ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kaburi la CCM linachimbwa na Polisi

    Kwa sasa hakuna chombo cha dola kinachochukiwa na wananchi kama jeshi la polisi, na kadri jeshi linavyochukiwa ndivyo wananchi wanavyozidi kuichukia serikali. Jeshi la polisi linatuhumiwa kuhusika na matukio mbalimbali ya kihalifu ikiwemo utekaji (SATIVA). Uhalifu unafanyika bila jeshi...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania CCM ikishirikiana na vyama vibaraka wameunda umoja wao

    Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA. Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya CHADEMA ya "Win the crowd, and fate will kneel before you" ipo 70% kuelekea kuiangusha CCM

    Mbinu ya CHADEMA YA "Win the crowd, and fate will kneel before you" IPO ASILIMIA 70% KUELEKEA KUIANGUSHA CCM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Katika Falsafs za siasa. Zipo mbinu nyingi Sana za kuishinda serikali iliyopo madarakani. 2. Elewa, Serikali inaweza kutawala nchi, lakini...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa wakati muafaka, CCM ifanye maandamano ya umoja wa kitaifa, kulaani AZAKI zote zilizopanga, na kutekeleza vurugu na maafa ya Oct.29.2025

    Maandamano hayo ya amani ya kitaifa, yazilaani AZAKI na vyama vya siasa ambavyo kwa makusudi kabisa, vilishiriki kuhamasisha na kuchochea fujo na maafa yaliyotokea Oct.29.2025. Lakini pia maandamano hayo ya kitaifa yatoe wito kwa mamlaka za serikali kuzifuta mara moja AZAKI zote ovu nchini, na...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM imeshajitambua haikubaliki kwa wananchi ndio maana imeamua kukumbatia vyombo vya ulinzi na usalama ili ikae madarakani kwa mabavu

    Hakuna uchaguzi halali uliofanyika ile Oktoba 29 mwaka jana. Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia rais wa taifa letu akiapishwa na Wanajeshi kwenye viwanja vya jeshi. Wananchi mpaka sasa wameichukia CCM na hawaitaki kabisa. Inachokifanya ni kukumbatia vyombo vya ulinzi na usalama ili ikae...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kuondoa kabisa mijadala ya Haki za wafanyakazi. MEI MOSI CCM wakaamua tu kuja na Lissu Mahakamani

    CCM inauwezo sana wa kufanya propaganda. Baada ya kumsimika Mbowe CHADEMA sasa wametuletea Heche. Kwa kuongea tu ni kama helo. Kwa kipindi ambacho CHADEMA ilikuwa na nafasi ya kuunganisha wafanyakazi wa sekta ya umma na bimafsi kutetea maslahi na kuunganisha wafanyakazi. Ccm wakampeleka Lissu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji kwa wakazi wa Kivule (Dar)

    Habari. Kùna changamoto ya maji kata ya Kivule mtaa CCM hapa, wiki sasa imeisha maji hayatoki. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa. DAWASA hawashughulikii kabisa. Watu walichangishwa hela buku buku kutengeneza Bomba lakini bado hatuoni jitihada zozote za Maji kurudi na hata viongozi wa mtaa...
  8. Kiranga

    JamiiForums Tanzania The Economist: Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

    From The Economist April 30 2026 Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president? Photograph: Xinhua News Agency/Eyevine Apr 30th 2026 | 3 min read Tanzania has had dramatic ups and downs. In the 1970s the government of this east African country forced farmers into collective...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM tumepewa ridhaa ya Wananchi kuongoza dola

    Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Stephen Wasira amekanusha chama hicho kutumia vyombo vya Dola kujinufaisha kisiasa. Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na UTV.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Somo kwa CCM: Unaweza kulazimisha kupata madaraka lakini sio kupata watu

    Somo kwa CCM: Unaweza kulazimisha kupata madaraka lakini sio kupata watu. kuajiri kwa kuhonga ajira, undugu, rushwa na wizi wa kura una mwisho wake. Tuna serikali na chama cha CCM ambacho hakiendani na hali halisi ya nchi ilivyo. wakati wizi, rushwa, undugu, utekaji unaendelea ndiyo hivyo hivyo...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

    Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN? Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Emanuel Nchimbi Vs Tundu Antipas Lissu. Nitaondoka na Tundu Lissu japokua Emanuel ni mwana CCM mwenzangu atanisamehe

    CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu. Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna Chama Cha Siasa mbadala wa CCM Tanzania mpaka sasa, hakijaanzishwa bado na hakuna dalili za kuanzishwa kwake Tanzania

    Kwanza kabisa, kama wadau wa siasa za Tanzania, sina shaka yoyote kwamba sote tunakubaliana kwamba, Tanzania hakuna vibrant opposition, wala hakuna united opposition kuchallenge the ruling party, na kwa hali ilivyo sasa, hakuna dalili ya kitu kama hicho kuanzishwa au kuwapo Tanzania. Utamaduni...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naisubiri kwa hamu Siku CHADEMA ikiingia Madarakani then CCM wawe wanaikosoa Kwa nguvu zote nione hali itakavyokuwa

    Hamjambo wakuu! 1. Sio mbali wala Siku sip nyingi nchi hii itaongozwa na Upinzani kabla ya 2040. 2. Tuombe uzima. Hapa ninachojaribu kufanya projection hali itakavyokuwa. 3. CCM sasa imegeuka kambi rasmi ya upinzani. Hapa kuna mambo kadhaa yatatokea; a) Viti vya ubunge bungeni kutakuwa na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yafanya uteuzi wa Wagombea 9 kujaza nafasi 3 za Bunge la Afrika Mashariki

    Leo tarehe 29.04.2026 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ilifanya kikao chake cha kawaida jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake, Dr. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa wagombea tisa (9) wa CCM kujaza nafasi tatu (3) katika Bunge...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Siwezi kupingana na uhalisia ikitokea CHADEMA ikawa namba 2 CCM ikiongoza

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026,
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi Jaji Chande Othman hana kadi ya CCM?

    Ni maelezo ya kuwalinda watawala wa CCM wala sio ripoti ya uchuguzi. Jinsi watu walivyokuwa wanamiminiwa mijegejo kama Rambo yupo Vietnam halafu tunapewa maelezo kama haya Jaji Chande uwe na aibu basi.
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa Tabia na akili za Watanzania wengi. Hata CCM ikitoka bado chama kitakachotawala kitakuwa CCM B

    Hamjambo! 1. Kuna tabia ambazo Watanzania wengi wanazo ambazo zinazalisha upatikanaji wa viongozi wa ajabuajabu. 2. Nitakupa mfano WA baadhi ya tabia na fikra hizo; a) Watazania wengi hawaupendi Ukweli. Watanzania wengi hawaupendi Ukweli. Ukiwaambia Ukweli watakuchukia Sana. Msingi mkuu wa...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Samia ameamua kutumia kitabu cha Putin, CCM watapata ajali sana

    Kuna Tetesi, Ameandika Maria Sarungi "Msishangae kesho mkisikia muumbe au hata mwenyekiti wa Tume ya Chande anaumwa yuko mahtuti! Familia za hawa wajumbe wawe makini SANA! Mtakuja kuniambia"
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakosea sana kufanya ushirikiano na Act Wazalendo chama ambacho ni kibaraka wa CCM. Naanza kuwa na mashaka na John Heche

    Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman. Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi kwenye uchaguzi feki wa Oktoba 29, 2025 mwaka 2025. Ambao umeshuhudia watu wakipigwa risasi wakiwa...
Back
Top Bottom