bunge

  1. Orodha ya Wabunge wa bunge la Tanzania, 1965-2025. ( Na Mawaziri)

    Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
  2. Wizara ya Mawasiliano yaomba kuidhinishiwa Shilingi Bilioni 291.5 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo, Mei 16, 2025, jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=eGdtJa7p75I "Sekta ya Mawasiliano na TEHAMA imekua kwa...
  3. Je, Nchi za Ulaya zimepuuza Bunge la EU?: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba muhimu

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
  4. Waziri Jafo amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Viwanda na Biashara 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=z6ar2o298sA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini Dodoma leo Mei 14, 2025. Wabunge wanachangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara hiyo iliyoomba...
  5. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 23, leo Mei 13, 2025

    https://www.youtube.com/live/WU3d6tBkzxg
  6. Waziri awasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa Mwaka 2025/26

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Mei 12, 2025 Jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inasomwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=0TXxs_4iZg0 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha ombi...
  7. Huyu Katrina, anaiwakilisha nchi gani kwenye bunge la umoja wa ulaya?

    Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa. Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji na kulinda demokrasia na haki za binadamu. Aliingea mengi ila mwisho alisema watanzania wanaoteswa...
  8. Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

    Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi. Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi?? Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
  9. Wakili Mwabukusi: Bunge la Tanzania limekimbia majukumu yake ndio maana Bunge la Ulaya linatujadili

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi. Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
  10. Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo: 1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba? 2. Kwa kutumia...
  11. Msimamo wa Serikali yetu kuhusu azimio la bunge la EU. Mila na desturi za Tanzania ni zipi? Hatukubaliani na Mila potofu kama utekaji, uuaji na umungu

    MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
  12. B

    Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
  13. PreGE2025 Tumechoka na huu mfumo, Bunge limejaa vichwa feki, nchi inateketea!

    let me spit some real sh*t right now coz this ain't no joke! Tanzania tumewekwa ndani ya box la ujinga – system ni toxic, watu wanaongoza ni kama wana play video game na maisha yetu. Wanatuchezea kama watoto wa darasa la kwanza – and we sittin’ here acting cool? HELL NO! Tuna wabunge wanaojiita...
  14. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 21, leo Mei 9, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=fnOK-Jm5gpE
  15. H

    Je, Tanzania Tuna Bunge Jina, au Ni Bunge Halisi?

    Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi. Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi. Jambo la kujiuliza, hivi...
  16. Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa

    Kwa tu misaada yao kwetu ambayo ni kiduchu sana kisichofikia hata TSH trillion moja kwa mwaka, hizi nchi za EU zinatuhesabu sisi bado ni koloni lao na maamuzi ya mahakama zetu zinapaswa kufuata maelekezo yao. Hawatambui sovereign yetu. Rais wetu alishawakemea kuhusu jambo hilo. Hata rais wa...
  17. C

    Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR & Comedy awards!

    Hilo Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR yetu na Tuzo za Comedy. Tumestuka. Msaada tutapata Dubai na Morocco
  18. Kama maazimio ya bunge la EU limeleta kiwewe, itakuwaje bunge la dunia litakapotoa tamko?

    Inasemekana bunge la "Ulaya" limetoa "tamko" kufuatia kukamatwa kwa Tundu Lissu, tamko ambalo kwa kiasi fulani limeleta kiwewe nchini! Nafikiri, kiitifaki, Umoja wa mabunge duniani ni kubwa zaidi kuzidi bunge la EUE! Ikiwa bunge la EU "limeitetemesha" nchi, itakuwaje pale Umoja wa mabunge...
  19. Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Sioni sababu ya kuwabana JWTZ kwenye suala la ajira huku TISS mkiwaacha wafanye vile wanavyojitakia au TISS ni kubwa kuliko JWTZ? Hawa TISS hawajawahi tangaza ajira zao bali wanachukuana wenyewe na vijana wa CCM hii kwenu imekaa sawa?
  20. L

    Tanzania hatuongozwi na hatuwajibiki kwa Bunge la Ulaya. Tutalinda uhuru na heshima yetu kwa nguvu zetu zote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano wazungu Wameanza kupoteza uwezo wa kufikiri na kupambanua Mambo, wameanza kudumaa kiakili, wameanza kufikiri wapo bado enzi za ukoloni,wameanza kufikiri labda sisi ni Makoloni yao. Napenda kuwaambia ya kuwa Tanzania ni Nchi huru na Taifa huru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…