Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Pamoja na kwamba uuzaji wenyewe wa Nyumba haukuwa na mantiki, lakini ni kwa nini na wanasiasa wa CCM nao waliuziwa nyumba za serikali? Kwani wao ni wafanyakazi wa serikali?
Kama lengo lilikuwa ni kuwasaidia wafanyakazi wa serikali wanapostaafu wawe na makazi ya kudumu, Mbona Askari Polisi...
Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwatangazia watanganyika kwamba nchi yao ilikuwa na maadui watatu ambao ni Umaskini, maradhi na ujinga. Ili kuyaondoa hayo mambo matatu, pia Mwalimu akasema kuwa tunahitaji watu, Ardhi, siasa safi na Uongozi bora.
Tangu...
Dubwasha kubwa kama CCM kulitukana unatafuta ugomvi mkubwa sana.
Unapokosoa viongozi wao lazima ujue mipaka yako.
Wengine tunapo wapa vipande vyao viongozi wao tunaelewa ni kwa wale ambao wanaweza kulala na kidali, ila usivuke mipaka.
Acheni kuangaika na mikwala ya sakapoko, wakosoaji wa CCM...
Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili kujadili wagombea wa ccm waliochukua fomu kugombea nafasi mbali mbali ndani ya chama.
Swali la...
Chunga sana maneno ya wana CCM. Akisema haji jua anakuvizia aje kwa kustukiza. Maneno na matendo yao hupingana siku zote.
Waliposema Elimu Bila malipo ni jambo lisilowezekana, waliposhinda uchaguzi wakasema wanatoa Elimu bila ya malipo.
Wakisema kuwa wanataka nchi iwe na amani, wao humaanisha...
CCM imefika mahali wao kila kitu ni siasa. Nimeona watu wanapiga sana kelele sana kwenye mitandao kua uvccm ndo watafanya hili swala. Nimejiridhisha kwa [emoji817] % kuwa ndo wanapewa nafasi ya kufanya hili zoezi.
Na hii ni baada ya Mimi mwenyewe ambaye Sina chama chochote nikamfata Mtendaji...
KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA YAKE KATA YA NYARUYOBA, AHAMASISHA SENSA NA KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.
Kazi Inaendelea Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma ambapo Mbunge Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumatano Julai 20, 2022 alifika Kata ya Nyaruyoba kuzungumza na Wananchi katika...
Sisi tulio nje ya CCM hatufurahii kabisa kuona mtu yeyote akiteswa au kuonewa kwa sababu yeyote Ile japokuwa wapo Wana CCM wengi hufurahia kuona mateso ya watu wengine hususani kwa sababu za za kisiasa.Sisi tumejiapiza kuwa tutasema kweli daima na fitina kwetu mwiko.
Naposema ni wakati wa...
Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi ya CCM yenyewe.
CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na...
Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa
Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk
Shule mbalimbali ikiwemo...
Wanachezewa masharubu, hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa CCM, kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju, huo ndio ukweli, halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Kuna baadhi ya wana-CCM wana tabia kama za Madereva na Makondakta wa Daladala wanaovaa sare kwa kuogopa askari na si kwa kuipenda kazi yao.
Kanuni zinasema ni lazima kuvaa sare wakati u napotekeleza majukumu muhimu ya chama.
Msiwe kama Chadema waliotupa yale magwanda yao ya kikamanda.
Leo Katibu Mkuu wa Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Kenani Kihongosi alikuwa Mkoani Geita kwenye muendelezo wa kampeni ya Sensa na Vijana.
Kampeni hiyo ilifunguliwa Mjini Dar es salaam kwa kauli ya kufanyika nchi nzima na sasa imetia nanga kwenye mikoa ya Kanda ya ziwa.
Maudhui na...
Nimefuatilia mjadala mkubwa wa Waziri wa Nishati kutumia lugha za kashfa kwa Mamlaka iliyokuwa inahoji kuhusu kuchelewa kwa Bwawa la Julius Nyerere pamoja na tatizo la kukatika kwa umeme.
Sote tunatambua hoja hizo ziliibuliwa bungeni na Kamati za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya...
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao.
Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki.
Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati.
Imefika hatua sasa hivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.