ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Uongozi sio umungu mtu

    Dhana ya uongozi katika nchi nyingi za Afrika,imekuwa ikitafsiriwa na kumaanishwa tofauti na dhana halisi. Uongozi umekuwa ukichukuliwa kama daraja la kujitwalia ukwasi(utajiri),utukufu(umungu Mtu) kwa miaka mingi tangia kipindi cha mkoloni hata baada ya uhuru. Dhana hii potofu ya uongozi...
  2. JamiiForums Tanzania EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
  3. JamiiForums Tanzania Uwaziri Mkuu waitesa CCM

    Gazeti la Raia Mwema toleo la leo Septemba 10, 2022 limeandika uwaziri mkuu waitesa CCM. Hii taarifa ina maana gani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mwana JamiiForums Maarufu Kutoswa na CCM huko EALA, nimeamini 99% ya Waandamizi wa CCM wapo JamiiForums 24/7

    Huenda Kauli hii ya kusema 'nikiteuliwa kuwa DC nitakataa kwani kwa Hadhi na Elimu yangu hakinifai'. Tuwe makini na Kauli zetu JF.
  5. JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Naichukia sana CCM mpaka napandwa na wazimu

    Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM. Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana. Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda...
  7. JamiiForums Tanzania CCM na tozo ni ile ya "tema tumpige" ya mama na mwana

    Watoto wadogo wanapolia kwa kuchokozwa na mtu mzima au hata kwa kuchomwa sindano, ili kumnyamazisha asilie mzazi atamuuliza mtoto swali la kizushi la "nani mchokozi?". Mtoto atasema yule pale, na mzazi atamwambie tema tumpige, na mzazi atampiga kizushi huyo mchokozi, na mtoto atanyamaza kwa...
  8. JamiiForums Tanzania CCM vs Serikali

    Salamu kwenu, nyote wenye kulitakia heri taifa. Yahitaji maarifa ya CUBA kuelewa kwa namna gani CCM inamudu kusimamia serikali. Hii inakuja baada ya wajumbe wakuu wa Kamati kuu kuwa ni viongozi wakuu wa serikali mfano Rais, Spika na Waziri. Sasa, maagizo ya Kamati Kuu kuielekeza serikali...
  9. JamiiForums Tanzania CC YA CCM: Hata kama tozo zimejenga vituo vya afya 234 na shule za Sekondari 214 bado wananchi wana hoja, zitazamwe upya

    CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi...
  10. JamiiForums Tanzania Kuelewa kunavyokuza kueleweka kwa Kenani Kihongosi

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi. Na Kevin Lameck Tuna masikio mawili na mdomo mmoja, kwa sababu tunapaswa kusikiliza zaidi na kuzungumza kidogo. Huu ni msemo maarufu sana kwa waswahili na ambao unahusishwa na mwanahistoria Plutarch na mwanafalsafa Zeno wa Citium. Ujumbe wa Papa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

    Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkwamo wa Uteuzi wa wagombea EALA- CCM (Ngoja niwape mbinu)

    Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo. Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali fulani na nani apite, nani atemwe! Tathmini yangu inaonesha vigogo wengi wameleta vimemo wakipendekeza...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwako Mzee Kinana; Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM

    Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa mikono miwili. Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia...
  14. JamiiForums Tanzania RPC Kilimanjaro na Arusha wapuuza agizo la Mzee Kinana

    Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’. MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji. Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
  15. JamiiForums Tanzania Kinana, katika ziara zako za vikao vya ndani waulize wana CCM hivi

    Comred Kinana ukisha maliza mikutano ya hadhara katika ziara zako kutana na wanachama wa CCM vikao vya ndani waulize, chama kinavyoenenda kama tukiweka katiba mpya na uchaguzi ulio huru na haki tutashinda 2025? Tena ukiweza waulize wanachama wa kawaida kwa sababu viongozi watakudang'anya...
  16. JamiiForums Tanzania Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

    Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa. Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe...
  17. JamiiForums Tanzania CCM hawajiheshimu

    Kitendo cha kuwa na wanasiasa wanaoiongoza Serikali lakini kiongozi wa chama cha siasa kinachoiongoza hiyo serikali kuanza kutoa maelekezo kwa watendaji wa serikali, ni dalili kwamba chama kilichoko madarakani hakijiheshimu. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, hakuna mahali...
  18. L

    JamiiForums Tanzania CCM itaendeleaa kuwa Chama kiongozi na Tumaini la watanzania Daima

    Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani ya chama hiki, ukiangalia namna viongozi wake wanavyopikwa na kuandaliwa, Ukiangalia namna...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

    Wanabodi, Declaration of interest, mimi pia ni mwanachama wa chama cha siasa!. zikiwa zimabaki siku 14 tufanye uchaguzi wetu, naomba kuuliza, hivi kweli kuna Mtanzania, mwenye akili zake timamu, anayefahamu maana halisi ya maendeleo, tangu tulipopata uhuru, tulikuwa na rasilimali gani...
  20. JamiiForums Tanzania CCM msifiche aibu yetu kama taifa

    Mungu nakuomba uniongoze niandike kinachoeleweka Tanzania sasa inapitia wakati mzito na mgumu sana kama Taifa. Wananchi wamepoteza matumaini lakini kinachowazuia kufanya maamuzi ni hofu ya kuuawa kinyama na vyombo vya dola ambavyo vimeshikamana na mirija inayoitafuna nchi yetu. Hali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…