ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Samia, Puuzia yote uwezavyo ila hakikisha unalinda UHAI WA Heche na LISSU kwa Gharama zote dhidi ya Makundi ya CCM

    Ninakuambia hapa na kukushauri, suala sio Urais , Wewe ni Binadamu!!. Huko CCM Kwako ni kwa moto, Kila Mtu anapambana kuzidi kukufanya uonekane ni Mbaya, Katili ,na dikteta usiye na Mfano ( japo nawewe unajipambania kuyafanya hayo). Sasa, Hakikisha Unalinda Uhai wa Heche, Lissu kama Uhai wa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kuwania urais 2030 na kuleta ushindani kwa CCM kati ya hawa?

    Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF. Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo. Upande wa CCM 1. Emanuel Nchimbi 2. Kassim Majaliwa Ndio wananguvu humu JF. Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM. Karibuni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka Matukio ya Oktoba 29, Vijana walivyouliwa , Watanzania KAMWE Msikubali MARIDHIANO, CCM lazima tuindoe, Na Wahusika Wawajibishwe !!

    Tukomae, Tupambane, ni mwendawazimu pekeee ambaye anaweza ku normalize Mauaji ya Oktoba 29, na kukaa na Samia, na kupiga Picha eti 'Tumeyamaliza'. Vijana waliuliwa kwa Risasi za Kivita , Snipers walipasua watu Vichwa vyao, bongo za Vijana zilimwagwa . Watanzania Msikubali kabisa Huo Upuuzi...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Uwepo wa Ilani ya CCM bado nakataa suala la katiba mpya!

    Tafakuri yangu ni moja na ya msingi sana. Kama Taifa hatuna ushahidi usio na mawaa eti matatizo au changamoto tulizonazo zinatokana na katiba kuwa ya zamani.Hakuna ushahidi wa kisayansi ulioweza kunishawishi eti katiba yetu ni mbovu. Nilichoshuhudia na nilichosikia na nilichokifuatilia katika...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Malema: CCM, na vyama vya ukombozi vinakufa kifo cha asili

    Mwenyekiti wa chama cha EFF, Julius Malema, alisema kuwa vyama vingi vya kihistoria vya ukombozi barani Afrika vimekamilisha dhamira yao ya awali ya kupata uhuru wa kisiasa, na vinapaswa kukubali kwamba kila vuguvugu la kisiasa lina ukomo wake wa kiasili. Alivitaja vyama kama vile CCM cha...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Aggrey Mwanri ateuliwa Kuwa Naibu katibu Mkuu wa CCM, RC Chacha kuwa Katibu wa Oganaizesheni CCM

    Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), imemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na mbunge wa zamani wa Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, Aggrey Mwanri kuwa Naibu Katibu Mkuu- Bara akichukua nafasi ya John Mongella. Aidha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), imemteua Mkuu wa...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Alichofafanua Dk Nchimbi ni kuwa katiba ya sasa haifai sababu haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na wanaCCM ishirini ni mali ya CCM.

    Hii ndio tafsiri sahihi ya ujumbe wa Dk Nchimbi. Kwamba watanzania wapambane ili kupata katiba ambayo ni mali ya wananchi. Mwaka 1977 baada ya Asp na Tanu kuungana Mwl Nyerere kwa udikteta wake aliunda kamati ya watu 20 ikiongozwa na Thabiti Kombo. Wakatunga hii katiba ya sasa ya mwaka 1977...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia Aongoza Kamati Kuu ya CCM Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika mapema leo mjini Zanzibar.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Zanzibar, Julai 2, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wizara ya fedha,mambo ya ndani na CCM project msikitini.Hii project mnapeleka taifa kubaya.

    Hapa ikulu wanashindwa kuelewa nani ni mvujishaji wa taarifa. Ukiona raisi kakimbilia kwao znz kuna maagizo sasa wanao muunga mkono kila mambo ya serikali yapitie msikitini. Sio kwa ubaya ni kwamba amefanya haya kuona kashindwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje

    Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje. Maoni yakisha kusanywa wataalamu pekee ndiyo waandike sio makada wala Bunge fake la katiba. Bunge la katiba nalo ambalo sio ya kivyama ipigie kura bila mabadilisho . Tukifanya kama wakati wa Kikwete...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia kundi kubwa la CCM hivi vyote wamekosa Akili na elimu

    Embu fikiria hivi vitu viwili akili na elimu wamekosa. Wameishia kuwa watu wa ajaabau tokea kuumbwa mwanadamu yani hata wale wanaofanya kama CCM mfano china nchi yao imefika mbali. Sasa hawa uwezi kutofautisha makalio na njia ya kinyeo utanuzi wa vipenyo kuanzia mpaka wa ikweta mpaka kuingia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je wale CCM walio zuia katiba mpya wakati wa Kikwete ni wazalendo nao?

    Je wale CCM walio zuia katiba mpya wakati wa kikwete ni wazalendo nao?
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM mkipigana kuzuia upinzani ipo siku IGP atakuwa na nguvu kuliko mwenyekiti wenu!

    Mnaweza kufanya jitihada za kuzuia upinzani kwa kila njia ili tu wasipate wawakilishi ingiwa wanakubaliwa lakini mjiulize je mpo tayari chama chenu kikategemea kupata maagizo kutoka kwa IGP. Maana itafika sehemu mtakuwa mnategemea Polisi kwa kila kitu na IGP atagundua ana nguvu kuliko hata...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

    Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27 Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CCM ni Taasisi kubwa haiishiwi watu

    CCM ni chama imara na siku zote huwa kinapima viongozi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kesho, sio kwa ajili ya kelele za leo. Kila mkutano wa Halmashauri kuu unapokaribia huwa kuna sauti nyingi zinaibuka. Kadiri mikutano mikubwa ya chama inavyokaribia, ndivyo uvumi huzidi na kuongezeka na...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Asha Rose Migiro ndiye Katibu Mkuu Duni zaidi kuwahi kuhudumia CCM

    Hakika ukitaka kudhalilika Chukua cheo cha CCM Huyu Dadaangu huwezi kudhani kama aliwahi kuhudumia Kimataifa, Yaani Unyama wote unaotendwa na Chama chake kanyamaza kimya as if hana ndugu nchi hii Kwa sasa ni ngumu sana kutofautisha Kati ya Mwaipopo, Mchange au Migiro Hii ni aibu sana
  20. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Top layer leaders wanaomiliki kadi za CCM huko vyombo vya ulinzi na usalama ndio watesi wetu

    -Hao wanaomiliki kadi za ccm huko vyombo vya usalama na ulinzi hao ndio wamejifanya kuwa chama cha mapinduzi -hao ndio wanapigana kufa na kupona ccm iendelee ku exist -wengi wao ni wanachama na kadi wanazo -hao ndio wana waandama washindani wa ccm na wakosoaji
Back
Top Bottom