ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Jacob Boniface: CCM wako tayari nchi iwekewe vikwazo ili mradi tu Lissu asitoke gerezani

    Akizungumza na wananchi mkoani Mbeya, Jacob amedai chama tawala cha CCM kimeweka mbele chuki na maslahi ya kisiasa na ya mtu binafsi kuliko ustawi wa nchi, akidai kuwa wako tayari kuona nchi inakosa misaada ya maendeleo ili mradi tu sauti ya Lissu izimwe.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imefanya wananchi wazoee mateso kwa kiwango ambacho wanaona ni sehemu ya maisha

    Nimepita leo ofisi za Nida pale Mombasa watu wamekusanyika wengi foleni juani toka asubuhi hadi jioni, hivi katika kizazi hiki cha technology ilivyopiga hatua una haja gani kuwaanika watu juani na kuwanyeshesha mvua, huku ukiwa umewasitisha kufanya kazi kutwa nzima!!? Hali ni hiyo maeneo mengi...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wanaipenda na kuiamini sana CCM, kama ambavyo CCM inawapenda sana wananchi wote na kuwatumikia waTanzania kwa weledi na bila ubaguzi

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hilo kama taifa. Ushindi wa kishindo cha zaidi ya 90% alioupata mgombea ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Isimani, mkoani Iringa, ni uthibitisho tosha wa mapenzi mazito sana ya waTanzania kwa ccm, na imani kubwa sana walioyonayo kwa wagombea...
  4. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Miji Mingi Inacheleweshwa Maendeleo Na "Assets/Mali Za CCM"

    Mko poa wasoma uzi? Niende kwenye mada, baada ya uanzishwaji wa vyama vingi CCM ilichukua mali zilizokua na Umma na kuweka kwenye milki ya chama. Viwanja vya mpira kama Kirumba, Mwanza, Jamuhuri Dodoma, frame za biashara, stand za mabasi, nyumba na viwanja vingi vilivyokua mali ya umma...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu Idu nipo kijiwe fulani Igunga nagonga balimi baridiiiii. Huku nikifuatilia CHADEMA namna wanavyoibagaza CCM

    Haya sio mashambulizi bali ni nia thabiti ya Chadema kuchukua dola. Mungu si Athumani. Maana Mungu hana ubaguzi wala choyo. Watanzania wamepata uelewa mkubwa sana. Hawaitaki CCM kwa namna yoyote ile. Leo hii Chadema wanaibagaza CCM kam vile wanakaanga samaki. Kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa...
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CCM Ni utamaduni, ukilelewa kwenye vyama vya upinzani hutapaweza!

    Kama kunaeneo methali ya "samaki mkunje angali mbichi" inaishi, basi eneo hilo ni eneo la siasa. Juzi tumemsikia Alli Happy, katibu wa jumuia ya wazazi CCM, kufuatia kurudi kwa Msigwa CHADEMA, akisema kwa jinsi alivyomfahamu Msigwa alijua hawezi kukaa CCM. Jambo hili ni dhahiri sio kwa Msigwa...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nikisema wabunge wa CCM hawajielewi, nitakuwa nawatukana?

    Fikiria huyu alikuwa Waziri
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Wananchi kitaani wanataka Rais kama Magufuli CCM wanaogopa kuleta mtu kama Magufuli maana CCM wengi ni wezi wa mali za Umma

    Mimi ukinikuta mtaani ni kada wa chama kweli kweli huwa najitahidi kukusanya maoni ya wananchi wengi vijiweni kwa mabodaboda kwa mama ntilie machinga wafanya biashara maana Wakandarasi wanangu sana walimu kiasi kwamba Mimi wa mtaani akikutana na mimi JF watapigana sana...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Tunaomba Mamlaka zifike katika soko la Buhongwa kufuatilia tatizo la baadhi ya Wauzaji kuiba katika upimaji wa bidhaa

    Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati tatizo hili haraka iwezekanavyo. Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusu bidhaa zinazouzwa kwa vipimo pungufu. Kwa mfano, mtu anaponunua kilo 15, akifika nyumbani na kupima upya anakuta kilo 11 tu; kilo 4 zinakuwa zimepungua. Jambo la...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mpaka leo hawajui kwanini wanaohudhuria mikutano ya CCM huenda na mabegi mgongoni

    Niwasanue au niwaache tu. Dunia ina siri ila hii ya kwao tushaisanukia😁 yaani wanatoka na begi la nguo za kijani wakifika wanabadilisha mkutano ukiisha wanazivua na kuficha kwa mabegi.
  11. T

    JamiiForums Tanzania CCM imetengeneza serikali ya majizi na mifumo ya majizi na sasa kumeletwa machawa kuimarisha mifumo ya wizi!. Soma ushahidi hapa

    Hii nchi imeharibiwa sana na kutengenezwa kuwa pori kubwa sana yaani (the jungle of thieves,). Na walioshika mpini hawana mpango kabisa wa kutatua hii changamoto kwa sababu nyingi tofauti tofauti. Ushahidi wa haya mambo uko wazi na dhahiri sana, ikiwa ni pamoja na hiki kinachoitwa ziara za...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kumkana tamko lake la "Yuda", Simai lazima avuliwe uanachama

    Mambo yanaenda kasi sana. Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa. Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM, na hata Bungeni. Madai yake mazito ati kuna Yuda msaliti ndani ya serikali, si tu yamekosea...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hadi sasa, Dkt Nchimbi viatu vya Urais 2030 vinamtosha

    Yepi maoni yako?
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Mikutano ya CCM na CHADEMA kwa sasa

    Mikutano ya Chadema imejaaa watu wa rika zote, vijana akina mama na wazeee wenye bashasha na wanaotaka madiliko. Mikutano ya CCM imejaza akina mama wazee. WanaChadema wanatoa hoja za msingi wakipinga ufusadi, utekaji na upendeleo wa kisiasa wanaouoata wanaCCM wachache na familia zao. WanaCCM...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaChadema wenzangu mpo? Poleni kwa yaliyowakuta Oktoba 29. Tuendeleze mapambano kibaraka wa CCM Mbowe yupo kando

    Nimekuwa kimya muda mrefu baada ya fitina na majungu ya watu wasiowema kutaka niwe kimya. Mapambano yaendelee. Chama kwa sasa hakina vibaraka. Na mziki wa Chadema CCM wanauona hata pamoja kukaa madarakani kupitia uchafuzi
  16. M

    JamiiForums Tanzania CCM na vita ya Upepo Teknolojia imekuwa kasi kuliko ukandamizaji, Kwenye video hii umemtambua nani?

    Niliwahi kupost kuwa kukamata mtu kwa sababu ya anachopost mtandaoni ni kufukuza upepo, Tazama namna AI imekuwa
  17. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Anguko la CCM ni dhahiri sasa

    Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi. Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wizi CCM kuna vyeo mpaka sasa vimekosa heshima.Na kutajwa kwao mpaka usikie upinzani ukijadili ya October 29

    1.Mstaafu raisi Jakaya. Huyu uzee 2.Spika wa bunge.Hapa kama bunge hakuna ndio maana hakuna nguvu ya kuwa na kumbu kumbu. 3.Mkuu wa majeshi Mkunda.Huyu naona hata jeshi heshima imeshuka siku akistaafu hata kumbuka kama ya Kigwangara au yule wa uganada IGP. 4 .Usalama wa taifa kuanzia idara...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mbunge wa CCM mwenye utovu wa nidhamu wavuliwe uanachama haraka iwezekanavyo

    Hakuna sababu hata moja ya kuvumilia wanachama wa CCM hususani wabunge wasio na adabu kwa mamlaka za nchi, na kuendelea kuachwa tu akidunda kama mwana ccm, hali ya kua amezua taharuki, amefanya uchochezi na kutoa kashfa nzito za uzushi dhidi ya viongozi wetu wa kitaifa. Hili halikubaliki hata...
  20. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania CCM kuna Yuda au ni homa ya urais

    Naombeni majibu Uzi tayri.
Back
Top Bottom