Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kuna wizara ya ovyo sijui wizara ya vijana takataka tu.
Ni hapa tanzania tu ndio tunasema riziki ni mungu kumbe sio kweli wakati wenzetu wana mwajuma tena chupi kubwa.
Kwa wenzetu kipaji chako kiwe kwenye elimu,sanaa,akili,uwezo wowote we ni tajiri ukilinganisha na hapa kwetu yani profesa kawa...
Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii.
Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi.
Hakuna...
Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda
Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
Hamjambo!
1. Wale wazee wa political analysis and evaluation mtakubaliana na Mimi kuwa vijana WA sasa wa CCM hawana ushawishi. Hawana mvuto.
2. Siongei kisiasa naongea uhalisia wa mambo ulivyo.
3. Jambo hili linawapa KAZI zaidi viongozi wakuu wa chama hicho na serikali kwa ujumla kwa sababu...
Ukiangalia na kuchunguza Kwa makini hali ya mvurugiko wa kisiasa nchini kwetu, utagundua ilianza mara baada tu ya CHADEMA kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wao Taifa.
Mpaka leo ingawa CHADEMA imezuiliwa kufanya siasa na kuendelea kushambuliwa kila Kona, lakini unaona kabisa kuwa CCM bado...
Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.
Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.
Kitendo hiki...
Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM.
Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri.
Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini...
Unajua huwa najiuliza na sipati jibu. Hivi inakuwaje mtu unashabikia ccm? Yaani pamoja na mateso yote haya yaliyosababishwa na yanayoendelea kusababishwa na hiki chama inakuwaje kabisa bado unashabikia CCM.
Kipindi cha mfumo wa chama kimoja unaweza kusema labda watanzania hawakuwa na uelewa...
KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa.
2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua...
Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM.
Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo.
Haiwezekana watu smart wenye akili kubwa na uwezo wa kutuongoza wako inje halafu mtu anajaza familia...
Dunia inatakiwa itambue na inatakiwa ikiweke hiki chama katika list ya terrorist organizations ,hakina sifa ya kuwa political party zaidi ya kuwa terrorist organization
Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa...
Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70.
Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.
Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi.
Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15.
Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
Wanajukwaa nina maswali machache hapa naomba msaada tafadhali:
1. Yapi mabaya tuliyotendewa na wakoloni na hatutendewi na CCM?
2. Yapi mema ambayo CCM wanafanya, mkoloni hakuyafanya?
3. Mkoloni alitunga sheria kandamizi na akazifuata, kwanini CCM hata sheria zao kandamizi wanazivunja ili tu...
Sina KESHI ila ntazikopa, kama niliwai tamani kuuza nyumba ya urisi kwa Ajili ya kumpata wema Sepetu,sishindwi Kuiuza Ili nikupe Mzee wasira ukaitishe mkutano pale kisesa uwashukuru Wana CCM kwa kuwachagua wabunge na MH RAIS kuwa Rais.
Nataka uende na nguo zako za ccm UKIMALIZA mkutano salama...
Miaka nenda miaka rudi CHADEMA imekuwa ikibagazwa kwa kila staili lakini sijawahi kusikia kuwa mtu yeyote akitishiwa kuuawa au kuteswa kwa namna yoyote ile na watu wa CHADEMA.
Lakini ni jambo la kawaida kabisa kwa wana CCM kutishia kufanyia watu uovu watu hao wanapoikosoa CCM.
Kwa nini wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.