NGO changa au vikundi vya maendeleo vichanga mnaalikwa kunufaika na mafunzo bure.

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi.

Masomo hayo yatawasaidia kuelew namna sahihi ya kuendesha na kusimamia vikundi na NGO kwa kuzingatia mlipo na mnako kwenda na mtanikiwaje. Mafunzo yatatolewa kwa walio sajiliwa kenye ma group na watu wenye experience ya kifanya kazi kwenye NGO.

Ofisi za hawa watoaji wa huduma ipo arusha maji ya chai.
 
Back
Top Bottom