Haya wapiga punyeto leo nawapa dawa ya kuacha punyeto bure

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,166
Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi.
Chemsha kidogo (isibadilike rangi).

Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16 mfululizo angalau mara moja kwa siku moja.
Addiction ya punyeto itakata. Utapiga vizuri kwenye game.

Akili itafanya kazi vizuri sana hivyo possibility ya kufanikiwa kimaisha ni kubwa kwakuwa akili itaponywa.
Usipopona njoo nikulipe pesa zako ulizotumia kununua bamia.
 
Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi.
Chemsha kidogo (isibadilike rangi).
Kula kabla hazijapoa kabisa.
Fanya hivyo kwa siku 12-16 mfululizo angalau mara moja kwa siku moja.
Addiction ya punyeto itakata
Utapiga vizuri kwenye game
Akili itafanya kazi vizuri sana hivyo possibility ya kufanikiwa kimaisha ni kubwa kwakuwa akili itaponywa.
Usipopona njoo nikulipe pesa zako ulizotumia kununua bamia.
Nofap challenge ishawashinda mnakimbilia kwenye Bamia😃😃
 
Bamia mtaani ni tshi 200/-

Tufanye watu 5000 walitumia hiyo dawa na haikuwasaidia.
Utakuwa unadaiwa tsh ngapi?
Au utatumia mbinu ya kujificha nyuma ya keyboard.
 
Ni bora zaidi ila mbichi wakati mwingine zina kemikali ambazo zinaweza kuleta madhara kiafya ikiwemo cancer. Labda zile za locally ambazo hazijapata industry chemical
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom