bunge

  1. Mag3

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha kasema kodi zote zimeishapitishwa na bunge hivyo yeye hawezi kufuta

    Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana, kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kubadili sheria nyingi katika kila Bunge kunaonesha kuna umuhimu wa Katiba Mpya

    Jaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote. Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba

    Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
  5. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Ili kuhalalisha Ubunge wa Halima Mdee na wenzake, Bunge lirekebishe kifungu cha sheria

    Wabunge 19 waliofukuzwa na chama chao CHADEMA kwa mujibu wa Katiba walistahili kuondolewa Bungeni kutokana na kupoteza sifa kwani ili uwe Mbunge ni pamoja na kuwa mwanachama wa chama cha siasa. Kwa kuwa Spika pamoja na Serikali inawatambua kuwa ni wabunge halali licha ya kufukuzwa na chama chao...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais Madarakani, lakini ni ngumu sana

    KATIBA INARUHUSU LAKINI NI NGUMU SANA BUNGE KUMWONDOA RAIS MADARAKANI Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi, Leo nimeona nije na hili jambo la kusisimua lililopo kwenye katiba yetu lakini lisilotekelezeka. Halitekelezeki kwa sababu CCM haijawahi teua mgombea mwenye matatizo yasiyo ya...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Israel: Bunge lapiga kura kuruhusu Wapalestina kuwa raia wa Israel

    Kulikuwa na sheria ambayo ilikuwa inawawekea vikwazo wapalestina wanaoishi israel kuleta wake au waume zao ambao wapo upande wa israel kwa sababu za kiusalama hapo zamani. Kura zimepigwa leo juu ya kuendeleza hii sheria na cha ajabu kina Netanyahu ambao walikuwa wana piga kura kwa vipindi...
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kujadiliwa kwa hoja za CHADEMA zaidi ya hoja za Bungeni ni Jambo linalotafakarisha

    Toka CHADEMA ianze ziara zake nchini, Hoja zake imekuwa zikijadikiwa zaidi kuliko za Bunge. Suala la kataiba Mpya ambalo lilichagizwa na BAVICHA pale Baracuda limepelekea kuzua mijadala mizito kila kona nchi. Limewaibua mpaka Waziri Kabudi kutoka mafichoni, Kabudi toka ameteuliwa kuwa waziri wa...
  9. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri wa Fedha wamepata sup kwenye Uchumi

    Bunge "dhaifu la Ndugai" limekubali kwa kauli moja maombi ya serikali ya kuongeza kodi ya TSZ 100/= kwenye kila lita moja ya mafuta kama chanzo kipya cha mapato. #SWALI: Je, kulikua na ulazima wowote wa kuongeza TZS 100/= kwenye bei ya mafuta katika bajeti ya mwaka huu? #Jibu ni HAPANA kwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Rais Samia ni wapi bajeti ya Katiba Mpya itoke. Je, Pesa ikichangwa na wananchi, CCM wataridhia mchakato kuanza?

    Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Fedha zinapotumika nje ya bajeti, Bunge letu "tukufu" na Kambi ya Upinzani vinakuwa wapi?

    Kwa kifupi sana ningependa kujua nini maana ya "fedha za serikali zimetumika nje ya bajeti"? Ninavyojua moja ya kazi kuu ya Bunge ni kusimamia serikali, sasa inakuwaje bunge lipitishe bajeti iliyowasilishwa na serikali halafu bajeti hiyo isiheshimiwe na watendaji wa serikali? Kiongozi wa Kambi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri ni sawa na Bunge au Mahakama?

    Kitendo cha Balile kulifananisha Jukwaa la Wahariri na Bunge au Mahakama linafikirisha sana. Yaani kweli Bunge tukufu ndio la kufananishwa na Jukwaa la Wahariri? Yaani kwa sababu bunge linapewa fedha na serikali za kujiendesha? Kwamba kwa sababu bunge halina vyanzo vyake vya mapato basi nao...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Ofisi za Bunge ukoje kiutendaji? Naona kama kuna kitu kinamshusha Ndugai

    Mara kwa Mara nimesikia matamko ya Spika akiwa kwenye ufalme wa kiti chake. Kuna mambo mengine sioni kama anastahili/kulazimika kujibiajibia hata masela kwenye mitandao. Muundo wa Watendaji wa Ofisi ya Bungeni ukoje?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Bunge ni upi kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Je, msimamo wa bunge kuhusu mradi mkubwa wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni upi? Nawatakia Dominica yenye baraka!
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Mwambieni Ndugai Kanuni za Bunge si Sheria za Nchi, hazituhusu sisi

    Swali kwa Job: Kwani Wanahabari ni Wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge? Ushauri wangu ni: Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na si NCHI. Hazituhusu sisi. Si SHERIA za Nchi. Bunge si Mahakama. Halina MAMLAKA la kumuhukumu mtu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

    Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge. Mh SPIKA, Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu...
  17. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Majina ya wajumbe waliochaguliwa kuliwakilisha bunge kwenye taasisi mbalimbali

    MAJINA YA WAJUMBE WALIOCHAGULIWA KULIWAKILISHA BUNGE KWENYE TAASISI MBALIMBALI (A). TUME YA UTUMISHI WA BUNGE Wajumbe wanne wanaingia kwa mujibu wa nafasi zao ambao ni Spika (Mwenyekiti wa Tume), Naibu Spika (Makamu Mwenyekiti wa Tume), Waziri anayeshughulikia masuala ya Bunge na Kiongozi wa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Job Ndugai avuliwe Uspika wa Bunge

    Hii ni kwa sababu Bunge aliloliongoza wakati wa awamu ya 5 lilikubali kutumika kuvunja Katiba ya Nchi, jambo liloleta taharuki na Manung'uniko. Kwa mfano, Kitendo cha Spika Ndugai kuruhusu wabunge waliotimuliwa kihalali kutokana na kusaliti vyama vyao, wakiwemo na wale waliojivua wenyewe ubunge...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda COVID-19 yapelekea Bunge la Uganda kufungwa kwa wiki mbili

    Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitengaImage caption: Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitenga Taarifa iliyotolewa na Bunge inasemabunge hilo litafungwa kuanzia wiki ijayo tarehe 28 Juni , Jumapili hadi tarehe 11 Julai ili...
Back
Top Bottom