Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo asimikwa kuwa Chifu wa Wagogo

Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
346
1,301
f70d44186c4e436fbd43e891eee560ce_355394067_165933849799512_4013679711415957268_n.jpg

Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma.

Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo.

Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe.

====

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo, amesimikwa rasmi na wazee wa kabila la Wagogo Wanyambwa kuwa Chifu wa kabila hilo na kupewa jina la Muhaha Nolo.

Wazee hao walimsika alipofika Kijiji cha Chali Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wakati wa mwendelezo wa ziara yake mkoani humo
 
Wagogo wanavyojua kuendekeza njaa unaweza kuta msimikaji hapo kwa tukio lote hilo alipewa buku 2 tu
 
View attachment 2665456Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma.

Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo.

Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe.
Huu!!
Huyu jamaa si anatokea Iringa!?
Wagogo wanyambwa!! Wagogo nao wanakula mbwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom