Somo kwa CCM: Unaweza kulazimisha kupata madaraka lakini sio kupata watu. kuajiri kwa kuhonga ajira, undugu, rushwa na wizi wa kura una mwisho wake.
Tuna serikali na chama cha CCM ambacho hakiendani na hali halisi ya nchi ilivyo. wakati wizi, rushwa, undugu, utekaji unaendelea ndiyo hivyo hivyo...