Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,437
Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.

Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe tofauti na hapo atakutana na mkono wa vyombo vya dola.

"Hata CCM hawajawahi kufanya mkutano wa hadhara kwa miaka kadhaa sasa, sio Kinana, sio Shaka wala mimi. Kinachofanyika ni ukaguzi wa ilani ya chama, ambapo hata CHADEMA au ACT wanaweza kufanya sehemu yoyote Ile walipo na serlikali, lakini kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kupata," aliongezea Nassari.
 
drakelaugh (1).png

Juzi juzi tu huyu alikuwa akiimba Pipoz pawa!
 
Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya Mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.
Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe tofauti na hapo atakutana na mkono wa vyombo vya dola.
" Hata CCM hawajawahi kufanya mkutano wa hadhara kwa miaka kadhaa sasa, sio Kinana, sio Shaka wala mimi, kinachofanyika ni ukaguzi wa ilani ya chama, ambapo hata Chadema au ACT wanaweza kufanya sehemu yoyote Ile walipo na serlikali, lkn kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kupata" aliongezea Nassari.
Huyu anaongea nini ndani ya wilaya yake ikipigwa mikutano KILA mtaa KWa siku MOJA atafanya nini, mikutano ianze
 
Kiti ananiambia mkeka ujao huyu hayumo.Kaka yangu Mbowe anakonda kwa mengi sana,imagine Hawa ndiyo vijana aliwaangaikia kukijenga chama ambacho kilikuja kuwabeba lakini leo wamemgeuka na kujiunga na shetwani waliyekuwa wakimkemea wote.
Naendelea kumshauri Kaka yangu Freeman kuwa amefanya kazi kubwa kupigania Demokrasia nchini,sasa apumzike na familia yake na kufanya Biashara zake.
Apumzike kuwatetea wanafiki!
 
Wazaramo kitu kingine kwanza Mungu wetu sio Pesa kingine tunajua maana Utu huyo anawakilisha mawazo yenu watu Bara kuwa pesa ndio kila kitu...
Wazaramo mna maisha poa sana yaani hamna makuu🤣🤣
Sijawahi kuona wala kusikia mzaramo ana presha😅
 
Back
Top Bottom