Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Prof. Ibrahim Lipumba leo ameuelezea uchaguzi wa 2020 akiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na TCD. Lipumba ametolea mfano Pemba ambako CCM walikuwa hawapati viti lakini 2020 wakabeba viti 12 ilhali Tanzania bara kati ya viti 214 upinzani uliambulia viti viwili pekee mpaka Unyanyembe wakaja na...
Malalamiko Mara tozo Mara sijui umeme kukatika mafuta kupanda tusisumbuane.
Watanzania ndio tatizo zaidi siku za uchaguzi zikifika mnajifanya hamnazo hampigi kura na wengine mkipiga mnapigia ccm upuuzi.
Acheni kulia lia sasa haya matozo na ujinga ujinga wote unao endelea ni zao la ilani ya ccm...
WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
Mnyonge mtamnyonga lakini haki yake hupewa.
Rais Magufuli kama angeaamua kucheka na nyani, kama angeaamua kutolipa Uhuru Jeshi la Polisi kwenye kudeal na waalifu, basi Tanzania ingeogopwa Duniani.
Nani asiyekumbuka Yale ya Kibiti? Nani asiyekumbuka Ujambazi ulokithiri wakati wa Uongozi wa JK...
Ndugu zangu huo ndio ukweli na uhalisia wenyewe maana Kuna watu wanasema kuwa uchaguzi wa Tanzania kwa upande wa Urais unatabirika mshindi wake kutokana na katiba iliyopo.
Mimi nasema hawapo sahihi na Kama wapo sahihi Basi hawaelezi sababu ya kutabirika mshindi wa kiti Cha Urais, Ndugu zangu...
Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati
Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo .
Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi...
Naandika hii taarifa kwa niaba ya wafanyakazi wa Uhuru Publications Limited ambao wapo na wale ambao walishaondoka hata waliokufa pia, pamoja na wastaafu.
Kampuni hiyo yenye gazeti la Uhuru na Mzalendo inadaiwa mamilioni ya fedha za malipo ya mafao pamoja na michango ya wafanyakazi tena ni ile...
Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya .
Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo...
Chama cha Rais mteule Nchini Kenya Dkt. William Ruto cha United Democratic Alliance, - #UDA kimeahidi kufuata Mfumo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kuliongoza Taifa la #Kenya, Mwenyekiti wa Chama hicho JOHNSON MUTHAMA amethibitisha.
========
UDA Chairman Johnson Muthama has declared that...
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala).
CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo.
Katika Bunge la Eala...
Dodoma. Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala).
CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo.
Katika Bunge la...
Habari wana JF
Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi?
Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimewapitisha wanachama nane kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA) utakaofanyika Septemba 22, mwaka huu.
Akitangaza majina ya makada wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Wabunge wa CCM leo, Msimamizi wa Uchaguzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...
Kama kutakua na mabadiliko yoyote ambayo ni "positive" kwa upande wa TOZO basi "credit" itaenda kwa CHADEMA kwakua wao ndiyo wamekua mstari wa mbele kupinga hili jini Tozo. Haijawahi kutokea mwana CCM akapinga Tozo hadharani zaidi ya kusapoti.
Tunaweka tu records sawa, Mwenyekiti wa CCM Taifa...
Nawashukuru sana
Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi!
Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
Dhana ya uongozi katika nchi nyingi za Afrika,imekuwa ikitafsiriwa na kumaanishwa tofauti na dhana halisi. Uongozi umekuwa ukichukuliwa kama daraja la kujitwalia ukwasi(utajiri),utukufu(umungu Mtu) kwa miaka mingi tangia kipindi cha mkoloni hata baada ya uhuru.
Dhana hii potofu ya uongozi...
Wanabodi,
Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.