ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Huwezi kuja na ndoto zako na ukawa kiongozi CCM

    "....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi." "....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania 2025; CCM TUANGALIZIENI MBADALA

    Moja kwa moja kwenye mada maana nimevurugwa. Kulingana na mkwamo wa uongozi uliopo madarakani na msimamo wake wa kuziba masikio ili kutosikiliza maoni ya Raia wake (mimi pia nikiwemo), ninaomba Chama chetu pendwa cha Mapinduzi (CCM) kijitafakari na kutuangalizia mbadala atakayebeba mikoba ya...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama. Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye akili tulipoona tu ndani ya Mbeya City FC kuna u-CCM na u-CHADEMA, tulijua itashuka tu Daraja

    Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio...
  6. I

    JamiiForums Tanzania CCM ijifunze kutoka Urusi

    Hali inavyo onekana mpaka muda huu Putin yuko katika hali tete kuliko muda wote alio kaa madarakani. History haichi kufuata mkondo wake, Russia imekuwa katika mapindunzi huko nyuma, kizazi kinajua hilo, kuwasaulisha wananchi kwa kuwanyima haki zao za msingi wa kuwa huru ni kufukia kichwa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma watakiwa kujinunulia sare wenyewe kuhudhuria Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dodoma

    Habari ndugu zangu, Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma. Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi itasaidia kuiondoa CCM madaraka 2025 ? Na chama kipi kiandaliwe kuchukua dola ?

    Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti . NCCR Mageuzi ni better option...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania CCM itamke wazi kuwa kumsifia Rais ni sera yao mpya

    Wapo watu ambao hufurahi wanaposifiwa kwa kila jema na zuri watendalo. Hili ni jambo zuri tu. Pia, wapo ambao huwa hawapendi sifa hata kama wakifanya mambo makubwa na mazuri. Hawa ni wachache. Kwa wenye busara, unaposifiwa sana lazima ujiulize. Ya kweli haya? Maana, ngoma ikivuma sana hupasuka...
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo asimikwa kuwa Chifu wa Wagogo

    Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma. Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo. Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe. ==== Katibu Mkuu wa CCM Daniel...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Meneja wa Maji Dodoma watenguliwa

    Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey Kabula Mbabaye, Aweso amechukua hatua hiyo kwa Mamlaka aliyonayo kupitia Sheria Na. 5 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019, kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
  12. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wana-CCM kuuchukia upinzani mnafanya makosa, mtakosa kujifunza na kujirekebisha

    Kumchukia mtu anayekukosoa ili ujirekebishe huo ni ujinga tu. Kitendo kinachofanywa na wana CCM kuwabeza wapinzani pale wanapokosolewa ni kuendekeza ujinga tu. Leo hii bungeni kumejaa misemo ya ubaguzi eti oooo Mbowe ametamka maneno ya kibaguzi. Wacheni hizo ngonjera mbakie kwenye jambo la...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu uwezo wa CCM kuongoza nchi

    Wakuu kuna sehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "Kama CCM imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza watanzania ambao tuko mil 60 hadi tupate maendeleo tunayostahili?"
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi waarabu (DP) wanavyosifiwa na viongozi wetu, ni vyema sasa waarabu wakainunua na CCM pia

    Viongozi wetu wametuambia muarabu wa Dubai aliyeuziwa bandari zetu zote za Tanganyika atahakikisha anaongeza mapato ya kutosha, ajira za kudumu maradufu na mapato shazi hivyo tumuunge mkono. Sasa kwa kuwa CCM imekuwa chama cha kudumu hapa Tanzania na kwa zaidi ya miaka 60 ya umiliki na...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Boniventura Destery Kiswaga (CCM) Aishauri Serikali Kuongeza Kodi Mafuta Yanayozalishwa Nje

    MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA AISHAURI SERIKALI KUONGEZA KODI KWENYE MAFUTA YANAYOZALISHWA NJE Mbunge wa Jimbo la Magu (CCM), Mhe. Boniventura Destery Kiswaga ameishauri Serikali kuongeza kodi katika mafuta ya kula yanayoagizwa kutoka nje ya nchi na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye...
  16. Mag3

    JamiiForums Tanzania Bila aibu wala woga, CCM yaitangazia dunia kuwa hakuna Mtanzania mwenye uadilifu!

    Baada ya CCM kuitangazia dunia... Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu! Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo, Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
  17. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Niliingia CCM sababu ya Magufuli. Nachana kadi muda sio mrefu

    Boss ashampooo mtoto wa mjini basi nikiwa mwaka mwisho pale BOT kwa pembeni chuo cha IFM ndio kipindi Magufuli nae alikuwa anaingia madarakani toka akiwa waziri nilitamani aje kuwa raisi na ndoto yangu ikatimia akawa raisi 2015 Alivyoanza kwa kasi yake tu mimi na rafiki yangu tulijiunga CCM...
  18. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa nchi yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  19. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  20. Per Diem

    JamiiForums Tanzania Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

    Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo. Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha Leo nimeona ameongea kwa hisia sana. --- "Watu wengine wanasema mkataba ni wa miaka 100, kwa mujibu wa mkataba huu unaweza kuwa miaka 200, huu mkataba hauna mpaka. Waliosema...
Back
Top Bottom