GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,654
- 109,055
Ni Mpumbavu tu pekee Tanzania nzima ndiyo mpaka leo hajui kuwa Mkoa wa Mwanza 80% ni Ngome Kuu na Tukuka ya Wananchi na hatujawahi kuwa na rekodi nzuri na ya uhakika tukicheza CCM Kirumba tokea Kipindi cha Pamba FC, Lumumba Rovers FC, Toto Africans na Mbao FC zaidi tu ule wa Kubahatisha / Kufluku.
Hapo hapo bado Mijitu mibishi na mijuha yaani GENTAMYCINE nafanya juhudi Kubwa ya Kuishauri kutokana na Uzoefu wangu mkubwa wa Michezo Michafu ( ya Kimafia ) ya Mpira wa Bongo ( Soka la Bongo ) kuwa isipeleke Mechi zao za NBC Premier League CCM Kirumba Mkoani Mwanza na badala yake waende sehemu Salama Kwetu ya CCM Mkwakwani Tanga au Sheikh Amri Abedi Kaluta Arusha ambako ndiko Ngome Kuu ya Mnyama bado sijasikilizwa na kueleweka na matokeo yake yananipuuza na kuwakuta ya Kuwakuta.
Haya hakikisheni mnampa Hela yake yote huyo Bibi wa kutoka Kisiwani Ukerewe ambaye amepambana vilivyo ili Goli la mwenye DNA ya Kutuadhibu atakavyo Prince Dube lirudi na tuwe Salama Kimatokeo.
Yanga SC inaenda kuwa Bingwa Ok?