Hivi CCM wanafaidika nini na na Muungano?

Poa 2

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
1,333
Reaction score
1,356
Habari ndugu!

Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi.
Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa.

CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar?
Shukrani sana.

Tunaitaka Tanganyika yetu.
 
Muungano ni kichaka wajanja wachache ndani ya ccm wanatumia kupora mali za Tanganyika
 
Habari ndugu!

Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi.
Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa.

CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar?
Shukrani sana.

Tunaitaka Tanganyika yetu.
Ndio maana CCM hawezi kukubali kushindwa uchaguzi, wako tayari kwa chochote, ili muungano usife,

Mfano huku Washinde Chadema na Zanzibar washinde CCM hapo muungano ni kifo cha mende
 
Sasa wanafaidika vp au nn kipo nyuma ya pazia
 
Habari ndugu!

Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi.
Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa.

CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar?
Shukrani sana.

Tunaitaka Tanganyika yetu.
ni elimu pana saana unatakiwa kuwa nayo ya masuala ya geo politics na usalama ya nchi kufahamu umuhimu wa zanzibar kwa taifa kubwa kama Tanganyika..

jiulize kwanini china hataki kuiachia taiwan kanchi kadogo, jiulize kwanini Marekani anaigombania nchi ya greenland..

Zanzibar haitakiwi kuachwaa kwa gharama yoyote ile hata kwa kuulipia huu muungano ni haramu kuvunjika
 
Taiwan ilikuwa sehemu ya China kabla ya vita ya ukombozi; Zanzibar haijawahi kuwa sehemu ya Tanganyika kabla ya huu muungano feki.
logic ni kwann nchi kubwa za bara zinapenda kung'ang'ania visawa vya jirani kama haina madhara kwanini china hawataki kuiachia
 
Muungano Una sababu nyingi zilizopitwa na wakati.

1. CHAMA CHA MAPINDUZI
(Neno lililotokana na mapinduzi ya zanzibar).

2. Kitovu cha Utumwa na ukabaira wa kiarabu (Is)

3. Sababu za Ulinzi na Usalama.

4. Sababu za kimagharibi.

ZOTE HIZI NI ZILIPENDWA.
 
logic ni kwann nchi kubwa za bara zinapenda kung'ang'ania visawa vya jirani kama haina madhara kwanini china hawataki kuiachia
Wataiachia vipi wakati tangu awali ilikuwa sehemu ya nchi yao!

Mbona Tanzania ilipovamiwa na Amin hatukumuachia maeneo kaskazini mwa mto kagera aliyodai kwamba sasa ni sehemu ya Uganda.
 
Habari ndugu!

Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi.
Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa.

CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar?
Shukrani sana.

Tunaitaka Tanganyika yetu.
Gentleman,
muungano ni suala la waTanzania wote na sio la chama fulani cha kisiasa.

In fact,
huenda kwasasa watanganyika waliopo hawazidi mia2 nchi nzima na 99.9% ya waTanzania hawana habari wala haja na hicho kitanganyika 🐒
 
Wataiachia vipi wakati tangu awali ilikuwa sehemu ya nchi yao!

Mbona Tanzania ilipovamiwa na Amin hatukumuachia maeneo kaskazini mwa mto kagera aliyodai kwamba sasa ni sehemu ya Uganda.
Nyerere hakuwa mjinga kulazimisha muungano japo Karume alikuwa hataki..
Na kuvunjika hilo sahau
 
mkuu mala zote nam huwa najiuliza hilo swali na majibu sipati, il nilijalbu kufukunyua hata majbu nlopata hayakuniliadhisa.. ila nahisi sisiemu wanajalibu kuishi ndoto za BABA WA TAIFA za miaka ya 70 huko na wanasahau now tupo 2020s
 
Back
Top Bottom