ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  2. JamiiForums Tanzania CCM ndio chama

    Nama la mama raisi wetu kipenzi Raisi Samia Suluhu Hassan Nani Kama mama Wenye kumtungia uongo wajinyonge https://m.youtube.com/watch?v=OllZtjchN2U&pp=ygURSksgYWZ1bmdhIG1hZnVuem8%3D Somo la bure CCM ndie mama, CCM yajenga nchi CCM ndie baba, CCM yajenga nchi
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu uchawa umezidi: Ahmed Kombo adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia

    Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea! Ndio tunaelekea huku na Rais Samia...
  4. JamiiForums Tanzania Usipokuwa Rais huwezi kuwa Mwenyekiti wa CCM!!??

    Historia inaonesha kuwa hakuna Mwenyekiti wa CCM aliyedumu kwenye nafasi hiyo akiwa nje ya Urais. Mwalimu alipotoka madarakani harakaharaka akamuachia Ally Hassan Mwinyi uenyekiti wa CCM akiwa Rais. Mwinyi naye alipotoka kwenye Urais akamwachia Benjamin William Mkapa uenyekiti wa CCM ambaye...
  5. JamiiForums Tanzania Wana CCM hawa wanakichafua chama

    Nimekuwa nafuatilia mikutano ya vyama mbali mbali vya kisiasa. Kuna siku nikakuta wana CCM wanafanya vikao vyao kwa njia ya aibu sana. Ktk hali ya ulevi na mambo ya hovyo kama mnavyotazama kwenye hiyo clip. Hivi wanatoa mafundisho gani kwenye kizazi kinachoyaona hayo mambo ya hovyo?
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA walitumia saa 6 toka Kigoma hadi Kakonko. Kazi ya CCM katika ujenzi wa barabara sasa CHADEMA hutumia masaa 2 tu

    Ni kazi kuamini:- * Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao; * Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati mkoani Kigoma. * Mawasiliano ya simu ktk rural areas siyo hoja tena. Ni CCM chini ya Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania CCM: Bado kuna tofauti kubwa kati ya Tanzania ya Magufuli na Tanzania ya Rais Samia Suluhu

    Bado kuna baadhi ya tofauti kubwa kati ya Tanzania ya Magufuli na Tanzania ya Rais Samia Suluhu. Hapa ni baadhi ya mambo muhimu: 1. Uongozi na Mtazamo: Rais Magufuli alikuwa na mtazamo tofauti kuhusu masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ikilinganishwa na Rais Samia. Magufuli alijikita sana...
  8. JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi ya KANU ya Kenya kunyang'anywa jengo la KICC, Iko siku itawakumba CCM.

    Jaji Jacqueline Mogeni wa mahakama ya Ardhi Kenya, ametupilia mbali hoja ya chama cha siasa cha Kenya Africans National Union (KANU) ya kudai kuwa walinyang'anywa Jengo la Kimataifa la mikutano la Kenyatta (Kenyatta International Conference center-KICC) kinyume Cha Sheria. Pia Jaji Mogeni...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwamba JF ina watu wengi kutoka vyama pinzani au ni watu kwa ujumla kuichoka CCM?

    Wakuu Heshima mbele. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, huwa nafatilia mijadala mingi sana ya siasa. Lakini kuna kitu nimekigundua itakapotokea mtu ameandika kitu kuhusu kuisfia serikali ya CCM basi watakuja watu wengi sana kupinga kwa nguvu Wengine hupinga kwa hoja, wengine hujibu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuwavuruga vijana ni kujiharibia kwa CCM na Serikali yake

    Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM. Nimeamua kwa makusudi kuwakumbusha viongozi wa serikali na chama kuacha kuendelea kuwavuruga vijana wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni CCM! Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu?

    Inawezekana Freeman Mbowe amejiunga na CCM indirectly kutokana na his selfish ambition ya kutaka kuwa Mwenyekiti wa milele chadema. Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu vipi Halima ya John Heche..?
  12. JamiiForums Tanzania Sawa ukifungwa mtandao X na viongozi wenu wa ccm na serikali wata kuwa wanapost wapi?

    Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF. mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine. Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Kikwete uchaguzi 2025 CCM haitaweka mgombea mwingine wa Urais, labda mambo yaharibike, bado haijatimia? Nauliza tu!

    Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni...
  14. JamiiForums Tanzania Vyama vinavyong'ang'ania madaraka kama CCM ndiyo huleta machafuko na mapinduzi Afrika

    Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National Independency Party (UNIP) Cha Zambia ambacho kilitawala Zambia tangu mwaka 1964 hadi mwaka 1991. Mwaka...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Chadema hawajui kula na kipofu sijui shida ni elimu ndogo au?

    Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe. Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira...
  16. JamiiForums Tanzania CCM inakwenda Butiama leo.

    Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere. Lakini sijapata mtu wa kumuuliza. Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I don't know who. Labda nimuulize Lucas Mwashambwa.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

    Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi

    Wakuu, CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga! Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
  19. JamiiForums Tanzania CCM kujiona wako juu ya sheria kunafanya makada wake wafanye jinai bila hofu

    Tukio la Kutenguliwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Alhaji Dr. Yahaya Nawanda baada ya tuhuma za kulawiti binti mwenye umri wa miaka 21 Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kwenye maegesho ya THE CASK BAR ni moja Kati ya matukio mengi yanayofanaywa na viongozi wateule wa Rais Kwa kutegemea kinga ya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia: Niliporuhusu wapinzani wafanye siasa hawana cha kusema zaidi ya kunitukana

    Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa CCM walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…