ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Mapigo 10 ya CCM kwa Edward Lowassa

    Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA. Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA. Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno...
  2. JamiiForums Tanzania MNEC Halima Mamuya: Nendeni Mkahakikishe CCM Inashinda

    MNEC HALIMA MAMUYA: NENDENI MKAHAKIKISHE CCM INASHINDA Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mlezi wa Mkoa wa #Njombe Halima Mohammed Mamuya amewataka wanachama wa chama hicho kuwa na kuendeleza umoja na ushirikiano ili kuendelea kushinda katika uchaguzi...
  3. JamiiForums Tanzania Tumuomboleze Lowassa bila unafiki. Shule za kata ulikuwa uamuzi wa CCM

    Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010 USHAHIDI HUU HAPA Elimu ya Sekondari 61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?

    Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje. Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza.
  5. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ipewe hadhi sawa na CCM mazishi ya Lowassa

    Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA. Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya...
  6. JamiiForums Tanzania Monduli imetoa mawaziri wakuu wawili wenye kudhubutu na kufanya, CCM inajifunza nini.

    Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila. Wamasai ni moto wa kuotea mbali. 1. Sokoine - Monduli 2. Lowassa - Monduli Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro. Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
  7. JamiiForums Tanzania CCM class of 2015 (Wagombea Urais) tumepoteza top 3 yote

    Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe. Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
  8. JamiiForums Tanzania CCM imevuliwa nguo na Makonda leo imechutama

    Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo. Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia ungekuwa unasema ungesema. Lakini kwakuwa hauna historia ya kusema hauwezi sema. Leo Makonda kijana...
  9. JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya: Mfupa Mgumu kwa Makonda na CCM

    Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi. Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa. Ukiachana na kuwa watu wengi wana angalia vi clip ambapo vinaonesha jinsi anavyo tatua migogoro kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Makonda amesema kweli; wengi wa viongozi wa Serikali hii ya CCM wanafanya usanii kumpa sifa Rais Samia, lakini kivitendo wanamhujumu

    Pengine mtu mbaye anabeba vichwa vya habari kwa sasa kuliko mtu mwingine yoyote hapa nchini kwa sasa ni Paul Makonda aka Bashite. Watu wanajiuliza maswali mengi, iweje mtu huyu huyu, kwenye utawala wa awamu ya 5, chini ya Mwendazake, alionekana kuwa ni mhalifu mkubwa, leo hii kwenye utawala wa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Chipukizi CCM kutajwa kwa mara ya kwanza Jumanne 13, 2024

    Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Watoto Kumbusho Dawson amewasilisha Ombi la Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar, kesi hiyo ya namba 2212 ya mwaka 2024 itatajwa kwa mara ya kwanza tarehe 13.02.2024 majira ya saa tatu asubuhi mbele ya Jaji Angelo Rumisha. Mwanaharakati huyo na...
  12. JamiiForums Tanzania Niliwaambia tumieni tu CCM Mkwakwani au Sheikh Amri Abedi Kaluta na msithubutu kwenda CCM Kirumba mkanipuuza acheni sasa yawakuteni

    Ni Mpumbavu tu pekee Tanzania nzima ndiyo mpaka leo hajui kuwa Mkoa wa Mwanza 80% ni Ngome Kuu na Tukuka ya Wananchi na hatujawahi kuwa na rekodi nzuri na ya uhakika tukicheza CCM Kirumba tokea Kipindi cha Pamba FC, Lumumba Rovers FC, Toto Africans na Mbao FC zaidi tu ule wa Kubahatisha /...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Vita inayoendelea baina ya CCM na Serikali imekuwa nzito sana! Tuwaamue au tuwaache watoane ngeu?

    Pambano limekuwa moto sasa CCM ikiwa na point nyingi za ushindi wakati Serikali ikiwa na Hali mbaya sana, tuwaamue au tuwaache watoane ngeu? Kazi inayofanya Makonda ilitakiwa ifanywe na wapinzani lakini sasa wapinzani hata hawajui wafanye nini! Maana adui zetu wameamua kupigana wao kwa wao...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ya Sasa Imekosa Watetezi kwenye Social Media Mithiri ya Cypirian Musiba na akina Zack wa Twitter?

    Katika hali ya kushangaza kumetoka aidha mgomo au chama kimekosa Mvuto kabisa. Wengine wanadai aaah wapi sio kukosa mvuto bali chama hakitoi maokoto kama zamani hivyo watu wanaovutwa na mafumba wamekikacha. Enzi za huko nyuma tulishuhudia social media zilizobamba kwenye anga la Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM

    Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM MJUMBE wa Mkutano Mkuu Taifa (MNEC), kutoka Mkoa wa Simiyu, Gungu Silanga amekabidhi vitabu vya kanuni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Makatibu Kata wa mkoa huo ili waendelee kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya chama...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Match Day! Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3. Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31. Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc. Hii ni Mechi ya kisasi. All the Best Mnyama. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Azam Kinachoanza Updates... Timu...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi hii miaka nenda rudi matatizo hayaishi na CCM inaongoza tu?

    Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu. Sasa leo Mhe. Makonda anazunguka nchi nzima na kuibua matatizo tu. Au labda haya matatizo ni kidogo...
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yanayosemwa na "CCM ya Makonda", CCM imefanya mengi kipindi cha Samia. Kwanini Makonda hajikiti kuyaeleza mbele ya watanzania?

    Kuna jambo linatia tafakari kidogo, CCM pamoja na awamu ya sita, kwa kweli wamefanya mengi sana ya kimaendeleo. Ili kuitendea haki CCM na uongozi wa serikali, lazima yasemwe mikutanoni. Hii ya kutembea na kuaminisha watu kwamba hakuna lililofanyika nadhani si sahihi. Unaita mtumishi mmoja, ana...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kwenye mikutano ya CCM huku nyumbani ana mgawo wa umeme?

    Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…