bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

    Wananodi, Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii, CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!. Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama hauna Elimu usije ukathubu kujiingiza katika siasa utapoteza muda wako bure

    Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

    Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wamama wa CCM wamekengeuka! Kwani posa ikiwa na mtungi wa gesi ndio akiolewa atakuwa anajaza gas bure?

    Pesa ya kujazia mitungi ya gas tabu. Kupata chakula tu ni tabu. Leo hii mnakomalia mitungi ya gaz
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Heshima siyo kitu cha bure, usijidanganye

    Nadhani umewahi kukutana na watu wakilalamika, "Mke wangu haniheshimu. Wadogo zangu wananidharau." Wengi hawa wanaamini kuwa maneno ya wahenga kuwa heshima ni kitu cha bure ni ya kweli. Ukweli ni tofauti kabisa. Binadamu siku zote wanamheshimu mtu mwenye uwezo, yaani mtu capable. Social animals...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania DC wa Kinondoni Godwin Gondwe hivi ile IQ yako Kubwa ninayoijua imepotelea wapi?

    Yaani unahojiwa na Radio One kupitia Mtangazaji wao Godfrey Monyo kuhusu Kukosekana kwa Maji Wilaya anayoishi GENTAMYCINE ya Kinondoni badala ya Kujibu Kiufasaha na Kiutaalam Wewe unaanza Kujibu Kisiasa Kisiasa huku muda wote ukibabaika babaika tu. Godwin Gondwe ( DC Kinondoni ) nakufahamu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Covid -19 tiketi 10,000 kugawiwa bure

    Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa. Hii ni maalum kuongeza ufahamu dhidi ya magonjwa kama Covid-19 na Ebola kwa kampeni kuwalenga watu wengi kuongeza ufahamu na...
  9. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Serikali haina budi kupitia upya sera ya elimu bure

    Elimu ya sasa imewaacha vijana wengi kutojituma kimasomo, hawana uchungu kabisa kupambania viwango vyao darasani na hili ni tokeo la Elimu bure, Na ndio Maana shule binafsi bado zinaongoza kufaulisha wanafunzi kila iitwapo leo. Hoja muhimu Hawa wanafunzi hawaoni uchungu kabisa Ela inayotolewa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wakikataa kumfanyia ibada ya mazishi nduguyo Niite Mimi nitamfanyia bure kabisa

    WAKIKATAA KUMFANYIA IBADA YA MAZISHI NDUGUYO, NIITE MIMI NITAMFANYIA BURE KABISA. Na, Robert Heriel Kuhani Huna haja ya kuwa mnafiki Kwa kuogopa hautazikwa. Tupo ambao tunajua kuendesha Ibada za namna yoyote Ile na zikafanikiwa Kwa kiwango cha juu Kabisa. Kwanza elewa kuwa hata usipozikwa...
  11. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

    Habari wakuuu. Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu. Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua; Ubingwa wa Ngao ya Jamii Kombe la Azam Sport Ligi Kuu ya NBC Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya wapiga punyeto leo nawapa dawa ya kuacha punyeto bure

    Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi. Chemsha kidogo (isibadilike rangi). Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16 mfululizo angalau mara moja kwa siku moja. Addiction ya punyeto itakata. Utapiga vizuri kwenye game...
  14. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania NGO changa au vikundi vya maendeleo vichanga mnaalikwa kunufaika na mafunzo bure.

    Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CCM anapotaka Tume Huru si Bure

    Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo. Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera. Mengine ni manjonjo...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
  18. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia imeboresha lengo lake la Elimu bure

    Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
  20. Ri ri

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu Bure Imeifikisha hapa Sekta ya Elimu

    Utangulizi Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka mitano (2016-2020) ya utekelezaji wake, Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika shule zote hapa nchini...
Back
Top Bottom