili wa vyama vya siasa Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=UMmGpqh9Ask
  17. N

    JamiiForums Tanzania CCM sasa wanajificha kwenye hoja za kidini,amani na kujifanya wao ndio wasemaji wa 'Gen Z'

    Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi. Bila kupepesa macho CCM kwasasa wanajificha kwenye udini ukihoji uhalali wa uchaguzi na mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi,katiba mpya utaambiwa wewe unamchukia Samia kwasababu yeye ni muislam. Hapa JamiiForums na kwenye mitandao mingine ya kijamii...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wazazi CCM ,Tuondolee Upuuzi wako hapa, Kati ya Muuaji na Aliyeuliwa nani alitakiwa Kumsamehe MWENZAKE ??.DEC 9 sio mbali, Tutaelewana tu

    Ninawaapia Mbele ya Mbingu hii ,Kama ambavyo Mungu anaishi, basi Siku zenu zaja. Kwa Bahati mbaya sana ,Vichwa mwenu kwa Sasa mmebakisha Matope ya kuvukia Mabarabara, hamna lolote mnalofanya mkitumia Akili Walau kiduchu. HUWEZI KUUA WATU KISHA UKAENDELEA KUONGOZA. HUWEZI KUUA WATU ALAFU...
  19. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania CCM haitafuti maridhiano. Inatafuta acceptance kwenye society

    “When you dance with the devil, the devil doesn’t change. You do.” Kuna watu wanaua, wanaiba Dawa hospital, Wanaiba miradi ya Maji, wanakula hela za Halmashauri, wanapora haki mahakamani, wanapitisha sheria mbovu bungeni, wanateka, wanaiba bilions of money wanaficha kwenye magari, tuambiwe...
  20. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huko BAKWATA kama ilivyokuwa CCM nako hakuna mwenye akili akashauri vizuri? Waandamanaji ndio wamesababisha mauaji na sio Polisi?

    Yaani sasa hivi kila ukiingia mtandaoni unapigana na hisia zako usije kupata presha kwa hasira! Aaaaaa! Wazee kabisa ambao vijana wanategemea muwe na busara kushauri mambo vizuri mnajitokeza kuongea upuuzi bila soni hata kidogo usoni! Pia soma PostGE2025 - BAKWATA na taasisi za kiislamu...
Back
Top Bottom