ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

    Match Day 📅 October 8, 2023. ⚽ NBC Premier League Singida Fountain Gate vs Simba Sc 🏟️ CCM Liti, Singida. ⏰ 4:00Pm. Haya, kumekucha vyema. Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara kupigwa, Tukishuhudia Yanga kutoa kipigo kwa Geita Gold cha 3-0 Huku Ihefu akizamishwa na KMC kwa 1 -...
  2. JamiiForums Tanzania CCM imtumie Chalamila kufanikiwa kwa Samia

    Na Kevin Lameck Tanzania itaingia katika chaguzi mbili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Ni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kwa mara ya kwanza tutamshuhudia Samia Suluhu Hassan akipambana kwenye majukwaa ya kampeni ili...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CCM tunaomba utembelee Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, vijiji vyote Tangu uhuru havijawahi kupata maji safi na salama

    Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya. Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate uhuru hadi leo. Kata ya Matundasi ina vitongoji vifuatavyo:- Itumbi Kisimani Makatang'ombe Matondo...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate Katika Mkutano wa Utekelezaji Ilani ya CCM Mtaa wa Maganga, Temeke.

    MBUNGE JANEJELLY NTATE KATIKA MKUTANO WA USOMAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MTAA WA MAGANGA, TEMEKE Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 07 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mkutano wa kusoma...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

    Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo. Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea. Sisi jukumu letu nikuwakumbusha kuandika hata KINAFIKI kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba mzee kazaliwa. Naona...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani Tanzania vinashindana, vikipata mshindi ndio mapambano dhidi ya CCM yataanza

    Asalam, Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah. Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ya sasa ikiwa CCM itaendelea kubaki madarakani basi sitamsomesha mwanangu hapa

    Ukweli ni mtupu tuna wapotezea mda watoto wetu kwenye hii nchi isiyotaka waelewa na wenye kuona mbali. Angalia tu kuanzia serikali ya ccm,wajinga wanapewa nafasi kubwa kuliko welevu. Japo elimu tunayo ila Ijawahi kusaidia taifa hata kubuni njiti ya kiberiti. Tunawo wataalamu wakila nyanja ila...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mwaka 2025 Waziri Mkuu apeperusha bendera ya CCM kuwania kiti cha urais

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

    Jiepushe kupambana na CHADEMA na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na CHADEMA na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Wilbroad Slaa anajipenyeza CHADEMA kiaina kuimaliza kazi aliyopewa na CCM?

    Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 Dr Wilbroad Slaa wakati huo akiwa GS wa CHADEMA na akiwa mchezaji tegemeo ktk safu ya ushambuliaji aliwatosa wenzake dakika chache kabla ya mchezo kuanza... Kila mtu (nikiwemo mimi) alipigwa na butwaa na mioyo ya matumaini ya ushindi dhidi ya CCM...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni msafi kisiasa; Hana kashfa ya rushwa; anaaminika zaidi na wananchi/dola. Je, tupo tayari kuona mafisadi wanamstafisha?

    1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi. 2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali. 3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  14. JamiiForums Tanzania CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

    Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU. Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao. This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda. MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

    Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla. Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ilishinikiza kuondolewa kadi za malipo kwenye miradi ya mwendokasi DSM? Wananufaikaje na wizi wa tiketi za kuchana kwa mkono?

    Viongozi wa Dart wanadai kuondolewa kwa mfumo wa kadi za malipo vituo vya mwendokasi yalikuwa maazimio ya chama na serikali na kwamba mifumo hiyo iliondolewa kwa lengo la kuwanufaisha watu fulani. Baada ya mifumo hiyo kuondolewa iliamuliwa makampuni ya ulinzi wakiwemo vijana wa jkt waanze...
  18. R

    JamiiForums Tanzania ACT na CCM kupambana na CHADEMA kidola si ishara ya wawili hawa kukosa sera?

    CHADEMA wametoka kanda ya ziwa kukinukisha hadi CCM wakalazimika kuteua naibu waziri Mkuu. CHADEMA wamekwenda Zanzibar kwenye baraza la wazee mara paap ACT wamecharuka kwa hasira utadhani wao wamepewa kibali cha kumiliki Zanzibar CHADEMA wametangaza OPERESHENI kusini mara paap mawaziri...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

    Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wapinzani tutumie mbinu gani kuwang'amua wapinzani feki na vibaraka wa CCM ambao wametukwamisha kupata ukombozi

    Tunakwamishwa na vibaraka wachumia matumbo yao kupitia siasa. Inatakiwa kuwatambua mapema na kuwakataa kwa manufaa ya ukombozi wa Mtanzania. Wametufanya sisi kama Mazumbukuku bana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…