ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania CCM Kata ya Jangwani yasoma Khitma Kuwarehemu Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA JANGWANI IMESOMA KHITMA KUWAREHEMU WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA CCM Kata ya Jangwani leo wamesoma khitma kuwarehemu wapigania uhuru wa Tanganyika waliotangulia mbele ya haki. Wana CCM wa KATA ya Jangwani kwa kuzingatia kuwa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mbunge wa CCM Nachingwea azomewa na Wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”. Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na...
  3. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CCM kutaka kuhodhi mchakato wa Katiba kama walivyofanya mwaka 1977 na 2014 kitasababisha tushindwe kupata Katiba Bora.

    UPATIKANAJI WA KATIBA YASASA (1977) Historia inatunesha Katiba hii ya tuliyonayo ya mwaka 1977 ilipatikana kutokana na tume ya Rais iliyokuwa nawajumbe 20, kwa idadi sawa toka pande zote za muungano ikiongozwa na Sheikh Thabit Kombo akisaidiwa na Pius Msekwa kama katibu wa tume hii ya Rais. Hata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM: Mruhusu ushindani kwa Wagombea Urais ndani ya CCM

    Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama. Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali. Nawasilisha.
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Siku TEC ikitoa waraka kupinga uchaguzi uliochezewa matokeo CCM itaondoka madarakani

    Salam Wana JF, Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo. Hii taasisi imesababisha...
  7. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

    Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu. Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini. Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961. Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

    Hali hii ni tete: Kwa mwendo huu endeleeni kukaza ubongo.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania adui yetu mkubwa ni CCM na mfumo wake

    Napenda watanzania waelewe vizuri kuwa CCM ndio adui yetu mkubwa. CCM ipo madarakani kwa miaka 60 sasa na bado tunahangaika na maji vijijini, madawati, chakula na magonjwa yanayotibika bado yanaua watu nchi hii. Blaa blaa za CCM zimeifikisha nchi hii katika umaskini mkubwa hata baada ya kuwa na...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM ndiyo inayopingwa na siyo Serikali.

    Kinachopingwa ni CCM kwa uwezo wake dhaifu wa kuendesha Serikali ya nchi yetu na hakuna mtu anayeipinga Serikali. Serikali ni yetu sisi sote bali CCM ni chama chao wao wenye kupenda kuitumia Serikali yetu Kwa maslahi yao binafsi.
  11. voicer

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

    Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025! CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia! Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyokuwa yakiogopwa na watangulizi wake CCM kuwafia mikononi yanaenda kutimia kwake?

    Yaliyokuwa yakiogopwa na watangulizi wake ya CCM KUWAFIA MIKONONI yanaenda kutimia kwake? Tumeona ongezeko la urudishaji wa kadi maeneo mbalimbali Mtwara, Tanga na kule kwa Maasai Ngorongoro. Awamu hii itakuwa ni anguko kwa CCM? Ataendelea kuongoza?
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM mlizoea kufanya siasa za Michongo na CHADEMA ili wawalegezee na kuendekeza usanii. Wamekaza kiduchu tu mmesikia machungu

    Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi. Haheshimiwi vipi? Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu? Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost. Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
  14. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania CCM kwa kauli hizi za Katambi, haileti maendeleo; ni dharau kwa watanganyika

    Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba. CCM...
  15. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni tishio kwa CCM, hawatakubali ipatikane kwa hiari labda walazimishwe

    Huo ndio ukweli. survival ya Ccm inategemea katiba mbovu waliojifungia wenyewe wakaiandika. Leo wamekiri wenyewe kupitia mwenyekiti wao kuwa watu hatuijui katika ya sasa (japo twaijua). CCM hawana uhakika katiba mpya itawasaidia vipi kuendelea kubaki madarakani, wana hofu, wamejawa na baridi ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makambi ya Vijana wa CCM Wilaya ya Rorya Kata ya Kirogo

    YALIYOJIRI KIKAO CHA MBUNGE CHEGE NA VIJANA WA MAKAMBI WA CCM WILAYA YA RORYA KATA YA KIROGO - Mbunge katoa Ng’ombe kwa ajili ya shughuli ya vijana. - Mbunge kachangia laki 5 kwa ajili ya kuunda ushirika mpya kwa vijana hawa na mchango wa nauli. - Mbunge kawahamasisha vijana kuunda KIKUNDI...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa CCM sasa ni wakati wa kuwashitaki watu wanachafua haiba ya chama chenu

    Imekuwa kawaida sasa wanasiasa wa upinzani hasa CHADEMA wakikamatwa na polisi kwa makosa wanaihusisha CCM na kukamatwa kwao. Naona ipo haja ya kuwapeleka hawa watu mahakamani ili wathibitishe maneno na madai yao ili waone kuwa nchi hii inaendeshwa kwa sheria
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wimbi la urejeshaji kadi Za CCM lapamba moto!!

    Kuanzia kesho kazi inaendelea.
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

    Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo. CCM bwana!!!
  20. P

    JamiiForums Tanzania Unasubiri nini kuwa mwana CCM?

    CCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana. Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi...
Back
Top Bottom