Umasikini Tanzania unaletwa na hawa hawa CCM

Umasikini Tanzania unaletwa na hawa hawa CCM

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,414
Kuna kipindi :
Kwenye Episode ya 3 ya podcast ya Let's Impact Millions, Brother Eric (maarufu kama UBEPARI PC Co LTD) amefunguka simulizi nzito inayoumiza kichwa kuhusu mazungumzo aliyowahi kuwa nayo na mtoto wa waziri mmoja kuhusu mtazamo wa utajiri na mafanikio kwa wananchi wa kawaida.

Licha ya changamoto hizo za kimtazamo, Eric ameeleza jinsi mtu anavyoweza kupenya na kufanikiwa hata kama anapitia vipindi kigumu au kufeli mara nyingi.

Unafikiri ni kweli kuna watu wenye mamlaka ambao hawapendi kuona wananchi wa chini wakifanikiwa, au ni mtazamo tu wa mtu binafsi? Angusha maoni yako hapa chini! 👇🏾

Screenshot_20260623-070701.png
 
Mnazunguka tu mbuyu,kijinga kabisa,umasikini huletwa na mtu binafsi,uvivu wako,mtazamo wako duni,marafiki wa hovyo aka walevi, yote haya huchangia katika kukufanya uwe masikini,
::Usiombe katika hali hii uje ukutane na mwanasiasa akujaze uongo wa matumaini,utajuta na 40 itakukuta ukilalama tu,na kutukana serekali,baada ya wanasiasa kukugeuza mtaji wao!,
#As_yoath_be_careful...
 
Mtoto wa waziri sio waziri

Kwahiyo kauli yake au maneno hayawezi kuwa yanalenga kumaanisha ukweli au uongo ni kama maoni binafsi

Ila nje ya siasa

Ila nje ya siasa , sio Tz ila maeneo mengi duniani ipo mifumo ambayo inampa Favor MTU mwenye head start kuliko ambaye hana head start.

Kwahiyo automatically uki- break the wall ukiwa unatoka katika umasikini lazima unakuwa umeeingiza katika VITA ya lazima na watu wanaomiliki keki.

So that's system , inakuwa ipo na (status quo) kuwa utasoma hapa , utaajiriwa pale na usipojiajiriwa utafanya aina Fulani za biashara au kazi .

End of the day ur enemy is not politicians but the system.
 
Ni kupe mfano.Ukiona mtoto anakukashifu au kukufanyia jambo usilo lielewa ukiwa kwao.fahamu kuwa wazazi wake wanakuongelea nini ulivyo.
Mifuni ni mingi.Mfano wale watoto wa usalama wa taifa mombo.
mtoto wa simba chawene.
mtoto wa jakaya alishawahi kufanya hyo
 
Wewe umeathirika na siasa hauwezi kujadili na kuelewa mambo kwa upana

Hapo juu nilichoandika ndo kitu sahihi na sijaandika kwa kukurupuka ila ni tafiti ambazo zipo tried proved and certified.

Ukiwa mfuasi wa siasa za Africa hauwezi a good thinker na kuelewa system inafanya vipi kazi.
 
kwani siasa ni nini?.
Hivi wewe unaweza kuwa mfanyabiashara kweli.

Siasa ni maisha yako.Ukiambiwa leo mafuta yamepanda bei,mama yako kashindwa kutibiwa,nchi fulani zimeshindwa kukubari mazao yako.
Hapo ulitaka kuleta mpira.
Kweli Empty container kama ID yako
 
Ur life 100% is ur responsibility , usije ukatarajia kuwa yupo politicians yeyote Atakuja kukusaidia kupata maendeleo.

Nguvu unayoharibu kuandika andika nyuzi itumie kufanya hata biashara

Don't drain ur energy kwa Jambo ambalo hauwezi kulibadilisha u waste ur time .
 
Back
Top Bottom