ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Bwana Abui, unachochea udini ndani CCM

    Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Serikali ya CCM hatari sana, ahoji wingi wa tozo kwenye simu na mafuta

    Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda amesema kwenye simu zimejaa tozo na kwenye mafuta ni tozo tupu zinazofikia nane kwenye kila lita ya mafuta. Rungwe amehoji sababu ya kuwa na tozo zote hizo akiwa kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Stra TV...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Siku vyombo ya ulinzi vikikaa pembeni, CCM mtajamba cheche

    Jeuri ya CCM ni kutumia mabavu. Vyombo vya ulinzi na usalama vinatumiwa vibaya Sana. CCM ni wepesi kama makopo ya plastic. Dola ndiyo inawabeba, siyo sera.
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mpina akirejea bungeni kwa tiketi ya CCM 2025, niiteni nimekaa pale

    Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025. Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo. Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  6. Keynez

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

    CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kwa Nchi zinazojielewa Tozo zinaweza kuiondoa CCM madarakani 2025

    Hizi Tozo zimeongeza ugumu wa maisha. Imekua kero juu ya maisha magumu ya utafutaji. Ingekuwa inchi zinazojielewa kama zambia, malawi, kenya nk CCM ingechomolewa madarakani comes 2025 election. Ikumbukwe kwamba hata inchi zilizo mbele Kwenye siasa/mfumo wa vyama vingi. Vyama tawala huondolewa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na maisha haya magumu, tozo kila pahala, mwananchi, Bado hujachoka tu kuwa na kadi ya CCM?

    Mtu aliyelogwa, sio tu mpaka awe muokota makopo, maana Kwa siku za Leo, wengi tu ambao wanaokota makopo na kwenda kutengeneza pesa! Ukisikia mtu kalogwa, si lazima aehuke ndio iwe kielelezo chake, no!! Kuna majamaa yanaelimu zao na familia zao huko, yamelogwa na jitu linaitwa CCM! Hayana...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni ubinafsi na si tozo wala CCM

    By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake. Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania. Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai. Chanzo cha tozo ni matokeo ya kuwindana na sasahiv tumepigwa KO
  10. R

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji Ilani ya CCM umegeuka chanzo cha Umaskini, njaa na mateso Tanzania

    Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa. Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha halisi ya namna Nchi itakavyopiga hatua kimaendeleo na ktk nyanja zingine za maisha. Huwezi kupanda...
  11. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka uchaguzi wa Kenya ambalo watawala wa Tanzania na CCM hawataki kulisikia.

    Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM, kula nyama choma sio kutatua kero za wananchi!

    Wananchi wanalia kwa ugumu wa maisham Huku mkiweka mitozo ya kila namna. Sasa kula nyama choma ndio suluhu! 👇
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CCM yawaonya viongozi wanaodhalilisha Wanawake

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge mkoani Tabora. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, wilayani Sikonge mkoani...
  15. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania Kama hauhitajiki na CCM ufutwe tu

    Wadau habari ya jioni. Mimi napata taabu sana jinsi wanavyosumbuliwa na serikali. Hakuna tume huru polisi wanasaidia kuhakikisha ccm inashinda. Haya Mambo Ni kupotezea muda na kuzeeshana bila sababu. Yaani Kwa sisi thinkers huu ni uhuni na uhalifu mkubwa. Haya Mambo siyo ya kufurahia kabisa...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni lini CCM itafanya uchaguzi wa Mwenyekiti wao Taifa?

    Kwa mujibu wa Katiba yao ni mtu ndiye anayeombwa na Halmashauri kuu kuwa Mwenyekiti wa chama chao Taifa na siyo wanachama wanaomba kugombea nafasi hiyo. Kwa nini Wenyeviti woote kuanzia ngazi ya shina mpaka Mkoa waombe kugombea na kushindanishwa na wengine lakini inapofika ngazi ya taifa hakuna...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CCM yamulika wanaojipanga kwa Urais mwaka 2025

    Wakati baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakitaka makada wenzao waendeleze utamaduni wa chama hicho wa kutochukua fomu za kuomba uteuzi wa urais ndani ya chama hicho mwaka 2025, baadhi wanataka utamaduni huo usitishwe ili kuwa na ushindani zaidi. Licha ya hoja hiyo kutozungumzwa...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Funzo uchaguzi wa Kenya: Wananchi wamechagua uchumi badala ya mabadiliko ya vifungu vya katiba, CCM wako njia sahihi ya kujenga uchumi

    HANDSHAKE kati ya Raila Amolo Odinga na Uhuru Kenyata ililenga kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba ili kuweka vyeo, pamoja na mambo mengine mengi. William Rutto aliwaambia wakenya kwamba shida yao sio katiba nyingine, shida yake ni kukomboa mama mboga na mtu wa bodaboda, kwamba shida ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yashangazwa na urasimu wa mifumo kutumika kama utetezi wa miradi ya maendeleo kutotekelezwa kwa wakati

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda mrefu jambo ambalo linakwamisha baadhi ya miradi utekelezaji wake kuenda kwa kasi na haraka kama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

    Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza...
Back
Top Bottom