ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali imeamua kufanya promotion ya Maandamano Hamnaga Washauri huko?

    Kiufupi kuna watu wengi walikua hawajui aya Maandamano lakini ghafla serikali ikaanza kufanya promotion ya Maandamano huko hamnaga washauri tuchukueni sisi vipanga. Kuna watu wengi kiufupi walikua hawajui habari za Maandamano kabisa zaidi ya watu ambao wanafuatilia mambo yanayoendelea mitandao...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Hakuna chama zaidi ya CCM chenye uzoefu wa kuongoza nchi yetu bila kuingia kwenye machafuko ya kivita

    Mgombea ubunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuendelea kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko. Bashungwa ameyasema hayo jana Oktoba 10, 2025 katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Kijiji cha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chato: Viongozi wa CCM wanahaha kutafuta usafiri wa kubeba watu toka vijijini ili kumridhisha Rais Samia

    Nimedokezwa kuwa Viongozi wa CCM akiwemo Dc wa Chato na jopo lake wanaomba msaada kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri ili watu kutoka vijiji mbalimbali wahudhurie mkutano wa Kampeni tarehe 13/10/2025. Nimedokezwa hii yote inafanyika ili kumridhisha mkuu wa nchi kuwa anakubalika. Wananchi...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Innocent Bashungwa, ameendelea na kampeni za kuomba kura za Mgombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Karagwe kwa kueleza kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutaendeleza mchakato wa Katiba Mpya kama ilivyo katika ilani yetu ya CCM

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kwamba katika kutambua umuhimu wa mshikamano kwa Watanzania wote, endapo atapewa ridhaa ya kuongoza tena, atahakikisha Serikali yake inaendeleza mchakato wa kupata Katiba mpya...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM mabango yenu kila sehemu yanaboa. Naomba kamati za mazingira mliangalie hili

    Wakuu, Nimechoka kuona mabango ya CCM mtaaani. Yaani kila sehemu ni mabango tu. Nimeenda pale Makumbusho mabango yako hadi kwenye magari Halmshauri mko wapi? Mazingira kwa kweli ni mabovu na machafu maana kuna karatasi kila sehemu CCM watafute namna ya kufanya kampeni zao bila sisi...
  7. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kama ndani ya CCM wanaweza kunyang'anyana haki, ndio iwe kwenye chaguzi nje ya chama?

    Fikiria Kigwangala anaporwa ushindi. Anaumia moyoni kisha anaunga mkono uporaji. Fikiria Ummy anakwapuliwa nafasi yake halali. Anaugulia moyoni kisha anatoka hadharani kuunga mkono Fikiria Gambo anapigwa kumbo laivu.. Yani haruhusiwi hata kugombea. Analialia kisha tunamsahau. Mpina...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Uendeshaji wa nchi, hakuna majaribio, CCM ndio yenye uzoefu

    Naona kama Samia anawatisha wapinzani wake! Hata hao wapinzani wanauwezo wa kuongeza nchi na kupata uzoefu na kuleta maendeleo makubwa kwenye nchi Mbona wale CHADEMA mnawaletea figisu kila kukicha? Kama nyinyi mnajiona mnauzoefu, wekeni mpira kati kila mtu ashinde mechi zake sasa...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi kutoka kwa Polepole: Viongozi wote wa CCM tuna V8 unaijua wewe, AC muda wote

    Kila jambo lina wakati wake amini nawaambia tukumbuke kesho yetu ipo mikononi mwa Bwana kuna lakujifunza usikute ametekwa na V8 ya Chama Cha Mapinduzi CCM. Niwatakie Jioni Njema.
  10. Criss

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM jitafakari

    Yawezekana wewe ni mstaafu , uliyewahi kulitumikia Taifa kwa moyo wako wote. Yawezekana bado upo kwenye madaraka na bado unazitii order zote nakukiombea mema chama chako kiendelee kutawala. Yawezekana wewe ni mwanachama wa kawaida unaeshiriki kupambana kuwabagaza wapinzani kwa uwezo wako wote...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Inasikitisha sana kumuona kiongozi tuliyemuamini kuwa ni mpinzani anavizia wanaCCM kupiganao picha

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Baba Levo amesikitishwa na Mpinzani wake kutoka Chama cha ACT Wazalendo, kuomba kupiga picha na baadhi ya Wanachama wa CCM Kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho uliofanyika Mkoani Mwanza. "Inasikitisha sana kumuona kiongozi...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  13. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unasema unadai haki halafu muda huohuo unasema tar 29 utaifuta CCM. Je, utakuwa umewatendea Haki wanaccm?

    Mpo salama! 1. Sisi watibeli tunachozingatia ni Haki, Haki kwa Kila mmoja. Bila kujali chama chake, itikadi yake, kabila lake au dini yake. 2. Mara nyingi nawasikia wanaharakati wanaosema wanapigania Haki, kama kina Mange Kimambi na wengineo. Hata humu JF wakisema wanapigania Haki lakini muda...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM

    Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM! Yaani mtu ambaye mlikuwa karibu hutaki hata kujua hali yake hata baada ya Mama mzazi wake kuongea hujali hata kuuliza na hata kusema basi unamuombea na kumuombea shinikizo aachaliwe. Yaani muongeaji pekee ni Heche!!!! huko CCM kuna binadamu...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imewezaje kudumisha propaganda ya kisiwa cha amani kwa miaka 60?

    Ukiwasikiliza watu wa CCM wanapoiongolea Tanzania kama kisiwa cha amani kila mara wakati wa uchaguzi unaweza kufikiria ni jambo la kipekee sana linaloitofautisha Tanzania na nchi nyingine au unaweza kufikiri ni kisiwa kumbe pembeni yake tu kuna nchi za Zambia na Malawi ambazo zimekuwa na siasa...
  17. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo: CCM ipo kama kiini macho, haina makosa wananchi ndio wenye makosa

    Mgombea urais kupitia CAF Gombo Samandito ametema cheche akiwa pale wasafi ni balaa tupu
  18. Trainee

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi au siyo sahihi: Bango la mfano wa "karatasi ya kupigia kura ya urais" lililotumiwa na CCM kwenye kampeni Mwanza?

    Naomba nijifunze kupitia nyinyi, tiririka hoja zako hapo kisha weka kwa muhtasari tu kuonesha walikuwa sahihi au hawakuwa sahihi. Lugha ngumu (matusi, dharau, kebehi na mfano wa hayo) marufuku!!! 1. Ni sahihi 2. Siyo sahihi
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa Mwaifunga: CCM ndio chama chenye hela na ndicho chenye ilani na bajeti, kichagueni mpate maendeleo

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Hawa Subira Mwaifunga amekutana na kuzungumza na kikundi cha wanawake na Samia mkoa wa Tabora; Ambapo amewashauri kuendelea kukiamini na kukichagua tena Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kwamba ndio...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asalaleee Tarehe 29 Oktoba ni Tanzania Mpya !!! No more Wahuni, No more Watekaji, No more CCM , No More Wanamtandao!! Ni Tanzania Mpya

    Wakuuu , Acheni hawa Wapuuzi wawateke watu waloamua kuelezea Hisia zao Mtandaoni !!. Waacheni Waendelee kumsumbua LISSU na kesi ya mchongo !!. Nguvu yao Iko wazi , Hawana Nguvu Tena , Tumeshawajua wote Kwa Mihuri yao !!. Sisi Nguvu zetu haziko Wazi ila ni nguvu DHAHIRI , PAWA KWELIKWELI...
Back
Top Bottom