ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

    https://youtu.be/hzc1zFNRBnk?si=pKH9rskM6ijwPFzv
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka

    CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka. Kizazi hili kijacho wanajeshi wake hawataweza kuunga mkono unyanyasaji. Hawa viongozi wa kichawa wa jeshi la Polisi na Jeshi la wananchi iko siku wanawageuka na kufuata hisia za watu. Angalieni wenzenu...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwenye nyakati hizi, uongo hautaiweka huru CCM ya Samia itateseka sana

    Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa. Alafu kuja kudanganya umma eti kuna vijana walililpwa fedha ili waandamane Oktoba 29 hii haiwezi kuisaidia CCM...
  4. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kubwa kuliko CCM

    Hapa ndio nyumbani, hapa ndio nilikozaliwa na kukulia. Hii ndio ardhi pekee najivunia nayo Samia, CCM na machawa wako wote ni takataka mbele ya Tanzania. Polisi wako wauaji, mafisadi wenu wote na huyo Chande, ni takataka mbele ya Tanzania Kamwe msije mkadhani hii ardhi inamilikiwa na CCM...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuamini CCM itaboresha hali ya kisiasa 2029/2030 tofauti na ya 2024/2025 ni kujipa matumaini hewa

    Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha kwamba wao kuendelea kung'ang'ania hayo madaraka itakuwa ni gharama zaidi kuliko faida. Tukirijelea...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM imeshazidiwa na dola bila katiba mpya hata CCM itabaki jina tu

    Utekelezaji huu umeanza wakati wa Magufuli. Watendaji wachache wa usalama wa taifa, Polisi na Jeshi walianza kusikilizwa na viongozi na kuambiwa kwamba huko mbele watakuja kushidwa na vyama pinzani na njia pekee ni kutumia dolla. Bila kujua madhara yake Magufuli alijali zaidi madaraka yake...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM itabaki kuwa mwamba wa siasa za Tanzania, Africa na duniani kote kwa muda mrefu sana ujao

    Na huenda miongoni mwa sababu kubwa zinayoifanya CCM kua imara, bora mwamba wa siasa za africa na duniani kote kila siku, ni uzoefu wake wa kimkakati na mchango wake mkubwa sana wa kisiasa, kijamii na kiuchumi katika ukombozi wa nchi nyingi sana za Africa na bara la Africa kwa ujumla. Siasa za...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania CCM Sasa kimefika mwisho

    Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama. Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala. Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Tunaona wenzetu wanapenda kuombaomba michango. Msiwachangie

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewakosoa vikali wanasiasa wanaotegemea michango ya wananchi kwa kile kilichoelezwa kuwa ni “kuombaomba kisiasa,” kikiwataka Watanzania kuelekeza fedha zao kwenye shughuli za maendeleo badala ya kuchangia miradi isiyo na uwazi. Akizungumza leo Aprili 17, 2026 wakati...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hizi zote ni propaganda za CCM tu na chawa wao. Behind the scene, Samia alisha - surrender kitambo kwa mwamba Tundu Lissu. Fuatilia mjadila👇🏻

    Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala, Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

    Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya? Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa. Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Manara ana ithibati ya uandishi au kwa sababu yuko CCM ni ruksa?

    Maamuzi mengi ya Taasisi za kudhibiti yanakua na double standard, huyu jamaa wote tunajua kua yuko CCM na anatumika kuhoji Viongozi wa kiasiasa na pengine kuzungumzia siasa, Kiuandishi hii imekaaje ? Tueleweshane taratibu msifoke.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hamchoki na CCM tangu uhuru?

    Hamchoki na CCM tangu uhuru, sisi tulifukuza KANU 2002 tulichoka nao
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Kabaney Mojah, Diwani wa ACT Wazalendo kata ya Oldonyo Sambu, atimkia CCM

    Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mojah ametangaza uamuzi huo jijini Arusha alipokuwa...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM inapunguza watu wenye uwezo wa kufikiri

    CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri. CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
  16. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kwenu CCM mtandao

    Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha. Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu. Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania Diwani akamatwa na mirungi zaidi ya kilo 100 Arusha

    MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya Toyota Wish yenye namba ya usajili T 889 DPG. Akizungumza Aprili 14,202 jijini Dar es Salaam...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania CCM wapewe hongera zao bwana, kwenye kutengeneza "misukule" hakuna chama kinawashinda!

    Eti Wakuu? Mtu ndugu zake wameuliwa Oktoba 29, leo anakwambia mama anaupigwa mwingi, ni mwana demokrasia na mdiplomasia wa kweli!😂🤣 Maisha yanamchapa kweli kweli anaishia kutegemea afsaba saba za kuwa bot kwenys mtandao lakini anakwambia mama hana deni! Aaah huu uzwazwa unahitaji kufanyiwa PhD...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA wamjibu Chalamila & Katibu mwenezi wa CCM - Kenani Kihongozi kwa utetezi wao dhaifu wa kupanda kwa bei ya nishati ya petrol

    https://youtu.be/QIqjJSoPFQ4?si=3-ZD6Dz4OrPa60Oq HOJA ZA UTETEZI WA SERIKALI HARAMU YA CCM ILIYOJIWEKA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI KUMTWISHA MZIGO MWANANCHI: ##Wanasema, wananchi acheni kulalamika, bebeni tu mzigo huu wa gharama kwa kuwa ni mwepesi sana na kwa kuwa: 1. Bei zetu CCM na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: CCM sio wabunge wa ndio, kuna vitu tumekubaliana kwenye ilani ya chama ukipinga umechanganyikiwa

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali huchambua na kuchukua msimamo kulingana na maslahi ya wananchi. Ameongeza kuwa tayari kuna baadhi ya...
Back
Top Bottom